Wakuu,
CHADEMA mambo yamezidi kupamba moto.
Lissu akiwa anajibu swali aliloulizwa kuhusu tuhuma za Mbowe kwamba nyaraka za chama zilikuwa zinqvujishwa na Msigwa ambaye ni rafiki yake mkubwa.
Lissu akiwa anajibu swali hilo amesema kuwa hajawi kuvujisha nyaraka za chama na kuongeza kuwa...
Wahenga walisema ukweli huwa una tabia ya kuchelewa lkn siku ukifika huwa uwongo unakimbia kama giza kwenye mwanga.
Waathirika wa kusingiziwa kuwa ni wasaliti ndani ya chadema hatimaye leo wameibuka kidedea na kinara wa kuchafua wenzake ameonekana.
Zitto, Prof. Kitila, Dr. Slaa, Msigwa, mzee...
Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu...
Ndugu zangu Watanzania,
Hifadhini sana huu uzi,shikeni sana haya maneno yangu,kaeni na hili andiko katika kumbukumbu zenu,kaeni na jiandaeni kwa jambo hilo na tambueni ya kuwa Baada ya uchaguzi wa CHADEMA kumalizika ngazi ya Taifa hapo Mapema Mwakani .mtashuhudia Lissu akihama na kuondoka...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amezungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam, leo Desemba 16, 2024.
Akijibu swali kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kutoa tuhuma za uwepo wa mazingira ya Rushwa na kukosekana kwa Uadilifu, amesema:
“Kuhusu tuhuma ambazo Makamu...
Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania.
Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo...
Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party.
Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] maarufu kama Rama Love ambaye pia ni Mwandishi na Mtangazaji pamoja na Mariamu Charles Mwashambwa [28] wote wakazi wa TEKU Viwandani Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Chloy Ramadhan...
Bilionea namba 2 India na namba 22 duniani Gautam Adani amepata pigo jingine baada ya kampuni ya Total Energies kusimamisha uwekezaji ndani ya kampuni zake. Hii ni kutokana na tuhuma za utoaji rushwa anazokabiliwa nazo kutoka Serikali ya Marekani.
Je Tanzania ni sikio la kufa??
==========...
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kaskazini bwana Godbless Lema amemrushia tuhuma nzito makamu mwenyekiti wa Chadema bara bwana Benson Kigaila kuwa amehusika kuandaa kundi la wahuni lililoenda kufanya vurugu kwenye uchaguzi wa Chadema mkoani Arusha. Bwana Lema amemuonya bwana Benson Kigaila kuwa...
Mwanachama wa JamiiForums, aliandika kuhusu kinachondelea katika Shule ya Mandimu kuwa kuna Mwanafunzi ambaye anawadhalilisha Wanafunzi ikiwemo kuwapa adhabu kali kiasi cha kusababisha wengine waache Shule.
Shule hiyo inapatikana Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Serikali imesema...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikiria Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa kwa Mrombo katika Halmashauri ya Jijini la Arusha aliyekutwa ameuawa huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu...
Anayetajwa kuwa Afisa wa Jeshi la Polisi, Fatma Kigondo, amejikuta akihusishwa na tuhuma nzito za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti anayeishi Yombo Dovya, Dar es Salaam.
Tuhuma hizo zinamweleza kuwa aliwatuma vijana wanne, akiwemo askari wa vyombo vya usalama, kutenda...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ujumbe ulioenea katika mitandao ya kijamii, hasa kutoka kwa mwanaharakati Maria Sarungi, ukimlenga Waziri Rajab Salum, msaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ujumbe huu unatoa tuhuma nzito zinazodai kwamba Waziri Salum anatumia vibaya nafasi yake...
Wanasheria nguli mliomo humu tusaidieni ufafanuzi kwenye hili.
Iwapo chombo cha habari kimeruhusu Mtu mmoja amdhalilishe mwingine bila uthibitisho na bila kupata ufafanuzi wa aliyetajwa.
Mimi ni Mwana CCM lakini wakati mwingine naona hadi aibu nikiwa na Watu wenye akili around!
Kwanza Hongera sana Comrade Balozi Dr.Emmanuel Nchimbi kwa press uliyofanya hivi karibuni!
Nimekubali kwamba ni kweli umekomaa na uliandaliwa vizuri ndani ya CCM kupitia UVCCM!
Hayati Mkapa aliona kitu...
Leo ni mwanzo wa hearing ya man shitty kutokana tuhuma zao za kitapeli tapeli katika soka.
Unaweza kununua makombe lakini hauwezi kununua historia na class.
Ndio maana nabaki kusema man utd, liverpool na Arsenal ndio sura ya Epl.
Na MWANDISHI WETU, IGUNGA
WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa.
Amesema chokochoko za uongo za mbunge huyo zinapogusa sekta ya kilimo hawezi...
bashe vs mpina
forum
hela
hii
huduma
husein bashe
jamii
jamii forum
jibu
kwani
luhaga mpina
miti
mpina
mpina vs bunge la tanzania
serikali
tuhuma
waziri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.