thread

  1. Kenya WSR 2021 Rally

    My Kenya brothers a thread show us what's happening in Vasha
  2. Uzalo Special Thread

    Wakuu kwa wale wapenzi wa Isidingo tuliipenda sana lakini hakuna kisicho na mwisho. Hivyo kwa sisi wafuatiliaji wa ITV wameamua kutuletea tamthilia mpya ya Uzalo, japo sina hakika kama ni mpya kabisa, ni ya muda kidogo. Kama mwaka juzi Hivyo uzi huu ni wa kupeana sasisho kwa wale watakaokosa na...
  3. FC Bayern Munich (The Bavarians) | Special Thread

    FCB , Bayern Munich , or FC Bayern , is a German professional sports club based in Munich , Bavaria. It is best known for its professional football team, which plays in the Bundesliga, the top tier of the German football league system. Bayern is the most successful club in German football...
  4. Special Thread: Best Turkish series & movies

    Wapenzi wa series za Uturuki nikiwa mmoja wapo, japo kuangalia kwa subtitles ni changamoto ila kwenye story wanajitahidi hasa kwenye visa kuanzia vya mapenzi, missions n.k Zifuatazo ni baadhi ambazo nimezielewa story zake 1. ARIZA 2. Tesklat 3. Zemheri 4. Sol yanim Ongezea list wale wapenzi...
  5. R

    Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?

    Mavula: Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala? Nimejiuliza why particularly Togolani Mavula anatokea kwenye thread heading, likewise Hoyce Temu kumbe ni hivi: Huyu Togolani Mavila ana historia ya kuwa na ukaribu na Ombeni Sifue aliyekuwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais...
  6. The Boondocks Special Thread

    What Woman Sir? This is one Here is a Whore. Kwa wapenzi wa The Boondocks mnatukuwa mnaelewa na ku enjoy hii scene ya Slickback oops 'the pimp named slickback". Huyu jamaa alinifurahisha sana. The Boondocks itabaki kuwa adult swim bora miaka yote. Hebu weka scene iliyokufurahisha.
  7. Bei za Malighafi mbalimbali za ujenzi

    Nimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mabati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na kama kuna material mpya ambayo haimo kwenye thread itaongezwa kwenye list katika post namba #2 ambayo...
  8. Usafi, mapambo na mpangilio wa nyumba: Special thread

    Huu ni uzi maalum wa kupeana ideas, uzoefu na elimu ya kupamba nyumba, namna ya kusafisha ndani na nje ya nyumba, pamoja na mpangilio wa vitu katika nyumba zetu.
  9. Special Thread: Job Opportunities at ITM Tanzania Ltd

    Habari Wanabodi Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya matangazo ya kazi kutoka ITM Tanzania Ltd. ......... Kufahamu kuhusu ITM Tanzania Ltd tafadhali tembelea: https://www.jamiiforums.com/threads/itm-tanzania-ltd-tunaomba-ukaribisho-wenu-wanabodi.1834571/ Ahsanteni na karibuni #WeAreITM
  10. Wizara ya Katiba na Sheria Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu na mijadala inayoendelea hapa kila siku kuhusu masuala ya Katiba na Sheria za nchi yetu. Aidha kuhusu haki za binadamu, rushwa, utawala wa sheria na mengineyo. Kupitia thread hii maalum; tutapokea maoni, ushauri na hata malalamiko yenu...
  11. M

    Ni thread gani yenye viewers na likes nyingi?

    Habari Kama naomba tubadili kuhusu Mada apo juu na pia tuingalie kwanini imepata hadhi hiyo. Shukrani
  12. Special thread for Javascript programmers and learner's

    Habarini wakuu mimi najifunza javascript japo kuna baadhi ya vitu sivielewi ningependa mnieleweshe muundo wa js kanuni muhimu za js na neno return linatumika vp kufunction code nanjia bora za kujifunza js Kwa sasa ninajua HTML,CSS Ahsanten na natumai mtanipa ufunguzi.
  13. Utafiti wa kina nilioufanya kuhusiana na thread nyingi zinazoanzishwa humu JF

    Thread nyingi zinazoanzishwa humu JF kawaida huwa zinachukua muundo wa aina hii: Kuanzia page ya kwanza mpaka ya tano, watu wanakuwa wanajadili mada husika kwa umakini unaotakiwa na wnakuwa wako ndani ya mada muda Kuanzia page ya sita mpaka ya kumi linaanza kujitokeza kundi dogo la watoto na...
  14. Thread kumi bora zitakazo funga mwak 2020.. Kuanzia tarehe 1 desemba

    Vigezo na mashart kuzingatiwa Thread lazima iwe kati ya 1dec 2020 mpaka 1.1.21 Jukwaa lolote Yenye views weng Yenye likes nyings Yenye pages nying Yenye comment nying Ni ipi??? Muda bado...tuendelee kuzitafuta Deadline ni 1.12021 Dau halipo ilA pongezi na HONGERA.. atatangaza mwenyewe...
  15. Ufafanuzi kuhusu thread yangu ya kununua wazo la biashara

    Salaam wakuu naomba kutoa ufafanuzi kidogo kama watafutaji na wapambanaji wazo ndio kila kitu ukiwa na wazo ni rahisi kutengeneza pesa! Napokea ujumbe mwingi pm watu ambao wako serious tunajadiliana naomba watu mjue kuhusu kiwango ambacho ninacho kinafit kwa wazo dogo na hata kubwa half of one...
  16. Hard to choose thread nimeona niwashirikishe wakuu tuanze na ipi hapa?

    Naandika nafuta maana nikiandika hii nyingine inakuja naona kama iko mzuka kuanza nayo nikitaka kuanza nyingine inakuja sasa nimekaa hapa hata sielewi nianze ipi nimalize na ipi 😫😀😀 Wazee list yenyewe hii hapa inayovuruga kichwa Quincy Jones - Producer nambari moja dunia kwa upande wangu...
  17. The UEFA Champions League 2020/21 Special Thread

    Wakuu Salaam: Mashindano ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya kwa hatua ya makundi yanaanza rasmi leo kwa mechi mbalimbali kupigwa viwanja tofauti. Ni timu ipi huenda ikaibuka mshindi kwa mashindano haya? Ratiba (20/10/2020). GROUP E Chelsea Vs Sevilla (22:00pm) FT: 0-0 Rennes Vs Fc Krasnodar...
  18. Katiba ya shirikisho la Afrika Masharki

    Kama tunavyojua kwa sasa, marais wa Jumuiya waliamua kuwa kongamano la kisiasa (confederation) itakuwa muungano wa kisiasa wa mpito wa kukaribisha shirikisho la kisiasa (federation). Tofauti kubwa kati ya kongamano la kisiasa na shirikisho la kisiasa ni kuwa uanachama wa au kuondoka kongamano ni...
  19. SPECIAL THREAD : SIMI . (Simisola kosoka) : An African beautiful woman with beautiful voice

    Embu weka hapa nyimbo yake yoyote unayo ipenda mpaka kesho kutwa , mie naanza 1.jericho (usipime hatari , tena ile AYA ya kwanza unaweza sema imedondoka dhahabu) 2.john 3.duduke (bonge la music) 4.nyingine zipo youtube kwenye channel ake (go end support her) 5. ongezea Dah asee...
  20. M

    Jukwaa linahusu Kenya lakini waanzisha thread karibia wote ni wa TZ

    Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya. Hii imekaaje? Tujadiliane.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…