Sakata la Ibraah na Harmo: Tuhuma mpya za kutisha

Sakata la Ibraah na Harmo: Tuhuma mpya za kutisha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,694
Reaction score
870,413
✍️ #Ibraah “Sito kusifu roho mbaya na wala sito kutangazia mabaya yako na ndio mana hata waandishi wa habari na wakwepa mana sitamani kuona unaandikwa vibaya kwenye mitandao ya kijamii wewe ni
Kiyoo ila chenye ukungu lakini pia ninacho amini msaada wako katika maisha yangu ni mkubwa umeni saidia sana kakakonde pia nikiendelea kujibizana na wewe mtu ambae hata mamaangu alie nizaa unataka nimuuwe kikatili wakati nguvu zakumpambania ninazo kaka konde nabado unakaa kuni tangazia baya sema nini kakaangu sante mana hata nikiongea mimi masikini kauri yangu haifanani na yakwako tajiri na najuwa lengo lako ni nikose kabisa msada ili nije tena kukuomba pango uniite chumbani kwako kama ulivyo Kaaniita mala ya kwanza na jaribio lako likashindikana mimi sio chakula bro MIMI NI MSELA naendelea kuku tunzia mahovu yako mengine sabubau naamini utabaki kuwa kaka @harmonize_tz
FB_IMG_1746951789480.jpg
 
Kumbe huyu dogo nae ni mmakonde eeenh. Eti kama ulivyo kaniita chumbani......

All in all huu ni ushenzi wa kijinga sana. Kama kweli Harmonize alijaribu kutaka kumuingilia huyu dogo basi ni mshenzi tu nae na a anastahili kunyanyapaliwa na Ulimwengu mzima
 
✍️ #Ibraah “Sito kusifu roho mbaya na wala sito kutangazia mabaya yako na ndio mana hata waandishi wa habari na wakwepa mana sitamani kuona unaandikwa vibaya kwenye mitandao ya kijamii wewe ni
Kiyoo ila chenye ukungu lakini pia ninacho amini msaada wako katika maisha yangu ni mkubwa umeni saidia sana kakakonde pia nikiendelea kujibizana na wewe mtu ambae hata mamaangu alie nizaa unataka nimuuwe kikatili wakati nguvu zakumpambania ninazo kaka konde nabado unakaa kuni tangazia baya sema nini kakaangu sante mana hata nikiongea mimi masikini kauri yangu haifanani na yakwako tajiri na najuwa lengo lako ni nikose kabisa msada ili nije tena kukuomba pango uniite chumbani kwako kama ulivyo Kaaniita mala ya kwanza na jaribio lako likashindikana mimi sio chakula bro MIMI NI MSELA naendelea kuku tunzia mahovu yako mengine sabubau naamini utabaki kuwa kaka @harmonize_tzView attachment 3330794
Hawa wamakonde wenzangu wasije wakataka kunitoa mimi mchezoni kwenye hii
No ...
No....
Wamenikosa maaana FISIEMU WANA MBINU NYINGI.
 
Hakuna kitu kinatoa utu kama mwanaume mwenzako kukuingilia, Kila ukikutana nae huwezi kua na confidence kabisa... Anakua kama Mungu wako wa pili...

Nilikua nashangaa kisa Cha p Diddy kuwalewesha na kuwaingilia wasanii(allegedly??) Wakati alikua na uwezo wa kula warembo karibia wote tunaowatolea macho huko insta, lakini it's all about power, ndo njia aliyoiona ni rahisi ku wacontrol maisha Yao yote...


Hizi kashfa sio za Bure!!! Kama kuna kashfa mpaka za wachezaji kutaka kuliwa na mabosi zao naamini Hawa wasanii wadogo under big labels hawapo salama Sana!!!

Sijui tunaelekea wapi hata!!! It's sad and pathetic, mtu hawezi tu kusema from nowhere mwanaume alitaka kumla, kwanza ni fedheha hata kama haikutokea!!!
 
Huyo Harmonize alikuwa analia zile pesa kulipishwa na Diamond kipind kile ,hapa mtakuja kunielewa hata mkidai haki kwa wakubwa wa nchi hamuwezi kuzipa kwa sababu kila mtu anafanya dhulma kwa wakati wakati.
.
Maumivu yale leo anamfanyia dogo ibra ,hii ni dunia hauwezi kupata haki kwa sababu hata wewe unafanya ujinga ...Yule Ney anayejifanya anaisema serikali haitendi haki yeye unakuta hatendi haki kwa mtoto wake wa kumzaa..
 
Ukiwa hutaki kutoa taarifa za mtu au kampuni frani huwezigusia kua unazo nahuzitoi Ibra anatushangaza anasema boss wake anatabiambaya nawakatihuo amesema hatasema mabaya ya bossiwake kujitekenya huku. Kunamuda hawa wasanii niwakuwapuuza hi inawezakua ni ajenda maana kila kukitokeaga lapsha za kisiasa Kuna wasanii lazima walete drama mambo ndio haya
 
Back
Top Bottom