"Mkurugenzi wa Fedha na Utawala (Director of Finance and Administration) wa Mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA), CPA George Mahigu Seni, amesimamishwa kazi kwa kupinga mauaji ya watu wasio na hatia Oktoba 29.
CPA Seni anatuhumiwa kuchapisha maneno ya uchochezi kwenye WhatsApp group ya...
Huyu jamaa watu tumeamua kufukua makaburi yake yote ya nyuma! Leo acha tuanze na hili tukio ambalo binafsi liliniacha mdomo wazi baada ya Makonda alipokata kuomba msamaha kwa Clouds baada ya tukio la kuvamia Media hiyo! Tena alikataa mbele ya Marehemu Ruge
Hii ilikuwa ni Aug 9, 2017 katika...
Kuna namna nyingi za kudai reforms na kuipata sio tu njia moja ya maandamano na hili tumekuwa tukilisema humu kila siku tunaishia kupewa majina mabaya
Lakini waTz tumekariri njia moja tu ambayo imeng'ang'aniwa na wale wanaharakati bila kuangalia kama itakuwa effectively au vipi wao ni bora...
Ukiona nimekuja humu asubuhi, ujue kuna jambo zito. Aunty yenu nimeshapaki najiandaa kuondoka mjini weekend hii ila jana nimepewa kichapo cha haja kimenifanya niahirishe safari, nitaondoka kesho.
Asanteni gen Z, jana na leo asubuhi huku faraghani imekua ni mwendo wa kuchapwa bila huruma, maana...
Wadau habari.
Muziki wa hiphop wa sasa umebadilika sana.Lakini kwa sisi wenye kumbukumbu za zamani hebu tukumbushane.
1.Je unaikumbuka ngoma ya kwanza Unit aliimba Bugz Malone na D Rob.Bug alikuwa anachana kiingereza alafu D akapoga chorus ya Kiswahili iliyokuwa inaenda "kama hujui...
Tundu Lissu ailaza chali Jamhuri, kesi ya Dennis Wilson aliyemkashifu Rais Magufuli
Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameiangusha Jamhuri katika kesi ya kumkashifu JPM iliyokuwa ikimuhusu Dennis Wilson
Wilson, mwanachama wa Chadema alishtakiwa na...
Wakuu,
Wakuu nakumbuka Rais Samia akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO - 19 alionya kuhusu watu wa Serikalini ambao walikuwa na fever ya Uchaguzi
Mangungu aliahidi mambo 11 wakati anaomba kura kuwa Mwenyekiti Simba. kabla ya kuhukumu rejea kwanza ahadi zake, ametimiza mangapi?
https://youtu.be/t_mRj7nOM14?si=dTAi_PkWeRMepQW_
Kampuni ya Jay Rutty ndo ilishinda zabuni ya kutengeneza na kuuza jezi za Simba na kuwa waliweka mezani zaidi ya billion 38,
Hilinlilikuwa jambo tamu masikioni mwa wanasimba
Mbali na mapesa hayo Jay Rutty aliahidi ahadi kedekede
1. Kujenga uwanja Bunju wa Mashabiki zaidi ya 10,000
Hadi Leo...
Kamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo)
Kwa majigambo mengi kuhusu chopa.. Alisema ana connection na ana miundombinu ya kupata chopa imara na thabiti kwa hiyo kazi.. Maana...
Mzuka Wana Jamvi..
Huu ni mwendelezo wa spana kwa Keyboard Warriors na wanaharakati uchwara wote Jf ndani na nje ya nchi.
Naanza kuflow sasa ; naona Kuna watu wameanza kujipa matumani baada ya kuona mitandaoni sasa Insta na kwengineko kwenye comments session #NoReformNoElection inatamba sana...
Ilikuwa jumatatu tarehe 14/02/2000 mida ya mchana nilishuka kituo cha basi Moshi Technical Sec School nikiwa na mama yangu. Tukavuka barabara na kuingia shuleni ili kujiunga kidato cha kwanza. Nakumbuka nilikuwa nimechelewa wiki moja. Baada ya taratibu za usajili wakaitwa mwanafunzi wenzangu na...
Asalaam Wakuu,, moja kwa moja Uzi tayari
Tujikumbushe Ubabe na Uhuni wa Zamani Mashuleni,,Taja Watu walio Vuma na kutikisa kwa Majina, Miaka hiyo Ukiwa Skuli
BANA WEWEE USITUKANE MAMBA UJAVUKA MTU
MSIKILIZEE MWAMBA ANAVYOSEMA
YANGA WALIVAA SHANGA
MEDALI BILA KOMBE KAMA SHANGA TUU
WAO WANALETA KOMBEEE
WAMEISSHIAA
KUJA NA SHANGA ZILE ZILE LOH
Hili jukwaa liliwahi kuwa kama familia kabisa.
Leo kwa msaada wa AI chatgpt.
Nimekusanya baadhi ya matoleo yaliowahi kuwika hapa jukwaani.
Moja ya waandishi wakongwe wa Udaku ni mimi mwenyewe, TANMO , uran na Mentor na Baba V.
Pitia baadhi ya Nakala za udaku hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.