tuache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila kitu kizuri lazima kiitwe jina la Mwanasiasa?

    Nisingeandika haya lau si kuchukizwa na kitendo hiki cha kishamba: kila kitu chetu kiitwe jina la mwanasiasa, awe hai au amefariki. Nchi hii ina watu wengi waliochangia kwa kiwango kikubwa na hata kufahamika duniani kutokana na mchango wao. Lakini ni wanasiasa tu, wengi wao wakiwa wameharibu...
  2. JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya CCM tuache kuuzia wananchi matumaini huyu mtu hatoshi hata sisi tuliokua tunamtetea tunaonekana hamnazo

    Mambo ya kuuziana matumaini ni suala ambalo limechosha watu huyu mtu hatoshi hawezi kwendana na kizazi cha sasa namshauri akasome public speaking Edition six ajue namna ya kuzungumza nini kwa wakati gani. Kiongozi mkuu wa nchi anasema police wafiche clips za rushwa kweli...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tuache propaganda juu ya uhai wa Watanganyika

    TUACHE PROPAGANDA JUU YA UHAI WA WATANGANYIKA. Hakuna Taifa linalotuonea wala kutuingilia mambo yetu ya ndani kinyume na Sheria za Kimataifa. Yanayotupata leo yanatokana zaidi na ujinga wetu wenyewe, ukatili wetu wenyewe, na kushindwa kuwajibika kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Wanasiasa tuache unguchiro

    "Hebu tafakari: Mwanasiasa anasimama mbele ya wafuasi wake na kuanza kuwaponda viongozi wa Serikali kuwa hawana akili au ni wajinga, akidai hawawezi kuleta maendeleo; wakati huo huo, huko anakotoka ameshindwa hata kuwahamasisha na kuwawezesha vijana wa chama chake walau kujiajiri. Katika...
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba tuache kuwajaza ujinga wachezaji wetu

    Hii tabia imekuwepo muda mrefu sana, kuna kipindi Mkude alikuwa akisifiwa sana wakati yeye alikuwa chanzo cha makosa mengi, walimsifia mpaka viongozi wakawa wanaogopa kumwacha kwa kuwaogopa mashabiki. Baadae akaja Shabalala pamoja na magoli mengi yalikuwa yanatokea kwake bado mashabiki...
  6. JamiiForums Tanzania Wazazi tubadilike, tuache kuwapa watoto majina ya kizamani. Kuna majina yamepitwa na wakati

    Kuna majina kwa sasa hayafai kuwapa watoto maana yameshapitwa na wakati. Embu jaribu kufikiria unakutana na mtoto wa mwaka mmoja anaitwa Mwanne, Tatu, Yona, Bartholomew, Juma,Shabani ,Hamisi,Isaya ,Jumanne, Wengine ndio hao akina Selemani ,Sikudhani, Rajabu, Paulo, Fatuma ,Ashura,Rehema, Pius...
  7. JamiiForums Tanzania Alietengeza mgogoro wa Aridhi Ngorongoro ndo anapokea riport ya tume leo tuache cheap politics hizi haziwezi kusogeza taifa popote

    Wakati mgogoro wa aridhi unaendelea kweli kama anaejiita amiri jeshi mkuu alishindwa kutoka na kusimama na kusema wamasai hawatikiwi kwenda popote wabaki ngorongoro kauli yake si ilikua inatosha tu kuweza kutatua huo mgogoro mpaka iundwe tume hiyo tume itumie kodi za wananchi maskini kulikua na...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Dini zote tulizoletewa; Hakuna dhambi wala Karma kumtenda ubaya mtu asiye jamii yako, ndugu yako. Waafrika tuache kuamini kwenye ujinga

    KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA. Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Mtibeli. 1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya. 2...
  9. JamiiForums Tanzania Tuache unafiki mtu usiku kucha umekesha unakula vyakula vya kutosha halafu next day unajifanya saumu imekaza😆

    Binadamu always ni mnafiki,
  10. JamiiForums Tanzania Usimamizi wa mtihani wa taifa walimu walipwe perdiem sio vinginevyo. Tuache ujanja ujanja.

    Kumlipa mtu 50k kwa siku ???? Sio sawa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kinyozi darasa la 7 anaingiza 30-70k kila siku, tuache kukazania watoto kusoma tu, tuwape na ujuzi wakihitimu degree na wakikosa ajira wawe na PLAN B

    Elimu ni wajibu, si urithi. kumsomesha mtoto hadi ngazi ya shahada ni haki yake ya msingi. Hata hivyo, hilo pekee halitoshi. Ni muhimu pia kumpa nafasi ya kujifunza ujuzi wa ziada, ujuzi wa vitendo na ubunifu utakaomsaidia kujitegemea pale ambapo hana uhakika wa ajira rasmi alizosomea. Kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuache shobo kwenye matatizo ya nchi za nje, sisi tukipatwa na shida tunapuuzwa kama takataka

    Kumekuwepo na machafuko na matatizo mengi sana hapa Afrika lakini nchi nyingi na hata vyombo vya habari vya kimataifa havitupi attention tunayostahili kwa scale ya matatizo tuliyonayo. Lakini waafrika tumekuwa na shobo sana kwa matatizo yanayotokea ncho za nje, Kinachoendelea Uganda muda huu...
  13. JamiiForums Tanzania Tuache kuuziwa ujinga na vitabu vya dini za kimapokeo

    Ukisikia wajinga wasiofikiri wala kutaka kuelimika wakijisifu unaona aibu. Mfano, utasikia mtu mzima akisema kitabu fulani cha dini fulani kimejaa sayansi. Ukichunguza kwa malkini, unakuta ni utopolo na uzwazwa mtupu. Mfano, vitabu vinasema eti kila nafsi itaonja mauti. Du! Hii nayo ni sayansi...
  14. JamiiForums Tanzania viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu

    viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu
  15. JamiiForums Tanzania Tuache dhambi

    Waefeso 4:22-24 22 Vueni maisha yenu ya zamani muweke kando hali yenu ya asili ambayo huharibiwa na tamaa potovu. 23 Nia zenu zifanywe upya 24 na mvae utu upya ulioumbwa kwa mfano wa Mungu katika haki na utakatifu. Warumi 6:6 Kwa maana twajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja naye...
  16. I

    JamiiForums Tanzania TUACHE KUWASINGIZIA MAFUNDI WETU WANAPOLALAMIKA UBOVU WA MAGARI YA KISADA

    Nimekuwa nikifuatilia,Kuna wimbi kubwa sana la kuwabeza mafundi wetu wa MAGARI ambao miaka na miaka wametutengenezea magari modeli za zamani.Mafundi Hawa wamekuwa wakisema magari modeli mpya ni pasua kichwa.Hapo watanzania wamekuwa wakiwabeza sana ,mara ohhh mafundi wa chini ya mwembe. Lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Tuache kuwaletea dharau, kebehi na kiburi wale wenye mzuka wa kuandamana kwani kufanya hivyo ni kuwachochea watekeleze kile walichokuwa wanakipanga

    Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mufti na Sheikh Mkuu Wa Tanzania Dkt Abubakary Zubery: Tuache Maneno ya Uchonganishi

    Ndugu zangu Watanzania, Viongozi wetu wa Dini wameendelea kutoa maneno ya nasafa na uzalendo mkubwa sana kwaTaifa letu juu ya kulinda na kutunza Amani ya Taifa letu kwa wivu mkubwa sana. Ambapo leo hii Mufuti na Sheikh Mkuu Wa Tanzania Dkt Abubakary Zubery ametoa maneno mazito sana na...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii fanyeni kazi msitusumbue wananchi tuko bize kulikomboa taifa

    Kipindi cha kampeni wasanii wote mlikuwa upande wa CCM mkaanza kutukana wananchi eti tunalalamika sana tufanye kazi. Baada ya uchafuzi wa 29 kuisha wameanza kutia huruma et nendeni youtube tukasikilize ushuzi, machawa Pro max, show za ndani zimebuma na bado wananchi hatutasiliza nyimbo zenu...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtangazaji Clouds TV: Pongezi za Msigwa kwa Waandishi hazinihusu, tuache unafiki!

    Wakuu, Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?" Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…