trc

The AN/TRC-97 Radio Set, or TRC-97, is a radio set that has 12 multiplex channels and 16 telegraph channels connected to an analog radio. The radio set is a mobile terminal that can transmit up to 40 miles (64 km) straight line-of-sight at up to 1 watt, using a traveling wave tube amplifier, or 96 miles (154 km) in tropospheric scatter at up to 1 kilowatt, using a tunable klystron amplifier, at a frequency range of 4.4 to 5 gigahertz and 1.2 to 2.2 gigahertz. The set has been manufactured by RCA, Camden, N.J.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Shirika la reli (trc) acheni uhuni

    Treni ya shirika la reli tanzania imekwama eneo la same toka jana asubuhi. Treni hiyo iliyoondoka dar juzi kwenda mikoa ya kilimanjaro na arusha ilitegemewa kuwasili kilimanjaro jana alfajiri ila imekwama maeneo ya same pasipo shirika la reli kutoa taarifa kwa uma au abiria huku wananchi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Treni ya shirika la reli (TRC) inayoenda mikoa ya kaskazini yalaza watu porini

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu. Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda Arusha ilitarajiwa kuwasili Moshi asubuhi saa 12 leo. Ila mpaka sasa imekwama katikati ya Korogwe na...
  3. P

    JamiiForums Tanzania TRC inafanyaje kazi?

    TRC inafanyaje kazi? Inakuwaje uwe na mzigo unasubiri week 4 na zaidi ili kuupata? Je hili shirika halina uongozi au shida ni nini? Mzigo kutoka Moshi kutoka Dodoma unachukua muda gani kufika na hapo tunaambiwa linaendeshwa kwa kodi za wananchi. Its a shame kama shirika la umma lilishindwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TRC, Kadogosa asema “Hatuna makubaliano yoyote ya kubadilisha mkandarasi wa SGR”

    Maswali kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kuhusu Mradi wa Reli ya SGR. Swali: Kuna changamoto kadhaa na malalamiko yanayoripotiwa na Wafanyakazi wa SGR hasa Lot 3 na 4, nini kinachoendelea? JIBU: Changamoto kwenye miradi mikubwa ni jambo la kawaida...
  5. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Shirika la Reli (TRC) ndio limegoma kabisa kulipa kiinua mgongo "mkono wa kwa heri" kwa wastaafu wake?

    Habari! Nimekutana na mzee mmoja mstaafu wa shirika la reli (TRC) ambaye alistaafu rasmi mwaka 2020. Huyu mzee wakati ana staafu alikuja kwangu kunikopa hela, hakikuwa kiasi kikubwa sana, na alihaidi kukirejesha pindi tu atakapolipewa pesa zake za kiinua mgongo ama "mkono wa kwa heri" kama...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Mwigulu Nchemba, Mbarawa, Mkurugezi wa TRC na wote waliohusika wakamatwe na kushtakiwa kwa makosa ya Uhujumu Uchumi

    Mpina akiwa anachangia hoja amesema kamati imekiri suala la kutumia mzabuni mmoja lilikataliwa na PPRA ambaye ndio msimamizi mkuu wa manunuzi nchini, lilikataliwa na bodi ya manunuzi, na walikataa sababu sheria za nchi za manunuzi ilikuwa inatekelezwa wakayti huo haziruhusu mambo hayo, lakini...
  7. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasili

    Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasili ==== Pia soma: Danadana za Serikali kwenye kuanza kutumika kwa Treni ya SGR kipande cha Dar - Moro, nini kinaendelea pande hizo?
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC yajibu madai kuwa kuna uhaba wa Mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa SRG

    Baada ya memba wa JamiiForums kudai kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa Reli ya SGR, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi. Kusoma malalamiko yenyewe ni haya - Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC: Kichwa cha Treni ya SGR kimefika Bandarini, Majaribio ya safari ya Dar - Moro yataanza hivi karibuni

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amesema majaribio ya kuanza kuitumia njia ya Reli ya SGR kutoka Dar es Salaama kwenda Morogoro inatarajiwa kuanza hivi karibuni kwa kuwa kichwa cha treni kimeshafika kipo bandarini. Amesema “Kichwa cha Treni...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC yaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha ujenzi wa reli ya SGR kipande cha Tabora - Isaka

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kipande cha nne Tabora - Isaka kwenye vijiji takribani tisa vilivyopo wilayani Nzega mkoa wa Tabora hivi karibuni Oktoba, 2023. Mthamini kutoka TRC Bw. Valentine...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Uchukuzi, Prof. Mbarawa azindua Bodi Mpya ya Wakurugenzi TRC

    Shirika la Reli Tanzania - TRC imefanya hafla fupi ya uzinduzi wa Bodi mpya ya wakurugenzi iliyoongozwa na mgeni rasmi Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa iliyofanyika katika jengo la stesheni ya SGR lililopo jijini Dar es Salam Septemba 11, 2023. Bodi mpya iliyozinduliwa ni pamoja na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waturuki wanaojenga Reli ya SGR wapo katika mgomo, inadaiwa hawajalipwa fedha zao

    Wakati Watanzania, Wana-Afrika Mashariki na Afrika nzima wakiendelea kutazama kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway maarufu kwa jina la SGR kutoka Dar es salaam hadi Mwanza ukiendelea ukiwa na jumla ya kilometa 1,219, kuna mambo kadhaa hayaendi sawa huku nyuma ya pazia. Ipo...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania TRC Tunawakumbusha mlisema Mnaanza Majaribo SGR July 2023

    Hi Great thinker. Nitumie wasaa huu kueakumbusha TRC Kuwa baada ya kushindwa kufanya majaribio Mei 2023. Kwa walichodai ni sababu Za misingi Sasa ni mwezi wa Saba nao umeshagawa Kati, waliahidi wataanza majaribio. Nawakumbusha issue ya Bandari haijatusahaulisha hili tunasubiri ngonjera zenú...
  14. Brightly

    JamiiForums Tanzania Msaada: Usahili Tanzania railway corporation (TRC)

    Habari ndugu zangu, naomba msaada wa maswali ya written yaliyowahii kuulizwa kwenye USAHILI wa shirika la relii Tanzania kada ya civil engineering technician utumishi.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Masanja Kadogosa katumbuliwa kama Katibu wa Bodi ya TRC. Je, anabaki na Ukurugenzi wake? Kama anabaki nao ni halali?

    Kwanza kabisa niwatakie Jumatatu ya Pasaka yenye Baraka. Sasa naomba majibu ya swali langu. Masanja Kadogosa ni Katibu wa Bodi ya TRC na anaingia Hapo siyo kwa kuteuliwa bali kutokana na Cheo chake cha Mkurugenzi mkuu wa TRC. Sasa Masanja Mkandamizaji katumbuliwa kwenye Bodi je bado ana...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri bodi ya TRC iwe na wafanyabiashara zaidi!

    Utamaduni wa kujaza wasomi na walimu wa vyuo kwenye bodi za mashirika hayana tija. Kwenye bodi hizi mtaalamu sana sana awe mmoja na walionaki wawe watu ambao wanajua na kutumia reli mfano wafanyabiashara wa mizigo inayoenda nchi za nje, wataalamu wa kodi lakini watoke kwenye kampuni binafsi na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Gerson Msigwa alivyofanya propaganda issue ya mabehewa ya TRC naamini soon ataondolewa kwenye nafasi yake; alikosea Sana kushabikia makosa

    Nadhani wasemaji wa serikali katika sekta mbalimbali waanze kuwa wachunguzi kabla ya kutoka kusema. Issue ya mabehewa Gerson alikuwa na uwezo wakuwaachia TRC wapambane nayo kupitia Afisa habari wao lakini yeye alibeba Bango nakuwa mstari wa mbele. Leo hii Yale yaliyosemwa na jamii ndiyo...
  18. T

    JamiiForums Tanzania TRC kusitisha safari mikoa 6 sababu ya mvua ni ushirikiano na wamiliki wa mabasi. Mvua hazikuwepo kipindi cha Hayati Magufuli?

    Kuna tangazo la kusitishwa kwa safari za train ya abiria safari za Dar - Kigoma kupitia mikoa kadha ya kuelekea bara. Sababu wanazotoa ni miundo mbinu kuharibiwa na mvua. Swali la kujiuliza ni mvua gani zilizonyesha kuzidi awamu ya miaka 6 ya Magufuli? Mbona hatukuona usimamishaji wa safari...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania TRC yasitisha safari za treni kutoka Dar es Salaam Kwenda bara kutokana na mvua zinazoendelea

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuufahamisha umma juu ya kusitishwa kwa huduma ya usafiri wa treni ya abiria inayotoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya bara (Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Tabora, Mwanza, Mpanda na Kigoma) kuanzia tarehe 28.03.2023. TRC imesitisha utoaji wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tumepigwa tena? Tovuti ya TRC haina hata mpango kazi wa ujenzi wa SGR Tabora - Kigoma

    Nimeingia kwenye tovuti ya TRC nimekutana na mpango kazi wa ujenzi wa mtandao wa reli ya kisasa ukiwa na awamu 5. Katika awamu zote hizo hakuna maelezo/ratiba yoyote ya ujenzi wa SGR ya kutoka Tabora mpaka Kigoma. Kwanini? Serikali ya CCM imetupiga changa la macho tena? Soma mwenyewe hapa...
Back
Top Bottom