Marehem Kolimba alisema CCM haina dira, na ghafla macho yote ya wana CCM yakaelekezwa kwake na, ninasikia, alikufa alipopewa kipaza sauti ajieleze ati kwanini alifikiri CCM haina dira!
Pamoja na kazi za ujenzi wa miundombinu mingi zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano, bado kuna wana CCM...