Waziri Mkuu wa Finland, Sanna Marin (36) amefanya vipimo vya kubaini kama ana vimelea vya dawa za kulevya ndani ya mwili wake, ikiwa ni siku chache baada ya video kuvuja ikimuonesha akicheza muziki na marafiki zake.
Vipimo hivyo vimefanyika jana Agosti 19, 2022 na majibu yanatarajiwa kutoka...