tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Wahouthi warusha tena makombora kuelekea Israel

    Jeshi la Israel linasema limefanikiwa kulidunguwa kombora lililorushwa kutoka nchini Yemen mapema leo. Taarifa hiyo imekuja baada ya milio ya ving'ora vya hadhari kusikika kwenye maeneo kadhaa ya Israel, kutokana na kombora hilo. Jeshi hilo halikusema ikiwa kombora hilo lilidunguliwa kwenye...
  2. Kiranja wa Kijiweni

    JamiiForums Tanzania Unamiliki duka au supermarket? Usihangaike tena na daftari, stock kupotea au wafanyakakazi kuiba

    Mfumo wa SHARED DUKA ENTERPRISES PORTAL ni suluhisho kamili la biashara yako: 1. Mauzo & Manunuzi 2. Hisa & Uhamisho 3. Ripoti & Risiti 4. Wateja & Wasambazaji 5. Watumiaji na Ruhusa 6. Web-based (Popote ulipo) 7. Mfumo umekuwa integrated na SMS, MAILS 8. Mfumo unaweza kuwa integrated na MPESA...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hukumu hizi zinazomhusu Lisu, Mahakama Kuu haiaminiki tena, ni Kangaroo Court of the century

    A KANGAROO court is an informal term for a legal proceeding that disregards recognized standards of law or justice, often characterized by unfairness and a predetermined outcome. It implies a biased or illegitimate tribunal where the rights of the accused are not respected, and the proceedings...
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump amtuma tena Witkoff kwenda Moscow

    Rais Donald Trump wa Marekani amemtuma tena mjumbe wake maalum kwenda Urusi, wiki moja baada ya kumpa muda wa mwisho Rais Vladimir Putin awe ameshakomesha vita vyake dhidi ya Ukraine ifikapo Agosti 8 Akizungumza jioni ya Jumapili (Agosti 3), Trump aliwaambia waandishi wa habari kwamba Warusi ni...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Dola imeanza kushuka tena, Je ni fursa?

    Dollar ya marekani sasa imeanza tena kushuka na kufika 2450 huku ikitarajiwa huenda ikagonga 2280 , hata hivyo haitegemei kusalia hapo kwa muda mrefu inaweza kupanda tena kuelekea mwishoni mwa mwaka huu mpaka january 2026. Kama itapdanada tena kwa watu watakao nunua dollar 2300 na kuiuza 2700...
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Leo mji wa Dar umechangamka sana. Wajumbe Mitano Tena.

    Uzi tayari. Ila wajumbe?! N'yadikwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Njombe: Wanafunzi tena waliovaa sare wanatafuta nini Ofisi za CCM – Wilaya ya Wanging'ombe Jumapili hii?

    Leo tarehe 3 Agosti 2025 nimepita kwenye Ofisi za CCM Wanging'ombe hapa Mkoani Njombe, nimekuta baadhi ya Wanafunzi wakiwa nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wanging'ombe. Sijajua nini hasa ambacho kinaendelea lakini imenishangaza kidogo kuona Wanafunzi wakiwa nje ofisi hiyo...
  8. Leonce jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki tena baada ya round ya pili kuingia ya tatu anadai anaumia.

    Hallo. Aah wana jukwaa baada ya celibacy ya muda wa miezi 9 bila sex. Toka December mpaka mosi August juzi amekuja mpenzi wangu wa muda since 2014. Nimeshindwa kukaza kumwambia nipo celibacy. Basi nikala vyangu round mbili baada ya mapunziko kiasi tupo kitandani jogoo kama kawa mpenz wangu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Taasisi za Serikali hazilipi tena pesa ya likizo kwa watumishi wake

    Heshima yenu wakuu , Rejea kichwa cha habari hapo ,kuna hili jambo limekua sana kwa sasa ,tangu baadhi ya Taasisi kupokea barua ya kufutwa kwa pesa ya likizo maarufu kama mshahara wa 13 kwa mwaka ..Basi na pesa ya nauli ya likizo hawalipi tena . Kulingana na mwongozo wa serikali ni lazima...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna Watu wanamaslai yao, wamemzunguka Rais watatendelea kusema tena mpaka 2035

  11. Jesusie

    JamiiForums Tanzania DC Shaka: Hakuna atakayemwaga damu ya Mwanakilosa mwenzake tena, sio damu tu hata wa kumwaga Mkojo hapa hayupo tena-VIdeo

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Mhe Shaka Hamdu Shaka asema hayuko tayari chini ya Uongozi wake wa Wilaya ya Kilosa kuona Wilaya hiyo ikirudia historia yake ya nyuma, Akiongea na Wananchi wa Kata ya Tumbatu mahali palipotokea mgogoro wa Kimipaka ngazi ya Vijiji na Vitongoji, DC...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ule ufisadi wa Richmomd,Escrow, EPA hakutakuwa na kuibua tena, mambo ni chini kwa chini

    Nchi ya Tanzania kwa sasa haina bunge, wala mahakama, Bali tuna Rais ambaye ndio Mungu wa Tanzania na Ikulu yake pendwa. Ufisadi uliofanywa kipindi cha pili cha awamu ya tano inawezekana na Mkubwa kuliko fisadi zote zilizowahi kuibuliwa na CCM wenyewe au Chadema hususani Wabunge. Mpina...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Ouattara wa Ivory Coast atangaza Kugombea tena nafasi hiyo, akiwa na Umri wa Miaka 83

    Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametangaza kugombea tena urais Oktoba mwaka huu akiwa na umri wa miaka 83, licha ya ahadi yake ya awali ya kuachia nafasi kwa viongozi wapya. Uamuzi wake unakuja wakati wapinzani wake wakuu kama Laurent Gbagbo na Tidjane Thiam wamezuiwa kugombea, hivyo kumpa...
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Silvanus Mizengo Ole Pinda ni nani tena?

    Nimeona kuna hili limepenya kwenye hatua za awali za mchujo wa ubunge kwenye moja ya majimbo huko Arusha? Je mtu huyu ni nani na je ana undugu na aliyewahi kuwa PM Mizengo Pinda??
  15. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania 📣 Usipate Hasara Tena ,Fuga Kidigitali na Kwa Kisasa! 🐔

    Wafugaji wengi hupoteza muda, fedha, na kuku kwa sababu hawana mfumo bora wa kusimamia miradi yao. Ndiyo maana tulitengeneza Fuga App , msaidizi wako wa kidigitali kwenye kilimo cha kuku! ✅ Rekodi gharama zote za mradi ✅ Pata ratiba sahihi ya kulisha kulingana na umri wa kuku ✅ Kumbushwa siku...
  16. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Usikose Chanjo Tena 💉!!

    Wewe ni Mfugaji Lakini huwa unasahau Chanjo na Inakusababisha Kuchanja baada ya Ugonjwa Kuingia ,Fuga App inakusaidia kukumbuka Chanjo zako Zote na itakutumia SMS kukumbusha Siku moja kabla na Siku ya Chanjo, Kuku wako wasiumwe tena kwa kusahau kuchanja Pakua Fuga App Kutoka Playstore Ufurahie...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

    Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary. Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu. Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee...
  18. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Babu Marcio Maximo arejea tena Tanzania

    Wataishia kumfukuza babu wa watu,mpira wa kisasa atauwezea wapi?
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mama Samia kwa nini unataka kuharibu taswira ya Chama kitachokuwepo vizazi na vizazi kwa ajili ya Mitano tena?

    CCM ITAKUWEPO MIAKA MINGI IJAYO TAMAA ZA MUDA MFUPI ZISIHARIBU TASWIRA YA CCM kuna hatari CCM ikakosa Heshima na nguvu iliyonayo kwa tamaa za muda mfupi za viongozi waliopewa dhamana wakashindwa kuheshimu desturi na utaratibu ndani ya Chama cha Mapinduzi Ccm inataka kudhoofishwa kwa makusudi...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kusahau kitu chako cha thamani kwenye usafiri wa umma, yaani Daladala, halafu ukakipata tena?

    Mimi binafsi nimewahi kushuhudia mtu akilia kwa uchungu baada ya kusahau pochi yenye kila kitu kadi, hela, vitambulisho kwenye siti ya daladala. Hakujua hata jina la gari, wala namba. Hakujua pa kuanzia. Kwa nini daladala zetu hazina mfumo wowote rasmi wa kutunza vitu vinavyosahaulika? Wakuu...
Back
Top Bottom