tra

  1. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania TRA wameondoa "Online vehicle tax valuation calculator"?

    Nimeingia online kwenye website ya TRA lakini sijaona kipengele cha online calculator for vehicle tax. Hivi watakua wamekiondoa au Mimi ndio mshamba? Nisaidieni wadau, sitaki kuamini wamepata nafasi ya kuweka picha kuuubwa ya boss wao wakakosa nafasi ya kuweka kitu muhim kama calculator
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Tujadili mfumo mpya wa e filling wa tra tatizo liko wapi?

    Huu mfumo hauna hata miezi 6 na hii taasisi ina watu weledi na wajuzi wengine walipelekwa India kusoma coding na security, lakini tatizo linaanzia wapi hasa ? Kama mfumo ulikua bado haujawa tayari kwa nini mli phase out ule uliokuepo kabla hamjajoridhisha ?
  3. Profesaa

    JamiiForums Tanzania Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

    Wapendwa samahani sana, Naomba kufahamu kuhusu zile nafasi za kazi kwa wake waliotuma maombi Aprili 2022, ni kweli majina yalishatoka? Usahili tayari umefanyika na wameingizwa kazini?
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TRA hizi namba zenu za huduma kwa wateja hazipatikani

    KWA NINI TAASISI NYINGI ZA SERIKALI ZINAWEKA NAMBA ZA SIMU ZISIZO PATIKANA KABISA KWENYE WEBSITE ZAO ?
  5. comte

    JamiiForums Tanzania TRA madhara yenu kwa biashara ya utalii yatachukuwa mda mrefu kurekebishwa na huenda yasirekebishike kabisa

    TRA Arusha mnakumbuka kesi hii Mfanyabiashara wa usafirishaji na ukawala wa watalii alilipwa malipo ya mbele na watalii. Kabla ya watalii kufika likaja janga la Corona. Watalii wakafuta safari . Mfanyabiashara kwa uungwana akawarudishia wateja wake pesa zao zote ukiondoa gharama za banki. TRA...
  6. CHEF

    JamiiForums Tanzania TRA mfumo wenu wa e-fillling na utendaji kazi wenu ni Mbovu sana

    Kwa taasisi kubwa kama TRA inakosa back up, eti wanaweza wasifanye kazi siku nzima eti mtandao hakuna seriously Yaani unaenda asubuhi mpaka mchana wakati mwingine siku nzima hawatoi huduma eti mtandao hakuna, Are you serious? Ina maana TRA inakosa back up? Bora ingekuwa tatizo la Mara moja...
  7. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Mikeka ya walioitwaa interview TRA na TPA vipi imeshatoka?

    Mikeka ya walioitwaa interview TRA na TPA vipi imeshatoka au
  8. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania TRA na Maafisa Biashara wa Wilaya ya Songwe acheni kuwaibia wananchi

    TRA wakishirikiana na maafisa wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwahuhujumu wafanya biashara wadogo wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwafungia biashara zao hasa mama na kuwalazimisha walipie sh 50,000 ya kufuli na kuwapiga faini ya 50000, ya usumbufu, 50000 kupata TIN namba na Sh 50000 kwa ajili...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania TRA yavifutia riba vyombo vya moto ambavyo havijasajiliwa

    Mamlaka ya Mapato (TRA) imefuta adhabu na riba kwa vyombo vyote vya moto vilivyoingizwa nchini bila kufuata taratibu za forodha, huku wamiliki wakitakiwa kusajili rasmi vyombo vyao hadi kufikia Juni 30, 2022. TRA imesema lengo la hatua hiyo ni kujenga ushirikiano na uhusiano mwema kati yao na...
  10. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi. ===== DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania TRA mfumo wenu wa e-filing hasa kwenye VAT unasumbua-rekebisheni

    TRA mmeweka mfumo mpya wa E filing ikiwemo VAT - unasumbua mrekebishe kama siyo njia ya kusumbua walipa kodi
  12. King_Villa

    JamiiForums Tanzania Kwa mliobahatika kuitwa kazini TRA someni hili Tangazo na mlielewe

    Mliopata kazi TRA someni hilo Tangazo tena.
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?

    Marafiki naomba kuuliza. Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?
  14. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Nina Diploma ya Community Development. Kwa course hii naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management Assistant ya TRA?

    Habari za muda huu kwa mara nyingine, nina cha NTA Level 6 course ya Maendeleo ya Jamii. Naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management assistant II?
  15. Hunteroflove

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli hapa

    Kama mnavyo ona ndugu zetu waliopata ajira TRA hili tangazo ni la ukweli maana mwanzo walisema makao makuu TRA walioitwa kazini wanapaswa kufika leo Wanasema ITA Mikocheni na masharti km yote
  16. Mr_positive

    JamiiForums Tanzania Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa. Hongereni mliopata utumishi mwema

    Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema. Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo sijabahatika kuitwa ila jamaa zangu wengi kutoka familia zetu za hali ya chini wamepata kwa jitihada binafsi...
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Tax Management Assistant II at TRA (71 Posts)

    POST TAX MANAGEMENT ASSISTANT II – 71 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING TAXATION AND SOCIAL PROTECTION EMPLOYER Tanzania Revenue Authority (TRA) APPLICATION TIMELINE: 2022-04-09 2022-04-23 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To process application for new taxpayers’...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Tax Management Officer II at TRA (184 Posts)

    POST TAX MANAGEMENT OFFICER II – 184 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES TAXATION AND SOCIAL PROTECTION EMPLOYER Tanzania Revenue Authority (TRA) APPLICATION TIMELINE: 2022-04-09 2022-04-23 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Customs Officer II at TRA (45 post)

    CUSTOMS OFFICER II - 45 POST at TRA POST CUSTOMS OFFICER II – 45 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES HR & ADMINISTRATION LEGAL TAXATION AND SOCIAL PROTECTION TRADES AND SERVICES EMPLOYER Tanzania Revenue Authority (TRA) APPLICATION...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania ICT Officer II (Developer/Programmer) at TRA (50 Posts)

    POST ICT OFFICER II (DEVELOPER/PROGRAMMER) – 50 POST POST CATEGORY(S) IT AND TELECOMS EMPLOYER Tanzania Revenue Authority (TRA) APPLICATION TIMELINE: 2022-04-09 2022-04-23 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To assist in capturing user Customers Requirement Specifications; ii. To...
Back
Top Bottom