Naomba mtu anaejua tofauti ya google na chrome

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,494
Reaction score
29,283
Binafsi sijajua tofauti yake maana naonaga zote kama ni sawa maana ukiingia goole unapata na ukiingia crome unapata.

Je, kuna tofauti nyingine?
20251012_202926.jpg
 
Tofauti kati ya Google na Chrome ni kama ifuatavyo:

Google:
  • Ni kampuni (Google LLC).
  • Inamiliki huduma nyingi kama Gmail, YouTube, Google Maps, Google Drive n.k.
  • Pia ni jina la search engine maarufu (Google Search).
  • Unapotafuta kitu mtandaoni, mara nyingi unatumia Google.

Chrome:
  • Ni browser (kivinjari cha mtandao) kilichotengenezwa na Google.
  • Kinatumika kufungua tovuti, kutazama video, na kufanya kazi mtandaoni.
  • Chrome hutumia Google Search kwa chaguo msingi (default).

Kwa ufupi:
Google ni kampuni na huduma ya kutafuta,
Chrome ni kivinjari cha mtandao kilichotengenezwa na Google.
 
Sawa mbona ukitumia google ni yale yale kama hiyo hiyo crome wakati wa ku sachi
 
Chrome upande wa kulia kuna vidoti vitatu,ukigusa hapoa italeta orodha ya machaguo,katika hayo kuna "desktop site" na pembeni yake kuna kiboksi cha kutiki,kazi ya hio desktop site ni nini?
Ahaa.
Lakini wao wenye kampuni wanamalego yao au?maana kun wesites ukiingia goongle wanalazimima kukupeleka crome
 
Kwa context ya maelezo yako. Google ni search engine, na chrome ni browser. So ukitumia App ya google kusearch unapata same interface kama unayoipata kwenye chrome. Hii ni kwa sababu default search engine ya chrome ni google.
 
Chrome upande wa kulia kuna vidoti vitatu,ukigusa hapoa italeta orodha ya machaguo,katika hayo kuna "desktop site" na pembeni yake kuna kiboksi cha kutiki,kazi ya hio desktop site ni nini?
Unatumia Browser yako kama ukiwa kwenye Laptop ukubwa wake

Ukutumia kawaida ukubwa wa website unakuwa saw sawa na simu ila ukiweka desktop ni sawa sawa na umefungulia Pc hata website inakuwa ndogo sana haitoshi kwenye screen ya simu
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom