Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mwezi mmoja (sawa na siku 30) kuipelekea mpango kazi wa namna walivyojipanga kukabiliana na hoja za kikaguzi zilizoainishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Makamu Mwenyekiti wa PAC...
Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa;
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango.
Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
Tatizo hii nchi wameshindwa kukunya kodi vizuri za TRA sababu kuu biashara karibu kubwa zote zinamikono ya viongozi wa hii nchi. Ukiomba risit utapigwa maneno kuwa machne mbovu na mizgo wanayonunua unakuta inapita bandarini bila ushuru.
Matokeo yake wanaona ngoja watumie mbinu yakuwaumiza watu...
Tangazo la TRA kuwatumia wapangaji kukusanya kodi ya zuio kwenye upangaji wa nyumba linaweza kuathiri zoezi la sensa kwani upo uwezekano wa baadhi ya taarifa za umiliki wa ardhi, nyumba kufichwa kuogopa kulipa kodi stahiki.
Ni muhimu kwa taasisi kama TRA kukaa kimya kuliko kutoa matamko...
Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi, tangazo la kazi hilo hapo chini. Nchi hazijengwi kilelemama na kwa kubembelezana!
Heshima sana wanajamvi,
Mamlaka ya mapato Tanzania ilibadili mfumo wake wa ku fill kodi mbali mbali kupitia mfumo mpya ambao badala ya kurahisisha kazi umeongeza ugumu wa kazi.
Unaweza kuchukua siku nzima ukihangaika kuufungua tu .Bado utasumbuka masaa mengi kurudia rudia kila mara na...
Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara nyingi.Kwa maelezo hayo naomebi wabobezi wa biashara kutoka CHINA na ambao wana shop at ALIBABA.COM...
TRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua.
Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi pamoja na kuidhalilisha taasisi na Watumishi wake.
Katika kipindi cha mwezi mzima, TRA haikuwa na...
TRA kwa muda mrefu wamekua wakilalamika kupoteza mapato mengi kutokana na wauzaji wa bidhaa kutotoa risiti za Kielektroniki
hii imesababishwa na wananchi wenyewe kutojua umuhimu wa kudai risiti za EFD
nilisikia TRA wameanzisha mchongo kwa baadhi ya wakazi wa dar kwamba ukikutwa na TRA umenunua...
Habari za muda,
Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo...
Mnamo tarehe 4 June nililipia sh 70,000 kwa ajili ya driving licence, nikaambiwa nitatumiwa ujumbe mfupi wa maneno nikaifate.
Hadi leo tarehe 30 June sijapata huo ujumbe katikati hapo nilienda kufatilia wakaniambia mashine ya kuprint imeharibika. Ina mana mpaka leo mashine imeharibika?au kuna...
Habari ya jioni wakuu.
Kuna baadhi ya watu walifungua/kusajili kampuni lakini wakawa kama wameitelekeza iwe ni kwa kufanyia kazi kwa muda mfupi na kuiacha ama kutoifanyia kazi kabisa baada ya kuisajili.
Mjue kuwa taarifa zenu zipo TRA tena nyie mliofungua kampuni kuanzia mwaka 2018 ndio hadi...
By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary
THE Court of Appeal has nullified the proceedings of the High Court, which granted extension of time to Milambo Limited to apply for judicial review in a tax matter relating to payments of over 145bn/- to Tanzania Revenue Authority (TRA).
Justices Stella Mugasha...
Rashid Shangazi: Katika kipindi cha miezi 9 mamlaka ya kodi imekusanya takribani trilioni 17.2 Ukipiga hesabu ya kila mwezi ni wastani wa trilioni 1.9
Kodi hizi zimekusanywa bila kutumia task force wala bila mtutu wa bunduki.
=====
Hivi kuna kipindi tulikuwa tunakusanya kodi kwa kutumia...
Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi!
Alichokifanya bwana Mwangosi alipofika Kigoma ni kuziba mianya yote ya...
Mamlaka ya mapato tra mkoani tabora imegawa mali mbalimbali ilizokamata kati ya mwaka 2019-2022 kutoka kwa wafanyabiashara waliokiuka utaratibu wa utoaji wa risiti kwa njia ya kielektroniki efd kwenye miamala yao.
tra imegawa mali hizo kwa jeshi la magereza na idara ya elimu manispaa ya tabora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.