Micah Richards: Alikuwa hajui neno lolote la Kitaliano. Alikutana na mwenyeji wake ambaye ni Balotelli

Joe Navarro

JF-Expert Member
Aug 22, 2022
1,475
3,063
FB_IMG_16941597373117023.jpg

Micah Richards Siku ya mwisho ya dirisha la usajili aliangukia mikononi mwa Fiorentina.

Alikuwa hajui neno lolote la Kitaliano. Alikutana na mwenyeji wake ambaye ni Balotelli.

Katika zoezi la kumtambulisha kwa meneja wake akamuuliza Mario nasalimiaje ?
Mario akamjibu "Testa Di Cazo " manake Dickhead,Asshole, cocksucker au shit head.

Imagine Siku ya utambulisho unatukanishwa meneja wako ukijua unasalimia.
Super Mario
 
Back
Top Bottom