Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Wadau
Hapa unamaanisha internet ya Tigo ina spidi ndogo?Tatizo la internet ni speed.
Mm nimepewa buku 10 kwa mwezi gb 6 na dakika 550 sms 500 zimeridhika pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo napata kwa menu ip
Mkuu hiyo napata kwa menu ip
Mkuu hiyo ni saizi yako wanaweza kuwapa wateja 20 tu na wengine wote ni panga kwa kwenda mbele. Ni mapema mno kuwasifia.
Mkuu hapo huoni kama watafirisika? Mbona wanacharge kidogo sana.hawapati hasara?