Kama tunataka maendeleo lazima tuondoe utawala wa kindugu ndugu katika taifa letu.
Haya Mambo hayakufanyika Nyerere akiwa Rais baada ya kufa tu ndio yalianza!!
Kwani mnafikiri yeye alishindwa kumteua mkewe kuwa Waziri? Lakini alifuata maadili ya kiuongozi.
Baada ya Kufa wakaanza kupeana...
Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala.
Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia...
Habari wadau..
Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4.
Kwamba bwana...
Naomba kuwaasa vijana wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI bado upo na ni hatari.
Miezi 4 iliyopita nilifanya ujinga nikalala na mwanamke bila kutumia condom ama bila kumfanyia vipimo vya kiafya kujua hali yake, baada ya ngono tukafanya vipimo na ikagundulika mwenzangu alikua na...
Habari wandungu zaidi wanasimba wenzangu.
Kama mnakumbuka wanautopolo msimu uliopita wa ligi ya mabingwa walikuwa wananunua jezi ya mpinzani wa simba wakiongozwa na bosi tena zilikuwa zinauzwa kwenye maduka ya wachambuzi uchwara.
Lakini msimu huu sijaona mchambuzi yeyote kuhamasisha wanasimba...
Wakuu za asubuhi?
Nawatafuta makamanda wezangu tuendeleze vita ya kudai Katiba.
Askari mmoja akifa au akipigwa risasi haturudi nyuma. Tunakwama wapi Makamanda?
Mbona mkwara tulikuwa nao mkubwa sana kwenye media?
Wapi Mdude, tusonge mbele!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.