Finland: Waziri Mkuu apimwa kubaini kama ana vimelea vya dawa za kulevya

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
422
1,049
Waziri Mkuu wa Finland, Sanna Marin (36) amefanya vipimo vya kubaini kama ana vimelea vya dawa za kulevya ndani ya mwili wake, ikiwa ni siku chache baada ya video kuvuja ikimuonesha akicheza muziki na marafiki zake.

Vipimo hivyo vimefanyika jana Agosti 19, 2022 na majibu yanatarajiwa kutoka wiki ijayo, akisisitiza kuwa wakati anacheza muziki hakuwa ametumia dawa za kulevya kama inavyodaiwa.

"Sikufanya chochote kibaya, nimefanya vipimo ili kuondoa wasiwasi, naamini kuna muda wa kazi na wa mambo binafsi, nimesikitishwa na mambo yangu binafsi kusambazwa hadharani,” - Marin.

---------------

Finland's prime minister has said she has taken a drug test, after new footage emerged showing the leader dancing with a Finnish popstar.

Sanna Marin, 36, came under fire this week after a leaked video showed her partying, with some politicians saying she should be tested for narcotics.

At a news conference on Friday, Ms Marin said she took the test on Friday, with the results expected next week.

Ms Marin repeated her denials that she has ever taken drugs.

"I did nothing illegal," she said at Friday's news conference in Helsinki.

"Even in my teenage years I have not used any kind of drugs," Ms Marin said, adding that she took the drug test to allay any concerns.

Ms Marin also insisted that she is entitled to the presumption of innocence.

Reporters questioned whether the prime minister, who has been in power since December 2019, would have been able to make snap governmental decisions if necessary.

"I don't remember a single time that there was a sudden situation in the middle of the night to go to the State Council Palace," she insisted.

"I think my ability to function was really good. There were no known meetings on the days I was partying."

Although Ms Marin acknowledged she was constantly being filmed, she said she was upset that the footage had become public.

"I trust that people understand that leisure time and work time can be separated," she added.

Source: BBC
 
Huyo hapo

Sana Marin ana miaka 36 kama sikosei. Ni mojawapo ya viongozi wakuu wenye umri mdogo pale Ulaya. Ni Waziri Mkuu wa Finland ambayo Rais wake Sauli Niinitso anakubalika kwake. Mimi mwenyewe huwa namkubali mno yeye pamoja na Rais wa Ireland, Michael Higgins.

Alionekana juzi juzi anacheza mziki akiwa na marafiki zake na inaonekana walikuwa wamekunywa. Jambo hilo lilikuzwa zaidi na raia wa nje ya Finland na vyombo vya nje. Warusi ndio kabisa walipata muda wa kulipiza kisasi maana yeye kahusika kwenye mchakato wa kuifanya Finland iingie NATO. Ni Warusi haohao waliidharau Ukraine vile inaongozwa na mchekeshaji, wanaamini Rais lazima akae amekasirika muda wote. Mbona Ronald Reagan alikuwa mwigizaji na akaja kuwa Rais mzuri sana kwa Marekani.

Ni jambo la kawaida kwa nchi zilizotulia kuwa na viongozi wasio na mambo makuu.
Waliomshutumu walisema katumia drugs, tusubiri vipimo
 
Tulishawahi kusema huma kuwa na mtawala wa kike ni hatari sana. Lkn watakuja wanaharakati na kutusumbua. I say that is a shit, a BIG shit 1 say
 
Hivi kuna watu wenye akili mnaoamini huyu binti anaiongoza Finland na ndiye anayetoa maamuzi juu ya mstakabali wa Nchi hiyo.
Huyu Binti,anaiongoza Finland vizuri tu,haamrishi Polisi kupiga raia,Haamrishi tume kuiba kura,hakuna viroba vinavyookotwa beach

Kwa ufupi Finland ni moja katika nchi bora za kuishi duniani

Hicho ni kisasi cha Putin,kwa huyo Binti kaifanya Finland ijiunge na Nato
 
Yes huyu PM wa Finland amekubali kwenda kupimwa ILA wa nchi fulani aliyeongopea taifa kuwa president wake yupo na siha njema na anaendelea na kazi wakati akijua yupo ICU fighting for his life!mpaka leo hajawaomba radhi raia wake kwa uongo ule, ilibidi naye huyu apimwe akili, noooo mkojo noooo just kidding
 
Waziri mkuu ana miaka 36?

Wewe mr my friend una miaka mingapi na unajoshuhulisha na nini hapa mjini?
 
Waziri Mkuu wa Finland, Sanna Marin (36) amefanya vipimo vya kubaini kama ana vimelea vya dawa za kulevya ndani ya mwili wake, ikiwa ni siku chache baada ya video kuvuja ikimuonesha akicheza muziki na marafiki zake.

Vipimo hivyo vimefanyika jana Agosti 19, 2022 na majibu yanatarajiwa kutoka wiki ijayo, akisisitiza kuwa wakati anacheza muziki hakuwa ametumia dawa za kulevya kama inavyodaiwa.

"Sikufanya chochote kibaya, nimefanya vipimo ili kuondoa wasiwasi, naamini kuna muda wa kazi na wa mambo binafsi, nimesikitishwa na mambo yangu binafsi kusambazwa hadharani,” - Marin.

---------------

Finland's prime minister has said she has taken a drug test, after new footage emerged showing the leader dancing with a Finnish popstar.

Sanna Marin, 36, came under fire this week after a leaked video showed her partying, with some politicians saying she should be tested for narcotics.

At a news conference on Friday, Ms Marin said she took the test on Friday, with the results expected next week.

Ms Marin repeated her denials that she has ever taken drugs.

"I did nothing illegal," she said at Friday's news conference in Helsinki.

"Even in my teenage years I have not used any kind of drugs," Ms Marin said, adding that she took the drug test to allay any concerns.

Ms Marin also insisted that she is entitled to the presumption of innocence.

Reporters questioned whether the prime minister, who has been in power since December 2019, would have been able to make snap governmental decisions if necessary.

"I don't remember a single time that there was a sudden situation in the middle of the night to go to the State Council Palace," she insisted.

"I think my ability to function was really good. There were no known meetings on the days I was partying."

Although Ms Marin acknowledged she was constantly being filmed, she said she was upset that the footage had become public.

"I trust that people understand that leisure time and work time can be separated," she added.

Source: BBC
Sisi wa Russia afukweze kama yule fala UK
 
Back
Top Bottom