TRC inafanyaje kazi?

Pompopo

New Member
Dec 18, 2023
1
1
TRC inafanyaje kazi? Inakuwaje uwe na mzigo unasubiri week 4 na zaidi ili kuupata?

Je hili shirika halina uongozi au shida ni nini? Mzigo kutoka Moshi kutoka Dodoma unachukua muda gani kufika na hapo tunaambiwa linaendeshwa kwa kodi za wananchi.

Its a shame kama shirika la umma lilishindwa kujiendesha
 
TRC kama kuna kitu kipya pale ni reli ya SGR_TZ inayojengwa na waturuki na baadhi ya vituo vipya vilivyokamilika, vinginevyo akili na nguvukazi ni ile ile ya kizamani kama reli ya MGR_TZ.
 
Taasisi na mashirika ya umma watu wanafanya kazi kwa mazoea na ni magenge ya upigaji, hakuna kitu yanazalisha zaidi ya hasara.
 
Back
Top Bottom