Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Aikael Mbowe amezindua mfumo wa kidigital kwa ajili ya shughuli za Chama chao. Mfumo wa kidigital unasaidia kutunza kumbukumbu za Wanachama, kuratibu malipo ya ada za uanachama kwa urahisi pamoja na kurahisisha mfumo wa taarifa kutoka katika Chama kwenda kwa...