Mwenye contacts za Mtendaji Mkuu wa Tigo

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
9,449
16,962
Raia wenzangu, kuna anayejua namba ya simu ya Mtendaji Mkuu wa Tigo tumfikishie matatizo tunayopata na huu mtandao wa Tigo. Hiyo team ya Customer Service aidha hawajui watendalo au ni wajeuri. Something has to be done about the Customer Service team.
 
Hao Jamaa Ni Shida Kuna Muda Kutuma Sms Ujumbe Haundi Ukipiga Customer Care Unaambiwa Tembelea Ofisini Kwetu. Mbaya Tatizo Lilikuwa Linatokea Mara Kwa Mara. Mmoja Akaniambia Kuwa System Ndiyo Tatizo Ila Sasa Unavyojibiwa Unaambiwa Simu Yako Tatizo
 
Haipo sehemu nyingi. Huku nilipo hata vocha haipatikani. Nahisi ni mtandao wa wanadaslam na zenji
Natokea dar naenda Arusha njia zima hapa mtandao upo full,vocha pia zinapatikana myb huko ulipo tu.ila ni mtandao poa Sana hauna kuibiana MB Wana ofa zavifulushi bomba mnoo.
 
Natokea dar naenda Arusha njia zima hapa mtandao upo full,vocha pia zinapatikana myb huko ulipo tu.ila ni mtandao poa Sana hauna kuibiana MB Wana ofa zavifulushi bomba mnoo.
Okay, will try
 
Toka wanidhulumu elf 10 yangu nlokuwa natumA voda na haikufika eti kisa mtandao wakadai itarudi hadi Leo haijarudi sina hamu nao Hawa tigo.
 
Hata mimi nilienda pale makumbusho makao yao makuu lakini sikuweza kumuona waliniambia eti katoka
 
Back
Top Bottom