tuhuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Tuhuma

    Nafikiri itakuwa reference Kwa hawa wachunguzi Kuonyesha wanafuatilia kero Za wananchi. 1. Huyu aliyepiga simu kutishia kumpoteza Makurungenzi wa Jamii forum. Mimi Naona evidence zipo ni polisi tu Kuwa na nia ya dhati maana namba zote zimesajiliwa Kwa biometric. 2. Tuhuma wanazotaka Polepole...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 7 wa mauaji ya Mtoto aliyedaiwa kuiba Parachichi wakamatwa

    Jumla ya watuhumiwa saba wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuhusishwa na mauaji ya kijana aliyedaiwa kuiba parachichi. Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao wanashikiliwa kwa mahojiano na mara baada ya taratibu kukamilika watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma za mauaji...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yamfungulia mashtaka Makamu wa Rais Machar kwa tuhuma za uhaini

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, anakabiliwa na mashtaka ya uhaini na uhalifu mwingine mzito, mamlaka za sheria zilisema Alhamisi, hali ambayo imezua hofu ya kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Machar amekuwa kizuizini tangu Machi 2025 baada ya serikali ya mpito...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: Tumemuandikia barua mkuu wa majeshi alisaidie taifa pawepo na uchunguzi ili taifa lijiridhishe tuhuma mfumo wa uchaguzi uliongiliwa

    Akizungumza kupita Global TV Naibu katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Amani Golugwa amesema wamemuandikia barua mkuu wa majeshi nchini kumkumbusha kauli ya ya baba wa taifa kuhusu wajibu wa jeshi la wananchi kulinda katiba na mfumo wa vyama vingi. "Tumemuandikia barua mkuu...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ashikiliwa kwa tuhuma za kuua mpenzi wake na wembe

    Mwanamke aitwaye Pendo Medusela (37), mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa (35), kwa kumkata kwa wembe sehemu mbalimbali za mwili wake kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Polepole zisipuuzwe, yawezakuwa Tundu Lisu ameandikishwa pia kwenye Daftari la Mpiga kura, je itakuwaje?

    Salaam, Ikiwa tuhuma za Polepole Zina ukweli, basi chama kifanye utafiiti wake, maana wananchi wa kawaida ambao hawakujiandikisha, wameanza uchunguzi wao binafsi kumthibitishia tuhuma hizi. Nawashauri CDM nao wafanye utafiti, isijekuwa Lissu mtuhumiwa wa uhaini naye ameandikishwa kutiki...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuhuma za Polepole zimenikumbusha hotuba ya Lissu ya kufunga kampeni 2020

    Wakati akifunga kampeni za CHADEMA (siku moja kabla ya uchaguzi) kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe; Lissu alisema kuwa matokeo ya uchaguzi wa urais yameshapikwa. Akadai kwamba amedokezwa na watu walio ndani ya mfumo kuwa Magufuli atapata kura milioni 12 na wengine wataambulia kura...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

    Umekuwa huku, umekuwa kule: Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu? Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana. Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe? Nyerere alikuwa huyu: Mheshimiwa, kumbe wewe...
  9. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Kivuli cha Tuhuma Kinachowakabili Baadhi ya Vigogo wa CCM

    Tanzania Abroad TV @AbroadTanzania 1. Mkataba wa kifisadi wa ITPL ambao unaihusu kampuni ya Tanesco. 2. Mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na kuliuzia shirika la Tanesco; ufisadi wa mikataba ya Richmund, Dowans, Symbion, na mingineyo; 3. Ufisadi wa kutisha uliofanywa na kigogo wa CCM huko...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Atundikwa juu ya mti bila nguo na kupigwa fimbo 70 kisha kubanwa sehemu za siri kwa koleo la kuhasi mifugo akituhumiwa kuiba mahindi

    Kijana William Mbise (28), mkazi wa Wilaya ya Arumeru, Kata ya King'ori, Kijiji cha Kirenga, amepoteza maisha kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuchapwa fimbo 70 kama adhabu ya kimila iliyotekelezwa na vijana wa rika lake wa kabila la Kimeru, kutokana na kutuhumiwa kuiba mahindi yaliyokuwa shambani...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwachinja watoto watatu wa mke mwenza kisa mke mdogo kupendwa zaidi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa. Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Tabora: Tunafuatilia tuhuma za Askari wa Kigwa na Mwalimu kuomba rushwa kwa Mwananchi wa Kijiji cha Izumba

    Baada ya malalamiko yaliyoibuliwa na Mwananchi kupitia JamiiForums.com kuhusu Mwanamke Mkazi wa Kijiji cha Izumba Mkoani Tabora, kudai kuombwa fedha na Askari wa Kituo cha Polisi Kigwa kwa kushirikiana na Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kigwa ili mume wake aachiwe huru baada ya kushikiliwa kwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 21 mbaroni kwa tuhuma za wizi Mtandaoni

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli na wizi wa kimtandao maarufu ‘halo halo’, katika operesheni maalumu iliyofanyika kati ya Julai 2 hadi 11, 2025. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Alex Mkama Julai...
  14. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Hizi tuhuma ni nzito sana, au ndo funika kombe mwanaharamu apite?

    Wasalaam. Kwa mujibu wa kumbukumbu kutoka maktaba inasemekana mzee kikwete alihusika kuuza migodi yote ya madini kwa mikataba mibovu ambayo inalitafuna taifa mpaka leo. Sikiliza mwenyewe kutoka bungeni kisha angalia leo hii mh alivyokaribu na madam, je tutapona? au ndo tunaenda kupigwa bei sisi...
  15. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Sioni shida pale mtu anakamatwa kwa tuhuma na kupelekwa mahakamani. Tusilalamike lalamike tu

    . Huo ndio utaratibu tulojiwekea, ndo maana tulianzisha polisi, mahakama na magereza. Ukilinganisha vitendo vya utekaji, mateso, mauaji ,kupotezwa kwa wananchi kunakoshika kasi inchini, ni bora ten times kukubalina na njia sahihi ya kisheria ya kushugurikia watuhumiwa inayohusisha polis...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Watu saba wakamatwa kwa tuhuma za kuteka na kumuuwa mfanyabiashara, Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu saba wanaodaiwa kuhusika na tukio la utekaji na mauaji ya Bernad Masaka (43), mfanyabiashara wa maduka ya nyama na Katibu wa Wachinjaji wa Nyama mkoani humo Juni 1, 2025 Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 3, 2025 Kamanda wa Polisi...
  17. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajitetea Umoja wa Mataifa tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati

    Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati. Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Seven Kipara ashikiliwa kwa tuhuma za kukodi Watu wamuue mama yake mzazi, risasi yafyatuliwa yamjeruhi Mtoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtuhumiwa Seven Kipara [38] mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama na wenzake za kumuua mama yao mzazi na kumjeruhi kwa risasi mtoto aitwaye Sinzo Jifwalo mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Kijiji cha Ipwizi. Ni kwamba mnamo Juni 13, 2025 saa 6:05...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuhusu tuhuma za wanafunzi kusahihishiana mitihani S/M Kimandafu

    Ndugu mkurugenzi napenda kukutaarifu kama mtanzania mzalendo na mwenye wivu mkubwa na ubora wa elimu yetu niliandika kupitia mtandao huu wa Jamii Forums juu ya matendo yasiyofaa yanayofanyika ktk shule ya msingi Kimandafu iliyoko ndani ya halmashauri ya wilaya ya Meru unayoiongoza hivi sasa...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anashikiliwa na Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam

    wakuu ====== Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central. Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
Back
Top Bottom