Mashabiki wengi wa timu ya Taifa ya Nigeria wanahofu ya kukosa nafasi ya kuingia uwanjani kuiunga mkono timu yao hii leo , kwa sababu mashabiki wa Morocco wamenunua tiketi zote. Hii sio mara ya kwanza kwa Morocco kufanya hivyo, walifanya hivyo mwaka jana wakati wa fainali ya timu ya wanawake...
Tanzania ya Sasa hivi ni ya moto sana, zamani yalipoitishwa maandamano watu walichukulia poa tu, Kwa kujua hakuna atakayetoka.
Kilichotokea MO29, kimetoa blueprint ya maandamano nchini.
Sasa Toka maandamano ya D9 yatangazwe, serikali imenywea kabsa inaogopa kutoa vitisho,na kufanya mazoezi ya...
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka TRC Bw. Fredrick Masawe (kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Bw. Jema Msuya wakionesha kadi ya malipo ya kabla ya tiketi ya SGR iitwayo TRC Prepaid Card wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo yenye lengo la kuongeza ufanisi katika uuzaji...
Hivi punde Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamezua gumzo kubwa mitaani na mitandaoni baada ya kutangaza viwango vya tiketi kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya jamii kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC.
Tiketi za mzunguko zitauzwa kwa shilingi elfu 5, VIP C shilingi elfu 20, VIP B elfu...
'I congratulate Kenyans who've bought Tanzanian tickets', CS Murkomen joins CHAN banter
Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has become the latest high-profile figure to wade into the lighthearted football banter between Kenya and Tanzania ahead of the 2024 African Nations Championship...
Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani
1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni
Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4):
"Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025
Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini.
Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamempatia ushindi wa kishindo katika kura za maoni akiwaacha mbali sana wapinzani...
Polepole ameamsha hasira miongoni mwa wanaccm walio wengi. Na hivyo kupelekea vigogo 3 kujipanga kwenda mahakamani kuzuia uteuzi wa mgombea urais kwa madai kuwa mchakato haukufuata katiba, kanuni na taratibu za chama chao.
Endapo shauri hilo litafunguliwa, kuna uwezekano mkubwa CCM ikafuata...
Nisijifanye mjanja halafu nikaishia kuumbuka! Wazoefu mnisaidie tafadhali!
Ikiwa unataka kufanya booking ya ticket ya ndege, ukikutana na neno SELF TRANSFER linamaanisha nini?
Ni kama inavyosomeka hapo chini.
Asanteni!!!
Nafikiri hii ilikua kwa ajili ya usalama wa abiria na mali zake ? Au ni kwa ajili ya walipa kodi wengine huyu Abood yeye haimhusu ?
Nimeona taarifa kutekwa kwa kada wa Chadema aliekua ndani ya Abood na walipoulizwa taarifa walisema wao hawana tiketi za ki electronic wao ni akina nani wasitake...
Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia Tiketi za Kidigitali (Digital Support Tickets).
Maelezo ya Wazo:
Katika siku maalum kama vile Yanga...
Naomba uongozi wa Yanga , wafanye juu chini mechi ya Derby tusicheze Kwa mkapa kwakuwa uwanja ule unamatatizo ya pitch lakini pia ,inasemekana Simba Kuna vidubwana wameweka chini Ya Ardhi.
Pia na sisi mechi hii kwakuwa sisi ni wenyeji ,lazima tufanye ubaya ubwela kweli kweli, kwanza Simba kama...
Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? 😂 Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi yakimbis kusikojulikana😂, Mzee Mguto na President Karia wafichwa ikulu kuepusha shari 😂😂😂😂
Anyway kila...
Kutokana na changamoto za mechi kadhaa tulizozishuhudia mpaka sasa ambazo zimeleta ugumu kurudisha pesa kwa watu, ningeshauri mfumo wa N-Card uwe na uwezo wa kuruhusu watu kuuziana tiketi ndani ya mfumo.
Inahitaji tu App ya N-Card iwe na kipengele cha "Resell Ticket". Mtu anaingia, anauza...
Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa 2:00 Usiku pale Stendi Kuu.
Tulipofika Uyole wakapaki tukaondoka Saa tano Usiku kwa hiyo...
Watu wengi huamini kuwa wakishahitimu chuo kikuu na kupata degree au Diploma, basi mafanikio yanakuja moja kwa moja kama mvua.
Ukweli ni kwamba — Elimu ya darasani peke yake haitoshi. Kama hujui kusimamia fedha zako vizuri, diploma yako haina msaada mkubwa kwenye maisha halisi.
Fikiria hivi...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kutokana na tatizo la upatikanaji wa tiketi kwa njia ya mtandao (online) kuanzia usiku wa manane kuamkia leo Machi 19, 2025.
Hata hivyo licha ya changamoto hiyo ya upatikanaji wa tiketi za SGR kwa njia ya mtandao, tiketi ziliendelea kutolewa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.