Salaam!
Kwa ufahamu wangu kuhusu TRA kama una malimbikizo ya kodi, wanakuja na barua ya wito kisha unakwenda ofisini kwao kwa ufafanuzi.
Sasa hili la wafanyakazi wa TRA kwa kushirikiana na Polisi na TISS kuvamia viwanda, magala au ofisi za wafanya biashara usiku wa manane tena siku sio ya kazi...