tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Chuo cha Uhasibu Arusha tunawekewa matokeo tofauti na yaliyopo kwenye TRANSCRIPT

    Mimi ni Muhimu Chuo Kikuu kutoka Chuo Cha Uhasibu Arusha 2025 KERO yangu ni Kuna baadhi ya wahitimu wakienda kuchukua vyeti vyao unakuta matokeo yaliyoandikwa kwenye TRANSCRIPT ni Tofauti na Yale Mwanafunzi alipata kwenye mitihani yake. Mfano alipata A transcript imeandikwa B+ katika module...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini theory za uumbaji kwa mujibu wa dini zote mbili (ukristo na uislam), zipo tofauti saana na sayansi, historia?

    Habari wakuu, moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba mtambue sitaki kuleta mtafaluku kwenye dini zenu, nataka kujua kama hili gape la tofauti kati ya uhalisia na maandiko yenu hamlioni?? Natamani niweke vifungu vya maandiko lakini uzi utakua mrefu sana na utaboa. Naomba leo tutumie kigezo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti?

    Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti ?
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini gari zinazotumia Diesel zinadumu kwa muda mrefu zaidi tofauti na za Petrol

    Na Morning Joy Motors +255797113153 Kaloleni, Arusha Tanzania Kama umewahi kusikia sehemu katika pita pita zako watu wakisema kwamba gari zenye engine ya diesel ni bora zaidi kuliko zenye petrol , lakini pengine ikakuwia vigumu kuwaelewa kwa namna moja ama nyingine Basi Leo sisi Morning Joy...
  5. JamiiForums Tanzania Brenda Rupia: CHADEMA hatuitambui Tume. Haiwezekani Mwenyekiti wa CCM awe kiongozi alafu aliowachagua watoe msimamo tofauti na alioutarajia

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
  6. JamiiForums Tanzania Arsenal atachukua EPL kwa tofauti ya Point moja tu Manchester City

    Wakuu Mimi ni mkali wa correct scores kwenye mikeka hata ofsini kwangu wananiita Messi wa mikeka Toka huu mwezi uanze Kuna intuition imekaa ndani yangu ikiniambia kuwa Arsenal atabeba ubingwa wa EPL 2025/2026 kwa tofauti ya Point moja tu niliwahi kumtabiria Leicester city January na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Lissu na Samia ni kwamba mmoja wao ni fake!

    Tofauti ya Lissu na Samia ni kwamba mmoja wao ni fake!. Magufuli alipata wafuasi wengi kwasababu hakuwa fake pamoja na mapungufu yake. Lissu naye hajawahi kuwa fake. Mama Samia ndiyo maana halisi ya mtu fake. Mama Samia watanzania wanajua anasema chaguzi zilikuwepo lakini hazikuwepo, ushindi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jaji hajui tofauti ya session na seatings? au amenukuliwa vibaya

    Jaji hajui tofauti ya session na seatings halafu useme tuna Jaji hapa! Isije kuwa nimenukuu vibaya, maana siamini! Jaji ni mtu mkubwa sana kisheria, anajua sana sheria kuzisoma, kuzitafsiri, kuzifundisha...and lastly kuzitumia....having higher mental faculty of reasoning! Kutoka.mtandaoni...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Jaji anashindwa kutofautisha seating na sessi au alitaka kupotosha mshitakiwa na mahakama , Kwa wenye uelewa mtusaidie tofauti

    Kama alitaka kupotosha mahakama Nia yake nini Kwa mshitakiwa Inakuwaje NENO dogo kama Hilo Jaji anakosa uaminifu je vipi kuhusu hukumu ya kesi yenyewe Inakuwaje mifumo mikubwa inayoiminika kuwa katika hali hii kwenye kesi kubwa namna hii Jaji ameleta kifungu namna Lissu alivyolitafsiri...
  10. JamiiForums Tanzania Hii Haina tofauti na mzazi anamtoa mtoto wake kijijini aje kufanyia kazi za ndani mjini

  11. JamiiForums Tanzania Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti vitatu.

    Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka. Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa vumilia ikabidi amuulize...
  12. JamiiForums Tanzania Urais wa Samia kwa sasa hauna maana yoyote ile wala faida yoyote ni utumwa tofauti alivyo anza ndio ulikuwa urais asione aibu kujiuzuru

    Urais wa Samia kwa sasa hauna maana yoyote ile wala faida yoyote zaidi ya utumwa tofauti na alivyo anza ndio ulikuwa urais asione aibu kujiuzuru. Asione haibu kusema nimechoka watanzania walinikataa nimelazimisha lakini nimechoka hata miezi minne haijaisha lazima aseme nimeacha mauwaji na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya form 4 yanaonesha wazi mikoa ya kaskazini iko juu sana kielimu, tofauti yao hawapendi kujisifu na kujigamba kama mikoa mingine inayofuata

    Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3. 1. Division 1 hadi 3 Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele. 2. Division 1 hadi 4...
  14. JamiiForums Tanzania Kuitwa hili neno sio tusi. Dini zetu zote tupendani tunamuabudu Mungu mmoja tofauti ni njia za kuabudu

    Jana nilikutana na raia mmoja wa Misri akanifafanulia mambo ambayo sikuyajua. Mimi kwa mawazo yangu nilidhani hakuna wakristo Misri ila aliniambia wapo wengi tu japo idadi kubwa ni waislam na yeye mwenyewe ni mkristo. Akaniambia hata Iraq kwenyewe kuna wakristo hata Tariq Azizi aliyekuwa waziri...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiachana na madhaifu yake yote ila Ndugu Jakaya Kikwete alikuwa rais wa tofauti sana na je logic ya kuondoa bendera ya Chadema kwa Mtei ni ipi?

    Hii ilikuwa kwenye msiba wa Bob Makan ambae na yeye alikuwa mmoja wa Waasisi wa Chadema na yeye alikuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. Jeneza la Bob Makani lilifunikwa bendera ya Chama mwanzo, mwisho. Hata Kikwete akiwa Rais alitoa heshima za mwisho jeneza likiwa limefunikwa bendera ya...
  16. JamiiForums Tanzania Siku hizi mambo ni tofauti kabisa

    Zamani hili vazi lilikuwa na heshima ila kwa sasa ndilo linaweka mambo hadharani tofauti na suruali
  17. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya maandano ya WAKATOLIKI na wanaojiita wakatoliki

    Tazama tofauti kati ya maandano ya "wakatoliki" na "wanaojiita wakatoliki"
  18. T

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mnavyozidi kujitangaza msisahau kuongeza/maintain chaneli Bora kuwe na machaguo tofauti

    Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za Wasauzi,Ghana na Kenya na za Lugha zao za makabila... Hivyo kwenye muvi machaguo ni machache, mteja...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tulipofika Tanzania, mtu akiwa na mawazo tofauti anaitwa ‘Mwanaharakati’

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema tulipofikia katika taifa hili kila aliye na mawazo tofauti anaitwa Mwanaharakati.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Leo Christmas? Mbona tofauti ni kubwa?

    Leo ni krismasi kwa mataifa kadhaa duniani, yakiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Mamilioni ya Wakristo wa dhehebu la Orthodox husheherekea Krismasi Januari 7, badala ya Disemba 25, iliyozoeleka na wengi. Unaweza kuiita Krismasi ya Orthodox. Ni sikukuu inayopewa heshima kubwa kwa baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…