thamani

Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Thamani ya kipa wa Simba mmoroko Ayub ni sawa na Thamani ya kipa wa Yanga Diara wakiwa saba

    Ukiangalia kwenye market value Diara thamani yake Ni 400m (Dola 185000) za kibongo lakini ya Ayoub Ni billion tatu.(Dola m. 1.3). Je ubora wa Ayoub Ni mkubwa mno Mara zaidi ya Saba ya Diara?
  2. JamiiForums Tanzania Taasisi ya MOI yapokea vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya Uingereza vyenye thamani ya Tsh Bilioni 3

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ambapo kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Ummy Mwalimu amepokea msaada wa vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya nchini Uingereza wenye thamani ya Th. 3 bilioni. Katika...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe: Tunauhitaji wa kinu cha kuchakata na kuyaongezea thamani mazao yetu

    Na Laudence Simkonda -Momba Mbunge wa Jimbo la Momba Mheshimiwa Condester Sichalwe (Mundy) ameiomba Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko(CPB) kuanza kuona uwezekano wa kujenga kinu cha kuchakata mazao ili kuyaongezea thamani ndani ya wilaya hiyo. Momba ni Halmashauri mkoani Songwe, ambayo...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini tunalipwa mgao wa shilingi inayoshuka thamani kutoka kwenye migodi yetu badala ya kuchukua dhahabu isiyoshuka thamani?

    Dhahabu ni pesa isiyoshuka thamani,tangu kuumbwa kwa dunia,dhahabu haijawahi tetereka katika soko la dunia,tukisubiri kugawana pesa baada ya hesabu wajanja watatangaza hasara,na kwa nini pesa na si dhahabu isiyoshuka thamani, tubadili sheria, tugawane Gold Bars(vitofali),Wazalendo wa nchi hii...
  5. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia kuiuza Palestina kwa thamani rahisi sana

    Wakati uchaguzi wa Marekani unakaribia kumekuwepo na habari nyingi kuhusiana na mazungumzo ya kurudisha uhusiano baina ya Saudi Arabia na taifa la Israel. Uhusiano huo umeshindikana kwa miaka yote hiyo tangu kuundwa kwa taifa la Israel mnamo mwaka 1948.Hii imetokana na tawala zote za Saudi...
  6. JamiiForums Tanzania Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Wakulima wengi wa nyanya wanapata hasara kutokana na kuzalisha nyanya ambazo zimezidi mahitaji ya soko au Sababu nyingine ni uhaba wa masoko ,Kiasi kikubwa cha nyanya zinaoza shambani au sokoni ni kwa sababu wakulima wengi hawana/hawajui jinsi ya kuhifadhi nyanya zao Kwa utafiti wangu...
  7. JamiiForums Tanzania Balozi Kairuki asema biashara ya China na Tanzania imepanda thamani kutoka Dola za Kimarekani Milioni 200 hadi 600

    Balozi anayemaliza muda wake Nchini China, Mbelwa Kairuki ambaye kwa sasa amepangiwa Kituo kipya cha kazi Nchini Uingereza, amefanya Mahojiano Maalum na Kituo cha TV Mjini Beijing yenye lengo la kupata ufafanuzi wa yale aliyofanya ndani ya miaka sita ya Ubalozi Nchini humo. Balozi Kairuki...
  8. JamiiForums Tanzania Kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya Dola kutaongeza Deni la Taifa kwa karibu Tsh. Trilioni 2

    Tanzania huenda ikatumia gharama kubwa kugharimia deni la Taifa, ikiwa ni miongoni mwa athari zinazosababishwa na kuongezeka kwa thamani ya Dola ya Marekani dhidi ya Shilingi. Hali hiyo ina athari hasi katika uchumi wa nchi kwa sababu hivi sasa inahitajika shilingi nyingi zaidi ili kupata Dola...
  9. JamiiForums Tanzania Thamani ya kitu hutengenezwa katika akili ya mtu. Unaweza kumfanyia mtu mambo makubwa lakini akaona hayana thamani kwake

    Katika MAISHA thamani ya kitu inatengenezwa katika Akili ya mtu. Hivyo kabla ujamfanyia MTU Jambo lolote hakikisha analipa thamani katika Akili Yake . Mfano Kuna watu wanahitaji tu MUDA wako na sio Jambo lolote ila pia Kuna wengine wanahitaji pesa zako hivyo inahitaji utulivu wa kifikra kujua...
  10. JamiiForums Tanzania Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka Thamani dhidi ya Dola

    Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka thamani dhidi ya Dola Watanzania sasa wanalazimika kuingia zaidi mifukoni mwao ili kulipia zaidi katika uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi huku kukiwa na hali ya kutia wasiwasi juu ya kuendelea kuporomoka kwa shilingi...
  11. JamiiForums Tanzania NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

    Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi. Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo...
  12. JamiiForums Tanzania Idadi ya waanzilishi wazaliwa wa kigeni ambao walianzisha makampuni ya Marekani yenye thamani ya dola bilioni

    ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India - 66 ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Israel - 54 ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง United Kingdon - 27 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Canada - 22 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China - 21 ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France - 18 ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany - 15 ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia - 11 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ Ukraine - 10 ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran - 8 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia - 7 ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Italy - 6 ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria - 6 ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฑ Poland - 6 ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ด Romania - 6 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Argentina - 5 ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil - 5 ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฟ New Zealand - 5 ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ Pakistan - 5...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je Unaijua thamani Yako kama Mtu Mweusi (Mwafrika) kulingana na Quran?

    Mishkat al-Masabih Hadith 119 inasema Allah alipomuumba Adam alipiga baga la kulia wakapatikana Wana weupe; akapiga bega la kushoto wakapatikana Wana weusi. Wana weupe akawazawadia pepo na weusi Jehanamu. Aidha, ulipata kujua kuwa Quran inamtambulisha Mtume Mohammad kuwa mtu mweupe? Sahih...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima

    Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amesema ni muhimu kuwa na Viwanda vidogo, vya kati na vikubwa ili kusaidia kuchakata na kuongeza thamani mazao yanayolimwa nchini ikiwemo matunda kwa mahitaji ya soko la...
  15. JamiiForums Tanzania Msamaha wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye vifungashio vya madawa ya binadamu

  16. JamiiForums Tanzania Msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)

  17. JamiiForums Tanzania Kiwango cha Kusajiliwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) chaongezeka

  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu janja ni kuona mbali

    Je, Elimu ni ufunguo wa kufungua milango? Na ni milango ipi haswa, ya maisha? Kuna mwimbo maarufu uliimbwa ukisema Elimu ni mwanga, kana kwamba unatuangazia kwenye giza, na sio kwenye mwanga kutufunulia vitu vile ambavo tusingeweza ona kwa sababu ya giza. Siongelei kujumuisha watu wote ila...
  19. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Urusi wenye thamani ya $6.5 Million umepigwa kizembe na drone ya Ukraine

    Vita vya kisasa vimebadilika sana, yaani drone inatumika kuondoa mfumo wa gharama hadi inafikirisha sana..... Waafrika haya mambo ya drones sijui tumejiandaaje. Footage shared on social media Thursday shows Ukraine's military destroying a deadly Russian rocket system that is capable of...
  20. JamiiForums Tanzania Thamani ya Tsh kwa sasa, nini kifanyike?

    Thamani ya Tsh kwa sasa, nani amechangia kwa kiasi kikubwa, vita vya wakubwa au sisi wenyewe?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ