tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Uvumi, tetesi , fununu zilibashiri kuwa leo Mbowe ataonekana rasmi kwenye mkutano wa Chaumma, hali ikoje?

    Nyerere alisema DHANA HAIPATANI NA UKWELI. Tujiepushe na kubashiri mambo bila concrete reasoning and valuations
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

    Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo. Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana
  3. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

    Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana Mbunge Mama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli; CHADEMA badala wapenyeze agenda ya mabadiliko walikuwa bize wanasherekea mitandaoni

    Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa "kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli watu wa kigoma wanaoongoza kusafiri kwao wakiwa wamebeba mikate mikubwa? Sababu ni zipi hasa?

    Wadau hamjamboni nyote? Je ni kweli watu wa kigoma wanaoongoza kusafiri kwao wakiwa wamebeba mikate mikubwa? Sababu ni zipi hasa? Ni tetesi tunaomba uthibitisho
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tujadili kuhusu mrithi wa Papa baada ya Papa Francis: Kuna maoni muda mrefu kuwa sasa ni wakati wa Papa kutoka Africa. Nini maoni yako

    1. To me, nikiangalia watawala wa Afrika ambamo papa anategemewa kutoka, ninakuwa na wasi wasi mwafrika kushika nafasi hiyo! Ukabila, ndugunisation, rushwa, kuua wapinzania na maujinga mengi ya waafrika yanaweza kupelekwa Vatican. 2. Kama Marais wa Afrika wako kama tunavyowona akina mama...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi Dhidi ya Tundu Lissu imekamilika

    Tarehe 4 April, jamaa yangu mmoja (siyo mwanafamilia), ambaye ni rafiki na alisoma na Mchimbaji aliniambia kuwa siku 3 kabla alikuwa na mazungumzo na Mchimbaji. Wakati wa mazungumzo yao, huyu jamaa yangu alimwuliza kuwa kutokana na TAL kuanza kutoa elimu kwa wananchi, na watu wengi kuonekana...
  8. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

    Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi Yalisikika maneno haya ktk kuta ila ndani hapakuwa na watu

    "Kwanini mmeruhusu hili jambo ina maana hamkumwambia miiko ya kitaluni? Majibu tulimwambia Ila hakusikia wala kufanyia kaz na hilo sio jukumu letu na wewe unajuwa.. Hapo ndipo mwanzo wa uchungu ulipo anza...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tetesi zikikoma huwa breaking news

    Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua.. Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje...
  11. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madiwani Moshi Manispaa, kuongea na waandishi wa habari kuhusu , Kauli Tata na Malalamiko ya Wapiga Kura ,Soko la Mbuyuni, Moshi Manispaa.

    Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni. Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
  12. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mo Dewji, Azam na GSM wamejenga uwanja unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.

    Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC. Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio wameujenga kwa kushirikiana na wengine kama Azam, GSM, NBC, SBS na MO DEWJI. Credit: Nassib Mkomwa
  13. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Tupeane taarifa juu ya hali ya homa/ugonjwa wa pox, iwe taarfa ya kuuona mgonjwa au kama wew mgonjwa kuna watu bado wanazani ni tetesi

    Homa ya Mpox (Monkeypox) ni ugonjwa wa virusi unaosababishwa na virusi vya Monkeypox. Ugonjwa huu unafanana na smallpox, lakini kwa kawaida ni wa wastani na hujumuisha dalili kama vile homa, maumivu ya kichwa, uchovu, na vidonda kwenye ngozi. Virusi vya monkeypox vinaenezwa kupitia kwa kugusa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe adai taarifa za kufungiwa ni tetesi tu!

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ali Kamwe amesema hajapokea taarifa yoyote ya yeye kufungiwa kujihusisha na masuala ya soka, kwani bado hajapokea barua kuhusu suala hilo. Akizungumza kwenye mahojiano na Kituo cha Redio cha Wasafi FM Machi 07, 2025 Kamwe amesema hajui taarifa hizo...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Tetesi za kufungiwa zilimpeleka mama yangu hospitali, alipata mshtuko

    Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF), Mwanayanga huyo amejitokeza hadharani na kuelezea kuhusu madhara ya tetesi hizo na jinsi...
  16. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: M23 yawakamata Hackers kutoka Afrika Kusini

    Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma. Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda. Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO...
  17. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Safari ya rais wa Burundi Kinshaza, yazua gumzo

    Rais wa Burundi, Mhe Evariste NDAYISHIMIYE, alifunga safari kisiri siri na kwenda Kinshasa. Kinshasa huko, alikutana na Rais wa DRC, Tshisekedi, na dhumuni la safari likiwa kudai deni la serikali ya Burundi. Inasemekana, kila mwanajeshi wa Burundi alitakiwa kulipwa dolla za kimarekani elfu 5...
  18. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Burundi, wanaosadikika kuwa wanyarwanda na wa Congo wenye asiri ya kinyarwanda, wakusanywa uwanjani

    https://x.com/bless_link/status/1890707010196586948 Pichani, ni video. Inasemekana watu hao wanapelekwa uwanjani chini ya ulizni wa vyombo vya dola. Msako mkali mjini Bujumbura, unaendelea. Wanaokamatwa, ni wale wenye lafudhi za Kinyamlenge na kinyarwanda, wanaohisiwa kuwa watutsi. Kama...
  19. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: South Africa yatuma wanajeshi wengine DRC kukabiliana na M23

    Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ukizoea kuishi jangwani ni Ngumu kusahau Ukame #6 Imekubali kurudi nyumbani

    Niwape hii. Aliyewahi kuvaa Jersey number 6 Yanga anarudi kuivaa tena msimu ujao. ✅💯 Walid na mchumba wa Hamissa wanaondoka✅💯 Winger wa Central African Republic aliye Chamazi kama Azam hawata ongeza dau kubwa naye atakuwa ni CITIZEN✅💯 Source: TRUST ME BRO / NINA WATU 😁
Back
Top Bottom