GE2025 Polepole atangaza kuinanga CCM leo usiku tena

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukitumia Lugha ya KUINANGA ni kama ana i nyanyasa CCM lakini ana ieleza CCM ukweli na Nini kinatakiwa kifanyike.
Pole pole anaipenda CCM na Nchi kwa ujumla, Ni kama Gwajima tatizo lililopo ni Kushupaza shingo kwa wahusika.

Bahati Mbaya baadhi ya watu wanafikiri Mambo yaki haribika watakao athirika ni CCM, ila ki uhalisia uharibifu utakua na impact ya Nchi mzima.
Zikianza vurugu hazita chagua chama, Haki uinua taifa.
 
Polepole aje na nini kitafanyika kama awataki kurudi kwenye utaratibu wa kumpata mgombea urais
 
Ukitumia Lugha ya KUINANGA ni kama ana i nyanyasa CCM lakini ana ieleza CCM ukweli na Nini kinatakiwa kifanyike.
Pole pole anaipenda CCM na Nchi kwa ujumla, Ni kama Gwajima tatizo lililopo ni Kushupaza shingo kwa wahusika.

Bahati Mbaya baadhi ya watu wanafikiri Mambo yaki haribika watakao athirika ni CCM, ila ki uhalisia uharibifu utakua na impact ya Nchi mzima.
Zikianza vurugu hazita chagua chama, Haki uinua taifa.
Asante kwa msisitizo
 
Ona hili... vurugu intoke wapi? nani kuakuambia ananza vurugu? Haya ndio humezeshwa propaganda yakameza bila kufikiri.
 
aje aongee vitu vya maana sasa - tunawekeza muda na resources kusikiliza.

suala la yeye kujiuzulu tarehe 13 ili asipate mshahara --- hapa labda awachote akili wajinga wajinga,
 
Back
Top Bottom