tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Solo Traveller

    Picha: siagizi tena bidhaa kutoka china

    Hii brender nimeagiza kutoka china kupitia kikuuu Thamani yake ni 45000/= Ile nimepokea Toy
  2. kali linux

    Natafuta mwekezaji atakaenunua hisa kwenye kampuni yangu kwa makubaliano kwamba nitazinunua tena kutoka kwake baada ya miaka miwili

    Hello bosses and roses... Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa. Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza disrupt cashflow ya kampuni endapo revenue ya sasa ikitumika kufanikisha hio project. Hivo natafuta...
  3. Diaspora Messenger

    Diaspora Messenger, nipo hapa, usihofu tena kuwekeza Nyumbani kwa kuibiwa , kutapeliwa na ndugu au watu ambao sio waaminifu karibu unitume.

    Wakuu habari. Mimi kwa sasa , ninafanya kazi Kama Diaspora Messenger. Kazi ninazofanya ni Kama kuwawakilisha watanzania wote waliopo nje ya nchi kwa kufanya Kazi zao mbali mbali. Ikiwa wewe ni Diaspora unahitaji MTU mwaminifu utakayekuwa unamtuma kufatilia Kazi zako , naomba tuwasiliane...
  4. Valencia_UPV

    Nini kimetokea Swiss Air haitui tena Tanganyika?

    Imekuaje Swiss Air wamesitisha safari kimya kimya? Japo walikua wabaguzi lakini walipendezesha JNIA.
  5. I

    Hawataweza Kuzamisha Meli Zetu Tena!' Trump awaambia Wahouthi

    'Hawataweza Kuzamisha Meli Zetu Tena!' Trump awaambia magaidi wa Houthi. Rais wa Marekani Donald Trump, katika chapisho kwenye akaunti yake rasmi ya Ukweli wa Kijamii, alishiriki video ya shambulio la anga la Marekani na kudai lililenga wanamgambo wanaojiandaa kwa shambulio. "Hawa Houthi...
  6. Poppy Hatonn

    Hakuna nidhamu tena katika nchi,Chadema wanaleta picnic- mentality.

    Hakuna ushahidi kwamba CCM wanataka kuona kura. Sasa tunakuwa na laxity ambayo haijawahi kuonekana tokea Uhuru. Hii Kampeni ya No Reform No Election, Chadema wenyewe hawakubaliani Matatizo ya Uchaguzi yanakuwa exaggerated. Nchi kama yetu, developing country ,inatakiwa kuwa na nidhamu zaidi. Hata...
  7. Mi mi

    Trump tena na wachina anasema sasa hivi wanafanya mapinduzi ya kiuchumi lazima washinde

    Ni muendelezo wa Trump na kuwakalia kooni wachina toka awamu yake ya kwanza mpaka sasa kawaweka mdomoni kweli. Trump anasema anachofanya sasa ni mapinduzi ya kiuchumi na hakika lazima washinde japo anakili maumivu watayapitia ila wanashinda. China has been hit much harder than the USA, not even...
  8. Waufukweni

    Deodatis Balile achaguliwa tena uenyekiti TEF, apita bila kupingwa

    Deodatis Balile amechaguliwa bila kupingwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumamosi, Aprili 5, 2025, mjini Songea, mkoani Ruvuma. Balile, ambaye alikuwa mgombea pekee, ameendelea kuaminiwa na wanachama wa...
  9. Intricate

    Tupo na Mama mpaka tushike namba 1 duniani. SAMIA MITANO TENA

  10. Meneja Wa Makampuni

    Ukishaingia kwenye situation kama hii, Bachelor, Masters, CPA au PHD haviwezi kukusaidia tena weka pembeni

    Ukishaingia kwenye situation kama hii Porini Bachelor, Masters, CPA au PHD haviwezi kukutoa hapa. Inabidi uweke vyeti pembeni kwanza. Ili uweze kutoka hapa utahitaji elimu ndogo sana, zaidi utahitaji skills flani za VETA na Uzoefu wa kuingia uvunguni kufunga mnyororo bila kujali kuchafuka...
  11. ELI COHEN

    Huyu binti ali drop kali ya mji moja hivi alafu ghafla akapotea tena bila kuonekana

    Mitandao hii inaweza kukufanya ukawa star kwa mambo ambayo hukutarajia au ulifanya makusudi ila iikaenda ndivyo sivyo, nafikir ameamua kujificha kuiepuka aibu
  12. and 998 others

    Wananchi wamuomba Dr Godwin Mollel agombee tena ubunge jimbo la SIHA (2025-2030)

    Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
  13. nzalendo

    Yule ng'ombe hakuuzwa tena

    Ni ng'ombe jike katika familia fulani...huyu ng'ombe alikuwa anakamuliwa maziwa na kuleta riziki kwenye hiyo familia. Mtoto wa kwanza mpaka wa mwisho kwenye hiyo familia alikuzwa na maziwa ya huyo ng'ombe pia vitu mbalimbali vilipatikana kwa faida ya maziwa yaliyokuwa yanauzwa. Miaka ikapita...
  14. Desierto

    Vijana wa Arusha hawaheshimu Tena mazishi

    Kule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada. Njoo huku arusha yaani kuanzia siku ya msiba ni kulewa na bangi matusi kwa wingi wakati wa kumpumzisha marehemu ndo inakuwa...
  15. Tunzo

    DSTV wapandisha tena vifurushi kuanzia leo tarehe 1/4/2025

    Kama kawaida yao, wamepandisha tena cha 25,000 kuanzia leo ni 27,000 huu mwaka unaweza usiishe wameshafika 30,000 Sasa akili kumkichwa, ulipie Azam cha 28,000 uangalie ligi ya bongo, spain, na zingine na mazaga zaga Au ulipie DSTV 27,000 ubaki na ligi ya spain na sinema zetu(kwa wale wa hizo...
  16. DELETED ACCOUNT

    Yanga haitacheza tena robo fainali ya CAFCL hadi itakapofika mwaka 2076

    Ilichukua miaka 53 toka mara ya mwisho Yanga kucheza robo fainali ya CAFCL hadi waliporudia tena msimu wa 2023-24. Kama tukienda na takwimu hizi zinavyosema, na tukiangalia mwenendo wa hii timu ambayo kila siku wanafukuza makocha, na wachezaji, viongozi na mashabiki wao wameamua kucheza Sinema...
  17. M

    Ee Mungu wa Tanzania, waja wako twakuomba, isijirudie tena hii, tumejua, wa pili kumbe hawi na uchungu kama wa kwanza kwa mali na Watanzania

    Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
  18. Echolima1

    BAADA YA KULEMAZWA NA IDF HEZBOLLAH YAJITUTUMUA TENA KUISHAMBULIA ISRAEL

    Leo tena, kombora lingine limerushwa Israel kutoka Lebanon. Israel wamezoea ving'ora vya roketi na milipuko wakati Iron-Dome ikipopoa makombola kama vile sisi tulivyozoea kunywa kahawa au chai. Wakati mwingine, huwa najiuliza ikiwa ni jambo zuri wamezoea hilo (labda njia ya kukabiliana na...
  19. Abraham Lincolnn

    Bingwa wa vichekesho anaomba mitano tena

    Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Bingwa wa Vichekesho nchini, Anapmba ridhaa apate miaka mitano tena.
  20. Webabu

    Hizbullah wazirusha tena na Syria waanza kuionya Israel

    Leo tena maroketi kadhaa yameruswa uwelekeo wa kaskazini ya Israel na kumfanya waziri wa ulinzi wa Israel atoe onyo na vitisho kwa serikali ya Lebanon. Kuonesha ya kuwa maroketi hayo baadhi yametua na kupiga yalipokusudiwa,waziri huyo amesema madhara yanayoipata Kiryat Shmona basi yataipata na...
Back
Top Bottom