Riba za Tigo Nivushe ni kubwa sana

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,331
Embu jionee.

IMG_20191224_185609.jpg
 
MTUI mbona riba ndogo tu hiyo kwa siku 30, 100,000 haifiki hata 20,000 mpaka wamekuwekea 150,000 halafu hawakujui?
Nenda kwa Mangi 100,000 ni 40,000/ kwa hiyo 150,000 kwa Mangi ni 60,000 kwa mwezi
 
Tigo na riba yao kubwa ila nawapenda sana yaani sana nikikwama ndio kimbilio langu tena sasa hivi wamenipandisha nikikopa nalipa kidogo kidogo ndani ya miezi mi3
 
Back
Top Bottom