tra

  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TRA mmeanza kudai kodi kwa kunyang'anya biashara kama miaka ya nyuma? Ref. Mama Bonge

    Hili limekaa kisiasa zaidi kwanza ukiwa mpinzani hawa jamaa watahakikisha unaishiwa ili mirija isi support tena upinzani. Hizo mali za mama Bonge mlizochukua badae utasikia hazijulikani zilipo ama haionekani. Na kodi mnazo bambika watu hazisaidii sana zinaua biashara za watu na watanzania...
  2. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Biashara na TRA

    Kuna kitu sijakielewa hapa, au hakipo sawaaa, ukitaka kuanzisha biashara lazima ufuate utaratibu wa kisheria mfano lazima uwe na tin na lesseni ya biashara husika, embu fikiria unataka kuanzisha biashara ya miamala ya kipesa imezoeleka kama tigopesa ili upate line za kazi hiyo lazima uwe na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

    Leo tarehe 13 Oktoba 2022, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata shehena ya mizigo ya vitenge ya marobota 290 katika kontena mbili yenye thamani zaidi ya tsh. Billioni 5 iliyopitishwa kwa magendo katika bandari zetu. Mfanyabiashara mwenye shehena hiyo alitorokea Dubai majuma matatu...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje TRA kwenye nne bora ya wenye uadilifu wapo na nne bora ya wala rushwa wamo? Huu utafiti nina mashaka nao

    Angalia picha kisha toa maoni yako.
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TRA: Kutumia "plate number" ambazo hazijatolewa na mamlaka za Serikali au TRA ni kosa kisheria

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imebaini uwepo wa magari barabarani yaliyobandikwa na kutumia namba ambazo hazijatolewa na TRA ama Taasisi nyingine za Serikali ambazo zimepewa jukumu hilo kisheria. “Aidha, kumekuwepo na matumizi ya vibati vya namba vyenye rangi zisizotambulika kisheria...
  6. Mnyanyembe wa Mboka

    JamiiForums Tanzania Hii sasa imekuwa kero! TRA, chukueni hatua kurekebisha tatizo la taarifa za marejesho mtandaoni (e-Filling Returns)

    Jamani watu wa mamlaka tafadhalini hebu chukueni hatua za makusudi kurekebisha hili tatizo la taarifa za marejesho mtandaoni (e-Filling Returns) Kusema ukweli imekuwa kero isiyovumilika tena, inapofika tarehe za marejesho mtandao unazidiwa inaweza kuchukua zaidi ya siku moja mpaka 5 pengine...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa msaidieni Rais. Misamaha ya kodi ni chaka, TRA mpaka wizarani kunanuka rushwa

    Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba! Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na...
  8. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi TRA kwa sasa hawatangazi makusanyo kila mwezi?

    Mimi sijui zinanipita habari hizi maana sijaona muda TRA wakitangaza makusanyo ile kila mwezi kama zamani au utaratibu umebadilika?
  9. jebs2002

    JamiiForums Tanzania Yah yah yah yah Trab na Trat

    Ni pale shemeji na wifi yenu alipokamata njumu mifukoni kwenye suruali yangu! Macho yalinitoka kigugumizi mate kukauka kutaka nimezwe na ardhi! Ilibidi tu niwasingizie wakina Trab na Trat! Za mwizi kweli 40! Ebu nanyi fungukeni mliwasingizia kina nani kwenye situation kama hiyo.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TRA yashauri Serikali kuanzisha somo la Elimu ya Kodi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo tarehe 25/09/2022 mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Uboreshaji wa Mitaala inayoongozwa na Profesa Makenya Maboko jijini Dodoma, imependekeza kuingizwa kwa elimu ya kodi katika mitaala ya elimu nchini Tanzania kuanzia kwenye Shule za Msingi hadi Sekondari...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Udhaifu katika Mamlaka ya Mapato (TRA) Songwe

    UDHAIFU KATIKA MAMALAKA YA MAPATO YA TRA SONGWE kumekuwa na utendaji KAZI m'bovu wa mamalaka ya ukusanyaji mapato ya TRA songwe Kwa kudai Kodi zaidi ya makadirio yaliyofanywa Kwa mteja. Ni zaidi ya miaka mitatu ya makadirio ya mapato Hali hii inajitokeza Kwa upande wangu Mfano hai ni hili...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Kodi ya pango itakusanywa na TRA

    “Kodi ya pango itakusanywa na TRA” Mwigulu" Waziri wa fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba amesimama Bungeni leo September 20, 2022 na kutoa kauli ya Serikali kuhusu tozo ambapo ameeleza marekebisho yatakayofanyika a kuanza kutumika kuanzia October 1, 2022. Waziri Mwigulu amesema “Serikali...
  13. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania TRA tunaomba update ya hii kauli ya Rais

    TRA mnakumbuka hii kauli ya Rais? Mmefikia wapi? Jana nimesikia TRA kwa upande wa kodi ya majengo wamepata msamaha wa riba kuanzia July hadi December. Mbona kwa wafanyabiashara zingine hatusikii kauli ya TRA? Mnangoja nini?
  14. Kariobangi

    JamiiForums Tanzania Hiki ni nini TRA mkoa wa Tabora?

    Ukipita pale jengo la ofisi za TRA mkoa wa Tabora,lililokuwa jengo la zamani la iliyokuwa benki ya Nyumba,THB utakutana na uzio wa mabati kuzunguka jengo kiashiria Cha ukarabati, kwa miaka zaidi ya kumi sasa. Je, wahusika ndio kusema ukarabati haujahisha kwa muda wote huo kuondoa uzio wa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu awaagiza TRA kuweka mabango mipakani

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ameiagiza Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kuweka mabango hasa katika maeneo ya mipakani mwa nchi jirani kuelezea bidhaa ambazo zinapaswa kutozwa ushuru na zisizotakiwa kutozwa. Mwigulu ametoa agizo hilo leo Septemba 11, 2022 katika mji wa Sirari...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfanyabishara maarufu wa Zanzibar, Toufiq Salum Turky, bado hajalipa Sh. milioni 308.5 za kodi kutokana na kuingiza gari la kifahari aina ya Benzi, Januari, mwaka huu. Naibu Kamishina wa TRA Zanzibar, Juma Bakary Hassan, aliwaambia waandishi wa habari...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Je, mifumo ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inachezewa?

    Habari Watanzania, Katika miezi kadhaa sasa, kuna jambo limekuwa likijirudia sana. Jambo hili ni ZITO sana na wala si la kuchukulia mzaha hata kidogo. Jambo lenyewe ni hili: Mfumo wa TRA, hasa TANCIS ambao ndio unaotumiwa na Idara ya Forodha (Customs) kukusanya Mapato ya bidhaa zinazoingizwa...
  18. Superfly

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kusajili jina la biashara na nisianze kupeleka kodi TRA?

    Mawazo yenu wakuu, yaani nataka tu kuweka security kwenye Jina la biashara yangu hapo baadae ntakapo ianza rasmi. Lakin nmeona moja ya vitu vinavyohitajika ili kusajili jina la biashara ni TIN namba. Sasa nahofia naweza kuingia kwenye sakata la kodi ya mapato mapema wakat biashara bado...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TRA wapangaji hatuhitaji maelezo ya kirafiki kuhusu KODI YA ZUIO, hizo namba zenu za simu zitumieni wenyewe

    TRA mnatupa namba za simu eti kwa maelezo zaidi. Mimi mpangaji na mpokeaji simu hatuwezi kutatua tatizo kupitia simu, kodi ua ZUIO inahitaji maelezo ya kina kutoka uongozi na si marisepshenisti. Tunataka kodi ya ZUIO ilipwe na mwenye nyumba na si mpangaji.
  20. Kwa msisi yetu

    JamiiForums Tanzania Hili la kodi kwa wapangaji TRA wameupiga mwingi

    Hakika ukusanyaji wa mapato utaongezeka kwa maendeleo ya nchi yetu. Hongereni TRA kwa kuliona hili, hongera mama yetu Samia Suluhu Hassan. TRA iangalie maeneo mengine na kupanua zaidi wigo wa kodi. Kodi ndio maendeleo ya nchi. Kazi iendelee.
Back
Top Bottom