Tuhuma za Mtoto wa Biden , zilichangia Kwa asilimia Kubwa sana BIDEN kuzuiwa Kugombea Urais ! Ni vipi Hapa kwetu Tuhuma anazotoa LISSU!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
26,391
80,624
Kwanini Nyerere alisahau kutamka RUSHWA kama adui mojawapo hapa nchini?. Ni kwamba alichukulia suala la Rushwa kama kitu kidogo?

Katika mataifa ye Demokrasia, hizo tuhuma anazotoa LISSU Kila siku zilitakiwa tuone Serikali inatoa Tamko.

Na Serikali inapokaa kimya, basi Dola na vyombo vyake vilichunguze na vije na tamko Rasimi.

LISSU anatoa Tuhuma, lakini TAKUKURU ipo kimya, ni taarifa gan ambayo TAKUKURU inaweza kuifanyia kazi?

Kwa Tuhuma hizi za LISSU Kwa mhimili wa juu kabisa wa Serikali na Ndani ya Familia namba Moja nchini , hazikupaswa kua Tuhuma za kupuuzwa.

Na Kwa kushindwa Kwa DOLA kufanya kazi yake matokeo yake yamegeuka kushughulikiwa Kwa wale wote ambao wanaonekana kupiga kelele juu ya tuhuma hizo !!.

CCM kama ilivyofanya 2015, ilitakiwa ifanye vivyo pia hata Sasa !!.
 
sidhani kama waamerika wako makini kiasi hicho na kitu kama hicho...
 
Back
Top Bottom