Aptitude Test Interview Tanzania Commercial Bank (TCB) kwa nafasi ya Business Solution Officer: Big Data Analysis

Mbomozo

JF-Expert Member
Dec 23, 2019
365
954
Hii Salute Ndg zangu.

Kama mida ya saa 7 mchana Leo nimepokea SMS na Email ya invitation kuja Dar kwenye Aptitude test ya TCB kada tajwa hapo juu. But kutokana na kutingwa na majukum upande wangu sidhan kama nitahudhuria.

Lengo la uzi huu ni kuwakutanisha waliopewa taarifa ya aptitude test invitation kupeana insights ili mambo yaende na Kongole Kwa ambao wata land hio opportunity

Wasalaam.....
Screenshot_20220310-205015.png
 
Mkuu ajira ni ngumu sana.. kama unaona unaweza kwenda nenda tu kafanye. Huwezi jua, na kama nafsi yako inasita basi acha, sisi tutakushauri tu lakini sema na moyo wako.
 
Mkuu ajira ni ngumu sana.. kama unaona unaweza kwenda nenda tu kafanye. Huwezi jua, na kama nafsi yako inasita basi acha, sisi tutakushauri tu lakini sema na moyo wako.
Mkuu nina kitengo nipo tarehe za interview zinaingiliana na majukum ya kazini. Ingekuwa Niko free ningetimba.
All the best watakaoenda
 
Hawa kipindi kile wanaitwa Postal Bank waliniita huyo aptitude test huko Lindi kwa nafasi ya afisa mikopo ya vikundi. Sikwenda.
 
Wakuu za masiku vipi walioenda kwenye interview watupe mrejesho.
😎
 
Wakuu za masiku vipi walioenda kwenye interview watupe mrejesho.
😎
Nilifanikiwa kwenda maana Niko dar na pia eneo langu la kazi liko karibu ilikuwa balaa waliita watu 72,tulofanyaa ni kama 50

Maswali walibase kwa darasani kabisa
Section 3
1.java
2.python and data analysis
3.database(unapewa scenario unaandika query)
Multi choice ilikuwa 70% na maelezo 30% paper ilishibaa snaa kama umeshasau vile vya darasan aisee kuchomoka inakuwa changamoto
 
Kiukweli nawaombea wote waliofanya usaili atakae fanikiwa kupata sawa....
Ila watu 72 ni moderate kwa Nafasi 1 hii ni habari njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom