Tofauti ya wachaga na wapare

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,007
Wachaga na wapare wanatokea mkoa wa Kilimanjaro hizi ndo baadhi ya tofauti zao
Ubahili
Wachaga na wapare ni wabihili, Ila mchaga ni mbahili kama haingizi hela, Ila ubahili wa wapare umezidi mpaka umeenda kwenye uchoyo.

Pride
Wapare wanapride anaweza akawa zaidi ya makabila yote Tanzania, mpare anaweza akawa na ndugu wa kuzaliwa akawa na hela na yeye akaendelea kupambana na umaskini wake yaani maksudi hataki msaada, tofauti na wachaga akitokea ndugu ana hela ataabudiwa.

Kuishi na watu
Mchaga ni mbaguzi kiasili mtu ambaye sio mchaga anamdharau au anmchukulia poa sana, labda uwe umemzidi elimu, au kipato ataishi na wewe vizuri Ila kinafki, au uwe unamletea faida ya ela kwake utaishia nae vizuri, tofauti na hapo mchaga atakudharau sana, mpare tofauti na mchaga anaishi na watu vizuri.

Ulozi
Ukienda upareni utakutana na vimsitu vidogo vidogo vingi vile vimsitu ni madhabau ambayo ndani yake utakuta vyungu ambavyo ndani yake kuna mafuvu ya mababu zao na ni karibia kila ukoo Wana hizi sehemu za matambiko in short mpare kwa uchawi hayuko nyuma, mchaga uchawi ni kama wamenunua Ila kiasili sio sana.

Wanawake
Ukioa mpare inabidi ujipange kisawasawa ukikaa vibaya utakuta unasaidia upande wa mke halafu ndugu Zako wako hoi bin taaban, kwa wachaga wanawake ambao ni tishio ni kutoka Old Moshi wale hawafai wako kimaslahi sana mfano wanawake wa kimachame sio wabaya kama watu walivyoaminishwa.

Mapenzi
Wachaga sio wanawake au Wanaume hawajui mapenzi Ila mitandao hii na kuishi mijini kunawasaidia, Ila mchaga aliyezaliwa Manushi, Shimbwe, Nkwarungo, au Olele huko hajui mapenzi, tofauti na wapare wao wanajitahidi.

Ukoloni na unoko
Ogopa sana umkute Mzee wa kipare aliyesoma ni wanoko balaa hawapendi short cut yaani hata mtoto wake anamkazia ni watu wanaoamini unatakiwa upambane ndo maana wapare hawajaendelea kama wachaga kwa sababu hawana utamaduni wa kusaidiana.

Ujanja ujanja
Wachaga ni wajanja mbaya mno ukikaa vibaya anakutoa hela Ili apate hela na ni ruthless watu ambao hawajali chochote yeye, wapare wanapenda kutumia njia halali ndo maana ni ngumu kukuta wameendelea wanamaisha ya kawaida kinachowaponza ni kupenda kuwa waaminifu.

Kupenda kwao
Wachaga wanapenda kwa kwa sababu uchagani ni kuzuri Kuna miundombinu yote ya kijamii karibia kila nyumba imepitwa na Barabara na Ina maji ya Bomba, upareni ya kusini ni kubaya kama Same uende chome kule hakutamaniki, upareni ya kaskazini (Usangi na Ugweno) ni kuzuri sababu nao wana barabara ya lami wamshukuru sana Msuya na kidogo hakuna milima sana sehemu nyingi zinafikika tofauti na upareni ya kusini, halafu pia watu wanatumia maji ya Bomba sababu wako waliojiongeza wamejenga visima.

Karibuniiii
 
Wachaga na wapare wanatokea mkoa wa Kilimanjaro hizi ndo baadhi ya tofauti zao
Ubahili
Wachaga na wapare ni wabihili, Ila mchaga ni mbahili kama aingizi ela, Ila ubahili wa wapare umeezidi mpaka umeenda kwenye uchoyo

Pride
Wapare wanapride anaweza akawa zaid ya makabila yote Tanzania, mpare anaweza akawa na ndugu wa kuzaliwa akawa na hela na yeye akaendelea kupambana na umaskini wake yaani maksudi hataki msaada, tofauti na wachaga akitokea ndugu ana ela ataabudiwa

Kuishi na watu
Mchaga ni mbaguzi kiasili mtu ambaye sio mchaga anamdharau au anmchukulia poa sana, labda uwe umemzidi elimu, au kipato ataishi na wewe vizuri Ila kinafki, au uwe unamletea faida ya ela kwake utaishia nae vizuri, tofauti na hapo mchaga atakudharau sana, mpare tofauti na mchaga anaishi na watu vizuri

Ulozi
Ukienda uparen utakutana na vimsitu vidogo vidogo vingi vile vimsitu ni madhabau ambayo ndani yake utakuta vyungu ambavyo ndani yake Kuna mafuvu ya mababu zao na nikaribia kila ukoo Wana hizi sehemu za matambiko in short mpare kwa uchawi hayuko nyuma, mchaga uchawi ni kama wamenunua Ila kiasili sio sana

Wanawake
Ukioa mpare inabidi ujipange kisawasawa ukikaa vibaya utakuta unasaidia upande wa mke alafu ndugu Zako wako hoi bin taaban, kwa wachaga wanawake ambao ni tishio ni kutoka old Moshi wale hawafai wako kimaslahi sana mfano wanawake wa kimachame sio wabaya kama watu walivyoaminishwa,

Ukoloni na unoko
Ogopa sana umkute Mzee wa kipare aliyesoma ni wanoko balaa hawapendi short cut yaani hata mtoto wake anamkazia ni watu wanaoamini unatakiwa upambane ndo maana wapare hawajaendelea kama wachaga kwa sababu hawana utamaduni wa kusaidiana,

Ujanja ujanja
Wachaga ni wajanja mbaya mno ukikaa vibaya anakutoa ela Ili apate ela na ni ruthless watu ambao hawajali chochote yeye, wapare wanapenda kutumia njia halali ndo maana ni ngumu kukuta wameendelea wanamaisha ya kawaida kinachowaponza ni kupenda kuwa waaminifu

Kupenda kwao
Wachaga wanapenda kwa kwa sababu uchagani ni kuzuri Kuna miundombinu yote ya kijamii karibia kila nyumba imepitwa na Barabara na Ina maji ya Bomba, uparen ya kusin ni kubaya kama same uende chome kule hakutamaniki, uparen ya kaskazin (usangi na ugweno) ni kuzuri sababu nao wanabarabara ya lami wamshukuru sana Msuya na kidogo hakuna milima sana sehemu nyingi zinafikika tofauti na uparen ya kusini, alafu pia watu wanatumia maji ya Bomba sababu wako waliojiongeza wamejenga visima.
Karibuniiii
Wote wana Mapungufu makubwa ila ukiniambia wa angalau nichague wa Kuishi nae nitamchagua Mchagga na Mpare nitamuacha na Roho yake Mbaya, Ubahili, Unafiki, Uchoyo na Uchawi aliyobarikiwa nayo.

Wachagga ni Mashemeji zangu nawajua vyema na Wapare pia ni Shangazi zangu kwani Mjomba wangu Kaoa huko na cha Moto amekipata na anamalizia Kukipata akiwa Uzeeni nae.
 
Kuna kastori nilikasikia mahali kwamba wapare na wachaga walikuwa kitu kimoja ila wapare walifukuzwa huko na kukimbilia milimani na ndio maana ya jina wapare mpare maana yake mpige.
 
Wachaga na wapare wanatokea mkoa wa Kilimanjaro hizi ndo baadhi ya tofauti zao
Ubahili
Wachaga na wapare ni wabihili, Ila mchaga ni mbahili kama aingizi ela, Ila ubahili wa wapare umeezidi mpaka umeenda kwenye uchoyo

Pride
Wapare wanapride anaweza akawa zaid ya makabila yote Tanzania, mpare anaweza akawa na ndugu wa kuzaliwa akawa na hela na yeye akaendelea kupambana na umaskini wake yaani maksudi hataki msaada, tofauti na wachaga akitokea ndugu ana ela ataabudiwa

Kuishi na watu
Mchaga ni mbaguzi kiasili mtu ambaye sio mchaga anamdharau au anmchukulia poa sana, labda uwe umemzidi elimu, au kipato ataishi na wewe vizuri Ila kinafki, au uwe unamletea faida ya ela kwake utaishia nae vizuri, tofauti na hapo mchaga atakudharau sana, mpare tofauti na mchaga anaishi na watu vizuri

Ulozi
Ukienda uparen utakutana na vimsitu vidogo vidogo vingi vile vimsitu ni madhabau ambayo ndani yake utakuta vyungu ambavyo ndani yake Kuna mafuvu ya mababu zao na nikaribia kila ukoo Wana hizi sehemu za matambiko in short mpare kwa uchawi hayuko nyuma, mchaga uchawi ni kama wamenunua Ila kiasili sio sana

Wanawake
Ukioa mpare inabidi ujipange kisawasawa ukikaa vibaya utakuta unasaidia upande wa mke alafu ndugu Zako wako hoi bin taaban, kwa wachaga wanawake ambao ni tishio ni kutoka old Moshi wale hawafai wako kimaslahi sana mfano wanawake wa kimachame sio wabaya kama watu walivyoaminishwa.

Mapenzi
Wachaga sio wanawake au Wanaume hawajui mapenzi Ila mitandao hii na kuishi mijini kunawasaidia, Ila mchaga aliyezaliwa manushi, shimbwe, nkwarungo, au olele huko hajui mapenzi, tofauti na wapare wao wanajitahidi

Ukoloni na unoko
Ogopa sana umkute Mzee wa kipare aliyesoma ni wanoko balaa hawapendi short cut yaani hata mtoto wake anamkazia ni watu wanaoamini unatakiwa upambane ndo maana wapare hawajaendelea kama wachaga kwa sababu hawana utamaduni wa kusaidiana,

Ujanja ujanja
Wachaga ni wajanja mbaya mno ukikaa vibaya anakutoa ela Ili apate ela na ni ruthless watu ambao hawajali chochote yeye, wapare wanapenda kutumia njia halali ndo maana ni ngumu kukuta wameendelea wanamaisha ya kawaida kinachowaponza ni kupenda kuwa waaminifu

Kupenda kwao
Wachaga wanapenda kwa kwa sababu uchagani ni kuzuri Kuna miundombinu yote ya kijamii karibia kila nyumba imepitwa na Barabara na Ina maji ya Bomba, uparen ya kusin ni kubaya kama same uende chome kule hakutamaniki, uparen ya kaskazin (usangi na ugweno) ni kuzuri sababu nao wanabarabara ya lami wamshukuru sana Msuya na kidogo hakuna milima sana sehemu nyingi zinafikika tofauti na uparen ya kusini, alafu pia watu wanatumia maji ya Bomba sababu wako waliojiongeza wamejenga visima.
Karibuniiii
Malizia kwenye swala la mapenzi wapare hujasema
 
Kuna kastori nilikasikia mahali kwamba wapare na wachaga walikua kitu kimoja ila wapare walifukuzwa huko na kukimbilia milimani na ndio maana ya jina wapare mpare maana yake mpige.
Mpare asili yake imetoka usambara na wataita wa Kenya... Mchaga hana asili ya ufupi na uchawi ndio mana huwezi kukuta mganga uchagani.
 
Back
Top Bottom