Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,418
Kuna kipindi kinaitwa Easterntv kupitia youtube kikionesha kisa kilianza baada ya jamaa mwenye kipindi kuibua challange ya wapenzi ambaye mwanamke wake kumbe alikuwa anauza watoto na kuwaotoa bone marrow.
kama mnaweza kufatilia mtafatilia mwanzo mpaka sasa.
Sasa askari wamemtafuta sana ila baada ya kumkamata kipeben 10 ikabidi wamtumie kiben 10 kumvuta ndani nyumbani kwa ben 10.
ile nyumba ilikuwa na choo ndani na chumba kimoja ambacho kinaonesha ni nyumba ya chini ya gorofa wala sio ya kuweka dari na mabati.
katika harakati za kumkamata yule mwanamke kaomba kwenda chooni yani alivyoingia chooni na kuyayuka.
Hii ni story ambayo inaendelea utaona watoto na mihili ambayo kunamda inazibwa ili kupunguza ukali.
View: https://www.youtube.com/watch?v=WQx88VjB_BY
hapa baada ya kiben 10 mwengine kuwapeleka kwa mganga anayehusika na utekaji wa watoto
View: https://www.youtube.com/watch?v=0ItTAZR_MRk
mtiririko baada ya kupata kachura anayeteka watoto kuwapeleka wanapo tunza.
View: https://www.youtube.com/watch?v=t1-LxWrLsJc
watoto ambao waliweza kupatikana kwenye maficho;
View: https://www.youtube.com/watch?v=Dc9aF0uD76c
Bone marrow kwa kiswahili ni kama ubohoo ambao tokea kugundulika kuwa msaada wa magonjwa utekaji wa watoto umekuwa mkubwa labda niwape link muweze kuelewa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=EYd7OnCt7ug