Ashukuriwe Mungu aliye juu na muweza wa yote,
Siku ya kwanza natoka kijijini nafikia kwenye chumba nilichokitafuta nikiwa kijijini,
Nilifika nikiwa na kabegi changu cha mgongoni na computer redio, na vifaa vingine kwa ajili ya ufundi, wa simu na radio,
Nilitafuta mabox nikatandika chini na...