Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 13,796
- 20,205
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund, commonly known as Borussia Dortmund [boˈʁʊsi̯aː ˈdɔɐ̯tmʊnt],[2] BVB,
Borussia Dortmund iliasisiwa 1909 na kabla kuanzishwa Bundesliga 1963 ilikwishatawazwa mabingwa mara si chini ya mara 3.
Borussia Dortmund ingawa iliasisiwa tayari 1909 ni baada ya vita vya pili vya dunia vilivyoishia 1945,ndipo klabu hii ilipoanza kutamba.Pale ilipoundwa Bundesliga-Ligi ya leo ya Ujerumani hapo 1963,Borussia Dortmund ilikwishatawazwa mabingwa wa ujerumani mara 3.
1965 Dortmund ilishinda kombe la shirikisho la dimba la Ujerumani na ikakata tiketi ya kuania kombe la washindi la ulaya.Dortmund ikatia for a hadi finali hapo mei 1966 mjini Glasgfow dhidi ya Fc Liverpool ya Uingereza.Baada ya dakika 90 timu hizo 2 zilisimama suluhu bao 1:1.
Misukosuko ya Dortmund ilifikia kilele chake 1972 pale iliangukia daraja ya 3 ya kimkoa.1976,Borussia Dortmund ilirudi kuwa timu ya wastani katika Bundesliga. Mwishoni mwa msimu wa 1978 mahasimu 2-FC Cologne na Borussia Mönchengladbach zilikuwa kileleni hadi mechi ya mwisho ziokiania taji la ubimngwa.
Ili itawazwe bingwa na kuipiku FC Cologne,kwenye mechi ya mwisho, Borussia Mönchengladbach ilihitaji kuilaza B.Dortmund kwa mabao mengi sana.Hasimu wa Borussia Mönchengladbach, katika mpambano huo wa mwisho wa Ligi akawa B.Dortmund.Dortmund ikamuweka kijana chipukizi kulinda au kuliacha wazi lango lake.Kipa huyo chipukizi aliitwa Peter Endrulat.
Borussia Dortmund ilifufuka baada ya kunyakuwa ushindi wa kombe la shirikisho la dimba la Ujerumani 1989 ilipoilaza Werder Bremen.Miaka iliofuatia hapo ndio ya mafanikio makubwsa katika historia ya klabu hii.1995 na 1996 B.Dortmund ilitawazwa kwa mara ya 4 na ya 5 mabingwa wa Ujerumani.
Katika msimu wa 1996/97 ulikua msimu tena wa kutamba katika champions League-kombe la klabu bingwa barani ulaya.Dortmund ilipambana na Juventus Turin katika finali na ikiongoza kwa mabao 2:1 katika uwanja wa Olimpik wa Munich
Full name | Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund | |||
---|---|---|---|---|
Nickname(s) | Die Borussen Die Schwarzgelben (The Black and Yellows) Der BVB (The BVB) | |||
Short name | BVB | |||
Founded | 19 December 1909; 111 years ago | |||
Ground | Westfalenstadion | |||
Capacity | 81,365[1] | |||
President | Reinhard Rauball | |||
Chairman | Hans-Joachim Watzke (CEO) | |||
Head coach | Marco Rose | |||
League | Bundesliga | |||
2020–21 | Bundesliga, 3rd of 18 | |||
Website | Club website | |||