tuendelee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  2. JamiiForums Tanzania Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, likifuatiwa na hoja, kisha jibu utalitoa wewe mwenyewe. Swali la mada hii ni Je Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Ili tuendelee, tunachotakiwa kubadili ni mindset ya watu wetu kwanza

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi. Hakika, katika safari yangu hapa duniani, nimekua najiuliza maswali mengi sana ili kupata utambuzi wa identity yetu sisi watu weusi na kwanini tuko katika hali hizi zetu duni...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Matumaini yangu Mgeni kaombwa atuletee Watu wake ili Watuambukize Akili zao Kubwa nasi tuendelee haraka kama Wao

    Najua umezungumza nae mengi Mgeni hasa ya kutumia vyema Bandari yako Kibiashara, Ulinzi na Usalama, TEHAMA na Utulivu huko anakowanyoosha Wakata Viuno tu kila Siku. Hata hivyo ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa kabla Mgeni hajaondoka Kesho utakuwa umemuomba akuletee Watu wake Werevu (...
  5. JamiiForums Tanzania Waislam Tuendelee kufunga na kufungua kwa kuona mwezi?

    Daah!! Mufti wa siku hizi Wana Smart phones, television na radio nyumbani, ofisini, kwenye simu na kwenye magari yao. Je, Tuendelee na utaratibu wa kufunga na kufungua kwa kuuona mwezi kwa macho yetu hapa mtaani kwetu? Ni kwanini mtume alihimiza Waislam waitafute elimu hata uchina? Uchina hakuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tuendelee kumhusisha hayati Magufuli ripoti ya CAG

  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri tuendelee kujenga "metre gauge railway" sehemu nyingine

    Watanzania na Waafrica kwa ujumla tunapenda vitu vizuri na vipya. Mimi naishi Texas, USA na nataka kuwajulisha reli zenye manufaa makubwa sana kwenye uchumi wa nchi hii ni reli za kizamani "metre gauge railway" na sio "Standard Gauge Railway" za umeme. Hizi reli za kizamani ndizo zinasafirisha...
  8. JamiiForums Tanzania Christina Shusho azikwapua milioni 10 za nabii mkuu GeorDavie, amuita mfalme

    March 13, 2023 Staa wa muziki wa Injili nchini Tanzania, Christina Shusho alifika Kanisani kwa Nabii Mkuu Geordavie jijini Arusha kwa ajili ya Ibada, lakini akiwa katikati ya mazungumzo Shusho alianza kum-mwagia sifa Nabii huyo na baadae akamuomba kiasi cha pesa ili zimsaidie kwenye shughuli...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

    Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata mauno huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtu kudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa? Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu...
  10. JamiiForums Tanzania Elimu siyo kipimo cha tabia na ustaarabu, kwa afya ya demokrasia tuendelee kuchagua Marais wa Kanda ya Pwani na Visiwani

    Kigezo kikuu ni sehemu hizo wanazotoka na wala si dini, Ni mkoa wa Pwani na visiwani na wala sio ukanda mzima huko Tanga kwa mzee makamba, Mtwara kwa bwana Nape, Lindi, n.k. Kwao ustaarabu ni sehemu ya maisha yao, wanapokuwa maraisi huwa kuna nafuu ya kuendesha nchi angalau kwa demokrasia, si...
  11. JamiiForums Tanzania Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke. Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au wanandoa kujiua sababu kubwa ikiwa mifarakano ya ndani ya ndoa. Kwa Muktadha huo nazidi kushikilia ule...
  12. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Yanga SC je, baada ya Kipigo cha Leo na Ihefu FC tuendelee Kushangilia kila Dakika?

    Nitarudi hapa Saa 4 Kamili Usiku leo na wana Yanga SC mtanikoma.
  13. JamiiForums Tanzania Ndg wafugaji, karibuni tuendelee na ajenda nyingine. (tunazungumzia mbwa).

    Habari za wakati huu waungwana! Mbwa ni mfugo safi, muhimu sana, askari mbadala. kila mtu yampasa afuge mbwa.. Mimi napenda sana mifugo, Huyu mnyama mlinzi bora (mbwa) nampa kipaumbele sana! sasa, sitaki mbwa wangu awe kama wale wengine wa mtaani, nataka mbwa bora. -asiwe mjinga mjinga -hali...
  14. JamiiForums Tanzania La umeme Watanzania ni waelewa, wavumilivu na linavumilika. Assuarance hii from "The Horse's Mouth" ni toshelevu. Lakini la maji linavumilika?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya leo ni kuzungumzia kidogo hali ya umeme nchini ambayo kwa sasa inapitia changamoto mbalimbali mojawapo ni kupungua kwa kina cha maji katika mabwawa ya uzalishaji wa umeme, hili...
  15. JamiiForums Tanzania Tuendelee kuomba Dua iendelee kunyesha

    Kuna dalili manyunyu yanapiga tuendeleeni kuomba dua.
  16. JamiiForums Tanzania Je, wana Yanga SC baada ya Kufuzu hatua ya makundi CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la 'Losers'?

    "Simba SC (Makolo) waache kujitutumua kushiriki hilo, Kombe la Shirikisho kwani ni Kombe la watu walioshindwa (Losers) na wanamume pekee wamebaki kule Kombe la Klabu Bingwa na ndiyo wa kuwaheshimu", Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara. Nitashukuru sana mno wana Yanga SC wote (hasa hasa...
  17. JamiiForums Tanzania Tuendelee na Mambo ya Msingi Elimu inachezewa sana

    Kuhusu Ya endeleaayo kwenye kuiba mitihani na kubadili namba za watahiniwa Baada ya shule husika kufungiwa kuwa kituo cha Mitihani ya Baraza, Nini Hatma ya Wanafunzi waliokuwa wanasoma shule hiyo? Je, kuifungia shule husika ndiyo suluhisho la udanganyifu wa mitihani ya elimu nchini?, Je, Bila...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Thread niliyoiweka humu JF miaka mitatu iliyopita imeshughulikiwa! Namshukuru Rais Samia, na tuendelee kusema kupitia JF, tunasikilizwa!

    Miaka mitatu iliyopita, niliweka thread humu JF na kuainisha wazi kabisa jinsi serikali ilivyokuwa ikiwanvunjia Watanzania haki zao za binadamu. Leo hii nina furaha sana kuona hili limesikilizwa! Wakati huo tulikuwa chini nya Raisi Magufuli, lakini niliona kuna haja ya kumweleza ukweli kutokana...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ili tuendelee tujiunge na Marekani

    CountCapone Kabla ya mwaka 1961 hakukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania kwenye ramani 1-1885 Ardhi ya Tanzania haikua na dola moja inayotawala bali jamii nyingi zilizogawanyika 1885-1919 Deutsch-Ostafrika (Afrika Mashariki ya Ujerumani 1919-1960 British East Africa Protectorate...
  20. JamiiForums Tanzania Je, tutumie Msiba wa Malkia kama darasa somo la Organization, Simplicity, Humility na Humbleness au tukomae na misafara yetu na ubosi wetu?

    Wanabodi, Huku kwenye mitandao ya kijamii mjadala wa viongozi wetu kupandishwa basi moja ugenini jijini London, kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth, imeendelea kushika kasi, hivyo hili ni bandiko la swali. Je, tuutumie somo tulilolipata kwenye Msiba wa Queen Elizabeth kama Shamba Darasa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…