tukio

Arto Tukio (born April 4, 1981) is a Finnish professional ice hockey defenceman, currently playing for Ilves in the SM-liiga.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa darasa la 4 ajinyonga, adaiwa kujichimbia Kaburi kabla ya tukio hilo

    Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia. Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne. Kwa...
  2. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mliofuatilia tukio la JNHPP wamesema mradi unakamilika lini?

    Kwa mliofanikiwa kufuatilia tukio la jana Disemba 22, 2022 la kuanza kujaza maji Bwawa la JNHPP wamesema mradi utakamilika lini. bahati mbaya mimi umeme ulikuwa umekatika sikuweza kufuatilia kwenye TV. Hadi kufikia jana Naibu Waziri wa Nishati alisema Bunge lililopita la Novemba kuwa mradi...
  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tukio la Bashiru Ally na Mkutano wa Waziri wa Uchukuzi vimepangwa, shtuka!

    Kila kunapokuwa na jambo ka moto mara zote CCM huja na vijambo Ili kuwatoa wananchi kwenye umakini. Wote tunajua kuwa moja, kuna mgao mkali sana wa umeme ambao hata haueleweki, kuna mgao wa maji huku bili za maji zikiwa ni zile zile na kuna ucheleweshaji wa mishahara pamoja na ugawaji wa kihuni...
  4. Area 56

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    Haya ni magari ya jwtz yakiwa chini ya himaya ya magaidi. Tunawaombea sana wapiganaji wetu muwe salama, badobTaifa tunawategemea. --- Ili kujua ukweli na kina cha habari hii tembelea Jukwaa la Jamii Check - KWELI - Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Aidha tukio la "black swan" ndani ya Urusi litokee, la sivyo ngoma ni mpaka Crimea

    Ukraine wamedhamiria, wapo radhi kuendelea kulipa gharama, wanasukuma mapigo kwa kwenda mbele, kunao wanakufa ila ndio hivyo, ardhi lazima ikombolewe, wanasema mpaka sasa hamna gia itakayorudisha juhudi nyuma, kurudi nyuma ni kutoheshimu damu za ndugu zao waliokufa.... Kwamba kwa sasa namna ya...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama Mtanzania nawatakia kila la Kheri Watunisia Wote kwa tukio lolote lile liliko Kwao leo

    Na wakitaka nifurahi zaidi nawaomba Watunisia hawa waiishi ile Kauli yao ya Kusema Revenge has no Mercy (Kisasi hakina Huruma) na kwakweli Watunisia leo wasio na huruma kwa tukio lolote lile la leo Kwao huko nchini Tunisia.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

    Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga. Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao. Dunia nzima...
  8. Yofav

    JamiiForums Tanzania Tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?

    Habarini wakuu, Jana night katika safari zangu za hapa na pale kwenye daladala nipo zangu na deep feeling za kusikiliza music kwa earphones siti ya dirishani macho yakiwa nje kutazama tunavyoikata miti na mito mbalimbali, it was perfect kwangu maana me hupenda kusafiri sana, Huwa safari za usiku...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tukio gani kutoka kwa mpenzi wako lililokufanya uone mapenzi mateso

    Kweli mapenzi saa ingine ni mateso tu. Sitosahau siku ambayo tulitembea usiku zaidi ya migahawa 6 kisa kila mgahawa tunaoingia anasema hajaona chakula cha kula (na ni migahawa mizuri ya mjini) huku akidai ana njaa sana. Baada ya kutoka mgahawa wa 6 akasema eti bora niende kumsongea mm mwenyewe...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tukio gani umewahi kufanya ukweni na hutokuja kulisahau?

    Mwenzenu nimewahi kukaa ukweni zaidi ya miezi nane, nikiwa na ujauzito wa miezi mitatu mpaka nikajifungua, nilikuja kuondoka mtoto anamiezi mitatu. Katika muda wote huo niliwahi kufanya tukio ambalo najutia sana ingawa lilitokea kwa bahati mbaya tu. Mume wangu alinikataza kitu fulani nikakubali...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Polisi wazuia Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    Katika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake (CHADEMA DIGITAL) Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tukio la kumkatisha msoma report ya mwenge asiendelee kueleza madudu ya miradi si sawa na Raisi aliangalia tu

    Niseme tu kwa kipindi cha Jpm sidhani kama angekubaliana na situation ile ila huyu Mama hata sielewi uongozi wake,moja ya madudu kumbe kwenye mashule ndio wahandisi wa majengo ???? ...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

    Nitaeleza kifupi kwa mtindo wa maswali! Kwa hali ya kawaida chimbuko la mapenzi hayo yanayosemwa kama yalikuwepo basi yatakuwa yameanza hivi! Kuna uwezekano mke wa dogo alitafunwa, ndipo mama mchuu naye akaona ya nini kujibana akaona akamtunuku dogo! (Yamkini) Kuna uwezekano mama mchuu aliona...
  14. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Class 'Mawe' na mabondia wengine wa Tanzania wanatakiwa kujifunza baada ya tukio alilolifanya Ibrahim

    Boxer ni mchezo ambao unahitaji umpelekee mashambulizi mwenzako ili wewe ushinde. Lakini pamoja na mashambulizi hayo, yupo refa na Masecond ambao wote kazi yao ni kuwalinda mabondia ndani ya uwanja. Lakini ni kazi ya bondia pia yeye mwenyewe kujilinda. Lakini la ziada kabisa ambalo mabondia...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wadau Tuliosoma Internationa School of Tanganyika,Tukio gani huwezi kuja lisahau Maishani?

    Mi nakumbuka siku ile tumeenda canteen kwenye buffet sausage zikawa zimeisha. Wamebaki wanafunzi wawili hawajapata sausage na yule msimamizi wa chakula Mr. Shivj Hindurana anawashawishi wachukue cake. Wakagoma na kuanza kulia kuwa wamenyanyaswa. Wadau Tuliosoma Internationa School of Tanganyika...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Askari Police wa hapa Puerto Rico 'Wanavyoua' Wahalifu ili Kumridhisha Rais baada ya kutokea Tukio baya ambalo Wamelishindwa

    Huanza kusaka Wahalifu kiholela na Kukurupuka kiasi kwamba huamua tu Kuua Watu ambao huenda hawana hata Kosa ila wamewakuta tu wamekaa zao Vijiweni na wanapiga Story zao. Police wa hapa nchini Puerto Rico ambako ndiyo makazi yangu ya Kudumu GENTAMYCINE huu Mwaka wa 20 sasa kama wakiona kuna...
  17. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 'Critical Thinking' katika Kulijadili Tukio Baya la Jana Kawe Maringo

    Kutokana na Unyeti wa hilo Eneo na maeneo mengi ya Kawe ambayo kwa 75% yanazungukwa na hata kukaliwa na Majeshi yetu JKT na JWTZ naomba GENTAMYCINE niwe muwazi kuwa siamini na nakataa kuwa Wahusika ni hawa Panya Road tunaowaimba kila Uchao. Inakuwaje Eneo lililotokea Tukio Baya jana liwe na...
  19. nyboma

    JamiiForums Tanzania Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi ni ukumbusho tosha kuwa Mungu anaishi

    Tuishi kwa kwa kupendana. Maana ghadhabu ya Mungu kwa wale watoao uhai wa mtu huwa ni kubwa mno. Uzi tayari
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Saudi Arabia yachunguza tukio la wasichana kushambuliwa na askari

    Mamlaka za Saudi Arabia zimesema zimeanza uchunguzi baada ya video iliyosambaa mtandaoni kuonesha maafisa usalama wakiwashambulia wasichana wadogo katika kituo cha watoto yatima Video zimeonesha askari na maafisa wengine wakivamia Katika Chuo cha Elimu ya Jamii kilichopo Khamis Mushait na...
Back
Top Bottom