tra

  1. Kwanini wanaoteuliwa kuelimisha mambo ya kodi sio TRA wala hawana elimu hiyo?

    Swali la kipima joto la leo Ipi haja ya kuwepo kwa TRA kama wanaoteuliwa kuelimisha mambo ya kodi sio TRA wala hawana elimu hiyo. Je, kuna haja ya kuendelea kusomesha watanzania shahada za mambo ya kodi (Taxation)? Je, fedha za kuwalipa hao wanaoelimisha zinatoka kwenye mfuko upi? Je, kwanini...
  2. Ushauri: TRA waweke tozo na kuruhusu magari ya IT (in-transit) kubeba abiria

    Ndugu zangu kutokana na wingi wa abiria wa usiku, na uchache wa mabasi yafanyayo safari mda wa usiku, kuepuka ajali kama ya Costa ya Morogoro jana, napendekeza TRA waweke tozo ya gari ndg (IT) kulipia tsh 30,000/; na gari Kama Noah tsh 50,000/ Costa tsh 80,000/; wapewe kibali kupakia abiria...
  3. Hivi utaratibu wa kumpatia mteja/ kutumia sticker za TRA ukoje?

    Habari za muda huu wakuu, I hope mko poa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi utaratibu wa kumpatia mteja/ kutumia sticker za TRA ukoje? Yaani mfanyabiashara anatakiwa kuwa na vigezo gani ili bidhaa yake iwekwe sticker ya TRA?
  4. F

    Gari iliyotumika Zanzibar na yenyewe inakaguliwa ubora na TRA

    Nawasalimu nyote na napenda kuulizia nina gari yangu ambayo nilikuwa naitumia huku Kwa wazee wa Madrasa na natarajia sasa kurudi nyumbani bara. Je ukiachana na malipo ya kawaida ambayo ni salio la Kodi, nalazimika pia kupitia mlolongo wa ukaguzi chini ya TRA? Kama ndivo nijipange make nimeona...
  5. TRA Dodoma, fuatilieni matumizi ya mashine za EFD

    Habari za Jumapili! Leo napenda kuwahusia TRA Dodoma na Tanzania nzima kwa ujumla! Naomba msikae ofisini, chukueni mda wenu kutembelea maeneo ya biashara iwe Kwa kusema au kwa kutosema, ili muone na kufanya ufuatiliaji juu ya matumizi ya mashine za Efd. Nimekuwa Dodoma tena kwa wiki nzima na...
  6. Task TRA force Bado wananyanyasa watu, wavamia Bar ya Mpo Africa wabeba kreti za bia Usiku huu

    Nchi hii sijui imelaaniwa wapi, ni juzi tu Rais wetu mpendwa Mama Samia aliwaonya Task forces TRA waache kutumia nguvu kudai kodi lakini usiku huu wamevamia Mpo Afrika bar iliyopo Temeke na kubeba crates za bia wakiwa wameambatana na polisi wengi wenye silaha.Hivi unapomvamia biashara ya mtu...
  7. N

    Tunaotarajia kwenda kufanya interview ya TRA kwa kada za customs officer II na tax management officer II tukutane apa tupeane Tips za writen interview

    Kama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba tupitie apa tupeane tips, techniques,na possible questions za written paper katika usahili uo Naomba...
  8. TRA Katavi acheni kujiona miungu watu

    Kwa tabia zilizopo TRA Katavi kwa wafanyabiashara si rafiki na kuridhisha unapokwenda TRA Katavi utadhani umekwenda kituo cha polisi, mikwara umekuwa mingi baada ya kuelimishwa na umekwenda kuwalipa kodi, hiki ndicho kinachofanya kuona kama usumbufu namna huduma zao. Wahusika angalieni mkoa huu...
  9. Rais Samia komesha unadishaji wa mizigo bandarini

    Mama samia raisi wetu mpendwa mama yetu msikivu naomba tondole hii kero ya muda mrefu sana wazuie TRA na TPA wasiuze mizigo ya Watanzania bandarini kwakisingizio cha kukosa pesa za kulipia kodi mizigo. umewatia watu wengi umasikini mtu anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi mzigo unafika...
  10. TRA hamuyaoni haya kwenye uuzaji wa magari binafsi na tiketi za mabasi?

    Kuna vyanzo vingi vya mapato ambvyo mnajifanya hamvioni 1. Tiketi za mabasi kule hamna basi hata moja linalotoa tiketi ya EFD kwa wastani Tz watu 100k wanasafiri hapo ukizidisha kwa VAT kwa kila nauli na kwa siku 30 nadhani mtaona bei gani inapotea. 2. Uuzaji wa magari binafsi Kila siku watu...
  11. S

    Ili kuongeza ufanisi na makusanyo, TRA ivunjwe au ipunguziwe majukumu

    Habari Wakuu, Binafsi naamini moja ya chanzo cha nchi hii kutukukusanya mapato yanayoweza kutufanya tupige hatua kubwa zaidi, ni kuwa na taasisi moja(TRA) iliyokabidhiwa jukumu la kukusanya kodi za aina zote tena kwenye nchi kubwa kama yetu. Moja ya sifa kubwa ya nchi yetu ni kuwa na utitiri...
  12. Nafasi 49 za kazi TRA na TPRI

    Tanzania Revenue Authority (TRA) Jobs June 2021, TRA Vacancies 2021, UTUMISHI TRA Jobs 2021 1. POST TITLE: CUSTOMS ASSISTANT II - 7 POST POST CATEGORY(S): ACCOUNTING AND AUDITING HR & ADMINISTRATION LEGAL TAXATION AND SOCIAL PROTECTION DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To receive documents...
  13. Makadirio ya kodi kama CIF ni tofauti na Calculator ya TRA

    Habari wakuu, Nimeona gari beforward nimependa na nataka kuagiza. Ishu inakuja sasa gari CIF yake ni 3585 USD lakini TRA wao wame calclualte kwwa CIF ya 2709USD. Hapo calculation ya mwisho itakuwaje wakati wa kuitoa bandarini.
  14. Kasulu, Kigoma: Maduka yafungwa kumshinikiza Rais Samia awaondoe wafanyakazi wa TRA Wilayani

    Wafanyabiashara Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma leo May 29, 2021, wameanza mgomo wakiwatuhumu baadhi ya Maafisa wa TRA kwa kuwabambikia kodi Wafanyabiashara wasiotoa rushwa kwao. Kwenye mgomo huu Wafanyabishara hao wamesisitiza kwamba wanayo orodha ya majina ya Maofisa wote wabambikizaji na...
  15. TRA Wakanusha taarifa zilizoandikwa JamiiForums kwamba Mtandao wao Unasumbua, Waziita uzushi

    TRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua. Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi pamoja na kuidhalilisha taasisi na Watumishi wake. Katika kipindi cha mwezi mzima, TRA haikuwa na...
  16. M

    TRA ni SHIDA: Wavamia Ofisi hapa Viwandani

    Ninaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana. Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi...
  17. Rais Samia ingilia kati, TRA watatukwamisha

    Rais wangu, ukipata nafasi mwite ofsini Kamishna wa TRA nchini, Bwana Alphayo Kidata. Muulize katika mwezi April/May ambao yeye amekua ofisini amekusanya mapato kiasi gani. Akikupa hesabu linganisha na mwezi wowote katika mwaka wowote unaoutaka wewe. Achana na miaka ya JPM ambayo inasemwa kodi...
  18. Vitambulisho vya machinga ulikuwa mradi wa nani? Kwanini ile hela haikukusanywa na TRA?

    Za asubuhi wadau, Uongozi wa hayati ulikua na mambo mengi yenye ukakasi. Mojawapo ni hili la kuwauzia wamachinga kitambulisho kisicho na utambulisho wowote wa anaye kimiliki. Manaake kitambulisho kingeweza kudondoka na kikaokotwa na kutumiwa na mtu mwingine. La kushangaza zaidi malipo ya hivi...
  19. Kwanini TRA sasa hawatangazi mapato ya kikodi ya kila mwezi kama ulivyokuwa utaratibu?

    Mazoea yana tabu na ukikosa kitu ama jambo ulilolizoea pia huja maswali. Mimi jitombashisho nataka kujuzwa na TRA ni kwanini takribani miezi miwili sasa hamtoi taarifa juu ya mapato ya kila mwezi?!
  20. M

    Barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha dhidi ya Mtumishi wa TRA anayekula rushwa wazi

    Wanabodi salaam Hii ni barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha wakilalamika bwana mmoja, huyu jamaa bado yupo enzi zile za pontio plato za kutishia watu ili ajipatie fedha, anakufanyia upepelezi feki ili iwe rahisi kukufanya utoe fedha Taarifa za uhakika huyu bwana ana ukwasi mkubwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…