tuendelee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Julai imeisha,Leo ni Agosti 4 ,Bado tuendelee kusubiri!?

    Uchaguzi mwaka huu umekuwa na nkamvuto' hakuna upinzani wa Moja kwa Moja lakini Kuna fukuto la mabadiliko..ndani ya CCM na nje ya CCM. Huko.ndani yaelekea Kuna discontent kubwa sana! Nje ndio hakufai! Kulikuwa na utqbiri kuwa Kuna jambo litatokea julai au Agosti. Kuna watu walioanisha...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipi bado tuendelee kuuamini huu Upuuzi au tukubaliane tu kuwa Dunia ni Sayansi na kwamba tuheshimu tu Asili?

    Kuwa sijui.... 1. Ukiona Paka jike na dume wanatiana jua ni Uchuro ama utakufa au utapokea Msiba 2. Bundi akitua katika Paa la Nyumba yako jiandae Kufa au Kufiwa 3. Mbwa akibweka sana Usiku Kwako jua Wachawi wanapigana Angani Kwako hivyo utaamka Asubuhi ukiwa Mchovu kama umetoka Kulimishwa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania "Wakati Usalama Unaporomoka, CCM Inabaki Kimya – Tuendelee Kuikubali?"

    Katika taifa linalodai kuwa na uhuru na amani, hali ya usalama wa raia imegeuka kuwa ndoto mbaya kwa Watanzania wengi. Matukio ya utekaji, vipigo kwa raia wasio na hatia, kufungwa kwa makanisa, na vitisho dhidi ya wapinzani wa kisiasa yameendelea kushika kasi — huku CCM, chama tawala...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kupata matamko ya Hayatollah Khomein kuhusiana na vita ya Israel vs Iran. Toka Al Jazeera

    Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kiukweli CCM tusikubali kuwa gwajimanized, lakini je tuendelee ku-Mdudenize,ku-Kitimanize au ku-Kibaonize?

    Sijui hizo suffixes "nized" ziko sawa gramatically au la!! Mliosoma HGL na "L" zingine mtanisahihisha kama nitakuwa nimechemka. Naungana na wanaCCM wanaolaani press ya Gwajima. Lakini pia natofautiana nao kwenye mantiki ya hoja zake. Kimsingi sina uhakika kama Askofu Gwajima hajawahi kusoma...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kutambua genge la wahaini wanaofanya kazi across EAC!

    Ni vyema sana Jumuiya ya Africa Mashariki ikashirikiana kutambua kigenge cha wahaini wanaopokea fedha kutoka ughaibuni kwa nia ya kuleta machafuko na kurudisha nyuma uchumi wa EAC.
  7. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Sababu inayotufanya tuendelee kuwa wajinga

    Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sababu yenyewe ni kutokubali kukosolewa. kukosolewa ni kuoneshwa makosa unayoyafanya yaani kuoneshwa mapungufu yako. Watu wengi hawapendi kuoneshwa mapungufu yao ila ni rahisi sana wao kutambua mapungufu ya wengine lakini ya kwao...
  8. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

    Moja kwa moja. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/ Mwingine...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwamba kamaliza kila Kitu na nakubaliana nae 100% sasa tumpuuze tuendelee kuwa Masikini na Nuksi hadi Kiama

    Naomba radhi kwa Maneno kadhaa Makali yaliyomo, ila Kikubwa tu naomba tuyasikie yale ya maana / muhimu ambayo kayasema ambayo kwa 100% yamesababisha Wanaume wengi kuwa na Nuksi nyingi na kila Siku tu Maisha yetu kuwa Magumu huku tukimsingizia Shetani kuwa Msababishi wakati kumbe Kiuhalisia...
  10. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa

    Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tuendelee Kukumbushana - Ujenzi wa Sekondari Mpya Vijijini Mwetu

    TUENDELEE KUKUMBUSHANA - UJENZI WA SEKONDARI MPYA VIJIJINI MWETU Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21 lina: *Sekondari 26 za Kata/Serikali *Sekondari 2 za Madhehebu ya Dini I - Sekondari 3 zinazojengwa na Serikali Kuu (ujenzi kukamilika: 28 Feb 2025) (i) Kijijini Butata, Kata ya...
  12. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kufeli kwa biashara zinazoendeshwa na serikali ya TANZATOZO

    TANZANIA ndio nchi pekee duniani inayoendesha miradi yake kimkakati huku waendeshaji waliopewa dhamana hizo ni 1. Viziwi yaan hawasikii 2. Vipofu yaani hawaoni 3. Bubu yaan hawaongei na 4. Njaa yaani wanawekeza tumboni na familia zao... Mfano wa mradi uliofeli ni huu wa MWENDOKASI. 🤣 Kwa mara...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni viumbe wasioridhika kamwe. Tuendelee kuishi nao kwa akili

    a
  14. G

    JamiiForums Tanzania Sioni haja ya kusomesha watoto boarding kama kuna shule nzuri za Day maeneo tunayoishi na mzazi / mlezi una muda wa kumfuatilia mtoto

    Kwanza kabisa kama ulisoma boarding, ni kipi ulichomzidi mwenzako aliesoma day na mkafaulu wote mpaka mkahitimu chuo ? Kwa hali ya sasa kuna maeneo yana shule kibao za day na zinafaulisha, Je tuendelee na ule utaratibu wa kupeleka watoto boarding kama zamani ? Binafsi nakumbuka nilisoma...
  15. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Wacha tuendelee kujidharau tu na kuwakweza wale

    Habari za asubuhi. Mi huwa naweka mada hapo ili mradi ujumbe ufike. Kusomwa tu inatosha, hivyo wahusika wakiupata, wataufanyia kazi. Sitakuwa specific ila nawaongelea hawa waswahili wanaotukuza race zingine. Mtu anaongea, tena in public ambapo ujumbe unafika mbali, kwamba katoto kazuri kama...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 nawakumbusha shetani na mali zake anaaibisha, anaumiza, anatesa. Vijana tuendelee kuyatafuta maisha kwa jasho halali

    Hakuna vijana wanaopitia Magumu kama Hawa wa Dar , Vijana wa Dar wanataka mafanikio ya haraka sana, wanaumizwa wanapoona watu waliwafaham miezi michache nyuma wakiwa hawana kitu, sasa wanawaona Mitandaoni wakiwa wenye Mali, Magari mazuri, majumba mazuri. Itakufaa nini kua Utajiri wa haraka...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuendelee kuandika majina ya Mama kwenye mali zetu.

    Kama ulidhani mali zako zitakuwa salama ukiziandika kwa majina ya mama yako au ndugu mwingine, basi fikiria upya. Kuna madhara mengi unayoweza kuyapata ikiwepo kupoteza uhalali wa umiliki wa mali hizo. -------------------------------------------...
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Je tuamini katika busara za Mwenyekiti Mbowe au tuamini katika ujasiri na misingi thabiti anayo amini Tundu lissu?

    Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko madarakani. Kuna tunaoamini hatuwezi kuitoa CCM madarakani kwa Busara na utendaji kazi wa Mzee Mbowe...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kula nyama ziko chini

  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
Back
Top Bottom