tiketi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kivuko cha Busisi - Kigongo Ferry kuna mazingira ya upigaji, Tiketi hazichanwi na hawazi-scan

    Nianze kwa kusema kuwa inawezekana matumizi sahihi ya tiketi zinazotumika katika Kivuko cha Busisi - Kigongo Ferry Mkoani Mwanza hayapo sawa au kuna watu wachache wanatengeneza mazingira ya kukosekana kwa usawa. Kwanza kabisa Hakuna utaratibu wa ku scan tiketi kama ilivyokuwa zamani, wakati wa...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

    Wanasimba nawapenda sana, ila naomba kulalamika, nimeomba ticket ya VVIP kuajili ya mtoto wangu: kamati ya Salim Mk wa board na pamoja na Mk wa simba Mwangungu na CEO Imani wamekataa. :- Je hii ni haki? je hi ni zhulma?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatma ya tiketi za bure za Rais kwa mashabiki kwa mechi ya Yanga vs. USM Alger?

    Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa. Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda kuishangilia Yanga vs. USM Alger. Je, historia itajirudia?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nchini KM 2035 zinajengwa kwa wakati mmoja

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaandika historia chini ya Rais Samia Suluhu kwa kutekeleza ujenzi wa Kilometa nyingi za barabara kwa wakati mmoja. Serikali inaenda kutekeleza miradi mikubwa yenye Jumla ya kilometa 2035 ambayo itaanza kutekelezwa Kwa wakati Mmoja na itagharimu shilingi trillioni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars vs Uganda Cranes: Serikali yakabidhi tiketi 20,000 kwa TFF kwa ajili ya Mashabiki kuingia uwanjani

    SERIKALI YAKABIDHI TIKETI ELFU 20 KWA TFF Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ndg. Saidi Yakubu amekabidhi tiketi Elfu 20 Kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)kwa ajili ya Mashabiki kuingia uwanjani kuishangilia Taifa Stars Machi 28, 2023 Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar...
  6. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa tiketi 7,000 za mechi ya Stars vs Uganda

    Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amesema tiketi hizo ni kwa ajili ya motisha ili kuhakikisha timu yetu ya taifa inafanya vizuri katika mchezo unaotarajiwa kuchezwa na Uganda siku ya jumanne tarehe machi...
  7. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Serikali kununua tiketi 4000, ni ishara kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi?

    Suala la rais na waziri mkuu kuahidi kununua tiketi za kutazama mpira kwenye mechi ya taifa stars, je ni dalili kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi? Nini umuhimu wa kuwa na uwanja wa taifa kama kitega uchumi cha taifa?
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Waziri Mkuu wanunua tiketi 4000 mchezo wa Tanzania vs Uganda

    Picha: Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wamenunua jumla ya tiketi 4,000 za mechi ya kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania na Uganda. Tiketi hizo zitagawiwa kwa mashabiki ili waende kushuhudia mechi hiyo itakayochezwa uwanja...
  9. funluverx

    JamiiForums Tanzania KUZAA NAE ISIWE TIKETI YA NDOA. MAMAMKWE NAE 'DJINGAH' TU.

    Kwenye harakati za kuiridhisha nafsi kupitia 'kiburudisho' ikatokea kamtundika mimba na kuzaa binti ambae tayari anae mtoto. Mshikaji hakuwahi kumuweka huyu binti kwenye fikra zake kwamba siku moja angeweza kuwa mke kwake. Na hilo aliliweka wazi ambapo pamoja na vigezo vingine lile swala la...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wapewa tiketi 13,000 za bure kuiona Morocco ikicheza Nusu Fainali World Cup 2022

    Shirikisho la Soka la Morocco (MFF) limetoa tiketi 13,000 kwa mashabiki wa timu yao ya taifa kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Nusu Fainali dhidi ya Ufaransa, Jumatano Desemba 14, 2022. Ndege za Shirika la Ndege la Royal Air Maroc limetoa ndege 30 kwa ajili ya kwenda Qatar kukiwa na punguzo la...
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Mnaokata tiketi za mwendokasi acheni kunyanyasa wanafunzi wanaovaa nguo za nyumbani

    Wakata tiketi kwenye mwendo mnanyayasa sana watoto, nimeshuhudia karibu mara tatu mnagombana na vijana ambao ukimuona kwa umri wake kabisa ni mtoto mnataka alipe nauli ya mtu mzima hivi kisa amevaa nguo za nyumbani si sawa kabisa. Hivi nyinyi amjui umri wa mtoto? serikali naomba iangalie hili...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bashiru anafaa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Ufipa changamkeni

    Hatimaye fursa imekuja mlangoni kabisa mwa makazi ya Ufipa. Huyu katibu mkuu wa zamani atawafaa sana Ufipa kuwa mgombea wao wa urais endapo atajitoa au kufukuzwa CCM kufuatia hili sakata lake linaloendelea. Mimi kama mtu ninayependa kuona upinzani unastawi basi ninawasihi ndugu zangu kwa kipindi...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sanga alia gharama kubwa za tiketi ATCL

    Mbunge wa Makete Festo Sanga ameitaka serikali kuangalia upya bei ya tiketi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania kwa kuwa ni kubwa kulinganisha na uhalisia." Ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mapendekezo ya Mapango wa Taifa. Sanga amesema: "Ukikata tiketi ya DSM kwenda...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea

    Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu iliyopata zabuni ya kuendesha mradi wa Mabasi hayo itaanza utaratibu huo Novemba 2022. Pia, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Usafirishaji wa DART, Fanuel Karugendo amesema wameipa miezi 6 kampuni hiyo kuingiza mabasi mapya na kwa kuanza...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kampeni dhidi ya Covid -19 tiketi 10,000 kugawiwa bure

    Kwa wale watakao ridhia kwa hiari chanjo ya Covid-19 kuelekea 2 November 2022 kuangalia mechi ya Young Africans vs Club Africain, tiketi 10,000 za bure wametengewa. Hii ni maalum kuongeza ufahamu dhidi ya magonjwa kama Covid-19 na Ebola kwa kampeni kuwalenga watu wengi kuongeza ufahamu na...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo

    Jimbo la Hai, Kilimanjaro mbunge wake ameamua matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ni zake na fedha hizo zimekuwa siri, kwa mbunge na ameamua kutokuweka wazi matumizi yake kwa kuunda kamati ya kusimamia mfuko huo. “ kamati ya mfuko wa jimbo, ingehusisha madiwani wote na watendaji wa taasisi...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Tiketi za ndege zimekwisha, Warusi wanaitoroka nchi yao baada ya hotuba ya Putin

    Putin ametoa hotuba itakayoanza kulazimisha wanajeshi wa akiba.... Tiketi za ndege zimeisha, hamna ndege, watu wanaikimbia nchi, tatizo ni mataifa machache yanawapokea Warusi kwa sasa.... Russian President Vladimir Putin has announced the partial mobilization of his country's reservists...
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jaribio la bunge Uganda kulizima tamasha la 'Nyege Nyege' lapandisha mauzo ya tiketi

    Waandaaji wa tamasha la muziki nchini Uganda la 'Nyege Nyege' wanasema jaribio la bunge la kupiga marufuku tamasha hilo kwa sababu ya wasiwasi kwamba linapotosha maadili limeongeza mauzo ya tiketi. Tamasha hilo karibu na kingo za Mto Nile limevutia takriban watu elfu kumi na mbili, wengi wao...
  19. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kumaliza shule siyo tiketi ya kuoa ama kuolewa

    "Subiri nimalize shule" imeongeza idadi kubwa ya wasomi ambao wameshindwa kutimiza malengo yao. Wengi hudhani ya kwamba, kuhitimu masomo ndiyo mwanzo wa kuanzisha familia. Wakike kwa waume wanasahau ndoto zao za awali na kukimbilia kuoa ama kuolewa pasipo kutimiza zile ndoto walizokuwa nazo...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Tiketi za kielektroniki

    Nimesikia kwamba utaratibu wa kutumia tiketi za kielektroniki umeanza rasmi tarehe ya leo. Tunaambiwa tukate tiketi ya Bus husika online, tunatambua sio Kampuni zote za Mabasi zina website sasa sijui itakuwaje. Mwenye uelewa kuhusu utaratibu huu naomba anieleweshe zaidi.
Back
Top Bottom