tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti niliyoiona kati ya Rais Samia na Hayati Dkt. Magufuli hadi sasa

    Amani iwe nanyi wanabodi Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa 1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na kuabudu. Kielelezo cha haya ni takwimu kubwa zinazombeba zinazoendelea kutolewa hadi sasa kuhusu Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Siasa za uwekezaji na uwezeshaji, tofauti na uhalisia wake

    Baada ya kuwa msomaji na mfuatailiaji na mchangiaji mzuri sana wa Jamii Forums kwa muda mrefu, ingawa uchangiaji wangu hapa JF umejikita katika mambo ya biashara, ujasiriamali na mengineyo machache, leo nimeona nitoe dukuduku langu kwa uchache kwenye siasa. Lakini mada yangu hii ya siasa...
  3. JamiiForums Tanzania Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

    1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108) 2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115) Ikulu hawako serious. Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Video' ya ngono ikivuja jamii haimuangalii vizuri mwanamke aliyeshiriki kwenye hiyo video tofauti na inavyokuwa kwa mwanaume?

    Video ya ngono iki leak mwanamke aliyomo kwenye hiyo video huwa haangaliwi vizr na jamii yake tofauti na mwanaume aliyehusika pia kwenye hiyo video. Mwanamke atataniwa kwa aina ya matusi na utani na sometimes inaweza kumpelekea msongo wa mawazo mwisho kujiua lakini kwa upande wa mwanaume yeye...
  5. JamiiForums Tanzania UVCCM: Viongozi CHADEMA hawajui tofauti ya Uhuru wa Mahakama, Utawala Bora na Uongozi wa Kiimla

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mtwara, Nasibu Kanduru amesema kuwa matamshi ya Tundu Lissu akiwa nje ya Nchi yanaonyesha wazi Viongozi wa CHADEMA hawajui kutofautisha kati ya Uhuru wa Mahakama, Utawala Bora na Uongozi wa Kiimla. Kanduru amesema: "TunduALissa anaonyesha fika anajua Mashitaka...
  6. JamiiForums Tanzania Njia tofauti za kupata mtaji wa biashara

    Naomba leo tuzungumze namna tofauti Za kupata mtaji kwakuwa kuna changamoto Sana kwa Wau wengi wanaotaka kufanya biashara kupata fedha Za kuanzia. Napenda tuangalie namna na mbinu unazoweza kuzitumia kufikia malengo yako Ya biashara Mbinu ya Kwanza naweza kuelezea ni ni kuhifadhi pesa hii ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu nisome kozi gani?

    Kwa matokeo haya Phy C, Chem D, Bios E naombeni ushauri nisome kozi gan nzurii tofauti na education Nilikua napenda medicine lakini vigezo sina, na diploma simudu ada.
  8. JamiiForums Tanzania Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

    Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu. Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake. Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda usalama wa nchi. La kwanza kuhusu kilichomo kwenye chanjo au (content). Mchungaji Gwajima anadai ni...
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamishwa namna tofauti za upishi wa dagaa

    Nipo chuo na ninaishi na mshkaji wangu. Huyu jamaa ninayeishi nae, ni mpenzi mkubwa sana wa dagaa. Ila, jamaa hawezi kuzipika. Kwa wiki ni LAZIMA tuzile angalau mara 1 ila ladha ndio mtihani. Nilikuwa ninapenda sana kula dagaa ila huyu jamaa ameniharibia kabisa taste yangu. Kwa wenye ujuzi...
  10. JamiiForums Tanzania Kilio Cha tozo za miamala ni ushahidi kuwa wananchi wanakaribia kuzisahau tofauti zao za kisiasa dhidi ya maisha Yao.

    Wanasiasa someni alama za nyakati, kaeni chonjo saa mbaya. Tozo kubwa kwenye miamala ya simu imekwenda kufuta mstari muhimu sana kwa wanasiasa unaowatenganisha watanzania kwenye itikadi za vyama vyao vya siasa. Hakuna wanaCCM wala wapinzani kwenye tozo za miamala ya simu. Hii sio ishara njema...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mawaziri wakiongea hawatofautiani na viongozi wa vyuo vikuu kwa hoja za kitoto

    Kuna mawaziri wengine sijui kama huwa wanajisikiliza wakiongea! Nasema hivi kwasababu, ukisikiliza presentation ya baadhi ya mawaziri utagundua kabisa inchi yetu hii ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa na kutuacha na mabarango. Waziri wa fedha kila nikimsikiliza naona...
  12. JamiiForums Tanzania Kampuni inaweza kuanzisha ligi ya mpira wa miguu tofauti na hii iliyo chini ya TFF?

    Habari wakuu, Hapa namaanisha kampuni inataka kuwekeza kwenye mpira wa miguu. Inatafita viwanja vyake, kwa kukodi au kwa kujenga. Kisha inatafuta timu na kuanzisha ligi yake. Mapato ya mlangoni na haki za matangazo inachukua. Yaani kampuni inaendesha kila kitu, inakuwa haiko chini ya TF wala...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Urafiki kati ya Jinsia Tofauti

    🔏 Urafiki unawezekana bila ngono? Naomba kuyaweka mezani Maswali Haya: Je, rafiki ni nani? Ili mtu awe rafiki yako mambo gani ni ya msingi kutimia? Je, rafiki wa jinsia iliyop tofauti na yako ana tofauti gani na rafiki wa jinsia yako? Je, kuna uwezekano wowote wa kuwa na urafiki na mtu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mkuu wa Mkoa vs Waziri : Ipi tofauti kati ya "Makambi ya RC Mtaka" na RC Geita kufukuza wanafunzi 11 na kuhamisha Walimu .

    Mods uzi una maudhui tofauti na nyuzi zilizopita japo nimezitumia kama Mfano. Nimeweka Link ya Mijadala hiyo Miwili ili kuweka kumbukumbu sawa. Kuna mada imetrend sana kwenye jamvi letu kuhusu Kauli ya RC wa Dodoma Mh Mtaka akipinga maagizo ya Waziri wa elimu Prof Ndalichako ya kutaka kuondolewa...
  15. JamiiForums Tanzania Fahamu tofauti kati ya Eid ul-Fitr na Eid ul-Adha

    Eid ul-Fitr maana yake ni "sikukuu ya kumaliza mfungo" na kutumiwa kuadhimisha mwisho wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Siku hii huwa ni siku rasmi ya mapumziko katika mataifa mengi yenye waumini wengi wa Kiislamu. Hata hivyo idadi ya siku za mapumziko huwa tofauti katika nchi mbalimbali...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Afrika wanapenda kuvaa nguo za label ya gharama tofauti na Matajiri Wazungu

    Mzee Bozi Boziana amevaa track suit ya Christian Dior lakini Bill Gate, Mark Zuckerbergs hata Jeff wa Amazon huvaa nguo za kawaida sana.
  17. A

    JamiiForums Tanzania Aina tofauti za nyumba na majina yake

  18. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya network ya kupiga simu na network ya internet?

    Simu infinix ina line ya tigo. Ikiwa kwenye 4G au 3G ukiipigia haipatikani. Hata kama umezima data. Ila ikiwa kwenye 2G simu ukiipigia inapatikana hata kama umezima data. Sasa nimeshindwa kuelewa hii kitu inakuwaje. Naomba ufafanuzi kwenye hili. Cc. reyzzap na Chief-Mkwawa
  19. I

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuna tofauti gani kati ya GDP na budget ya serikali?

    Naomba msaada wajameni maana huwa siwezi kuvitofautisha kabisa.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani Mkuu wa usalama umewahi kuteuliwa Balozi tofauti na Tanzania?

    Ni kawaida kwa viongozi wakubwa nchini wanapoteuluwa kuiona fursa ya uteuzi nakusau umuhimu wakulinda na kuhifadhi hadhi ya juu aliyopewa. Kumteua mkuu wa usalama kwenye cheo chochote kunatua dosari nafasi hii. Narafakari Ni nchi gani imewahi kumteua mkuu wa usalama kushika nafasi ya ubalozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…