Mwanamke aitwaye Pendo Medusela (37), mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa (35), kwa kumkata kwa wembe sehemu mbalimbali za mwili wake kutokana na wivu wa kimapenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi...
Salaam,
Ikiwa tuhuma za Polepole Zina ukweli, basi chama kifanye utafiiti wake, maana wananchi wa kawaida ambao hawakujiandikisha, wameanza uchunguzi wao binafsi kumthibitishia tuhuma hizi.
Nawashauri CDM nao wafanye utafiti, isijekuwa Lissu mtuhumiwa wa uhaini naye ameandikishwa kutiki...
Wakati akifunga kampeni za CHADEMA (siku moja kabla ya uchaguzi) kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe; Lissu alisema kuwa matokeo ya uchaguzi wa urais yameshapikwa.
Akadai kwamba amedokezwa na watu walio ndani ya mfumo kuwa Magufuli atapata kura milioni 12 na wengine wataambulia kura...
Umekuwa huku, umekuwa kule:
Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu?
Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana.
Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe?
Nyerere alikuwa huyu:
Mheshimiwa, kumbe wewe...
Tanzania Abroad TV
@AbroadTanzania
1. Mkataba wa kifisadi wa ITPL ambao unaihusu kampuni ya Tanesco.
2. Mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na kuliuzia shirika la Tanesco; ufisadi wa mikataba ya Richmund, Dowans, Symbion, na mingineyo;
3. Ufisadi wa kutisha uliofanywa na kigogo wa CCM huko...
Kijana William Mbise (28), mkazi wa Wilaya ya Arumeru, Kata ya King'ori, Kijiji cha Kirenga, amepoteza maisha kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuchapwa fimbo 70 kama adhabu ya kimila iliyotekelezwa na vijana wa rika lake wa kabila la Kimeru, kutokana na kutuhumiwa kuiba mahindi yaliyokuwa shambani...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa.
Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
Baada ya malalamiko yaliyoibuliwa na Mwananchi kupitia JamiiForums.com kuhusu Mwanamke Mkazi wa Kijiji cha Izumba Mkoani Tabora, kudai kuombwa fedha na Askari wa Kituo cha Polisi Kigwa kwa kushirikiana na Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kigwa ili mume wake aachiwe huru baada ya kushikiliwa kwa...
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli na wizi wa kimtandao maarufu ‘halo halo’, katika operesheni maalumu iliyofanyika kati ya Julai 2 hadi 11, 2025.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Alex Mkama Julai...
Wasalaam.
Kwa mujibu wa kumbukumbu kutoka maktaba inasemekana mzee kikwete alihusika kuuza migodi yote ya madini kwa mikataba mibovu ambayo inalitafuna taifa mpaka leo.
Sikiliza mwenyewe kutoka bungeni kisha angalia leo hii mh alivyokaribu na madam, je tutapona? au ndo tunaenda kupigwa bei sisi...
. Huo ndio utaratibu tulojiwekea, ndo maana tulianzisha polisi, mahakama na magereza. Ukilinganisha vitendo vya utekaji, mateso, mauaji ,kupotezwa kwa wananchi kunakoshika kasi inchini, ni bora ten times kukubalina na njia sahihi ya kisheria ya kushugurikia watuhumiwa inayohusisha polis...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu saba wanaodaiwa kuhusika na tukio la utekaji na mauaji ya Bernad Masaka (43), mfanyabiashara wa maduka ya nyama na Katibu wa Wachinjaji wa Nyama mkoani humo Juni 1, 2025
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 3, 2025 Kamanda wa Polisi...
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati.
Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtuhumiwa Seven Kipara [38] mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama na wenzake za kumuua mama yao mzazi na kumjeruhi kwa risasi mtoto aitwaye Sinzo Jifwalo mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Kijiji cha Ipwizi.
Ni kwamba mnamo Juni 13, 2025 saa 6:05...
Ndugu mkurugenzi napenda kukutaarifu kama mtanzania mzalendo na mwenye wivu mkubwa na ubora wa elimu yetu niliandika kupitia mtandao huu wa Jamii Forums juu ya matendo yasiyofaa yanayofanyika ktk shule ya msingi Kimandafu iliyoko ndani ya halmashauri ya wilaya ya Meru unayoiongoza hivi sasa...
wakuu
======
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central.
Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
..Maelezo ya Wakili Edson Kilatu kuhusu tuhuma za kugushi nyaraka za Mdhamini wa Chadema kujitoa katika kesi.
..itakumbukwa kwamba Jaji anayesikiliza kesi hiyo ametoa maagizo kwamba Wakili huyu achukuliwe hatua na jeshi la Polisi...
Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha.
Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
arusha
ccm
chadema
kununua
kutisha
mabilioni
nchi
nyie
nzito
pesa
sana
tuhuma
uchaguzi
ufisadi
umma
viongozi
viongozi wa umma
viwanja
wakuu
wanasiasa
wapi
watanzania
Askari wanne wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Kurwa Igembe anayedaiwa kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali.
✍️ #Ibraah “Sito kusifu roho mbaya na wala sito kutangazia mabaya yako na ndio mana hata waandishi wa habari na wakwepa mana sitamani kuona unaandikwa vibaya kwenye mitandao ya kijamii wewe ni
Kiyoo ila chenye ukungu lakini pia ninacho amini msaada wako katika maisha yangu ni mkubwa umeni saidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.