TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.
Kuanzia leo baada ya huu uchafuzi
Hakuna tena Mtanzania atakaye chukuliwa poa .
Iwe kwenye huduma au siasa au chochote.
Kuanzia Leo uchawa utakoma
Uhuni utaisha urasimu na ufisadi utapungua.
Hakutakuwa na utekaji tena Wala watu kuuawa ovyo tena.
Tanzania itapitia mabadiliko makubwa ambayo...
Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
Tanzania haina kiongozi Mkuu wa Nchi tena,
Ni kundi la watu wachache waliokimbilia Dodoma na kufungia mkoa mzima, wakaamua kuchagua Tarehe 29 kupora Madaraka ya Nchi ya wananchi.
Ni wazi shairi Samia, Nchimbi na Kamati kuu ya CCM iliyojificha Dodoma, imetangaza Uasi na uvunjifu mkubwa wa...
Ni asubuhi tena iliojaa ndoto mithili ya uhalisia sijui kama naota au nilichokuwa naona ni uhalisia wa tukio bado najiuliza hadi asubuhi hii ya leo
nimeota tena kuna kundi la watu vijana kwa wazee wa makamo wakiwa kwenye harakati nzito kana kwamba ni vurugu zilizo anza
watu hawa hawasikii...
Kama pamoja na nguvu kubwa inayotumika kuwatisha wananchi bado wananchi wanatoka kila kukicha maana yake ni kuwa risasi hazijawavunja mioyo.
Nakumbuka maneno ya mwandamanaji mmoja miaka ile kule Morogoro..
"Polisi wanajifunza kuua na sisi tunajifunza kufa". Watanzania sasa wamehitimu...
Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
Rais wa Cameroon, Paul Biya mwenye umri wa miaka 92, ambaye ni mkuu wa nchi mzee zaidi duniani, ameshinda tena uchaguzi wa urais kwa muhula wa nane, kwa mujibu wa matokeo rasmi yaliyotangazwa leo Oktoba 27, 2025 na Baraza la Katiba
Soma pia Rais Paul Biya anaongoza kwa 53% Matokeo ya awali...
Hii ndio inavyotakiwa sasa, licha mmekaa sana kimya inawezekana mmesukumwa kusema. Ila sio mbaya walau nanyi mmesema hali ilivyo nchi.
============
Ndugu,
Watanzania Wote,
Mabibi na Mabwana,
UDASA ni Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama sehemu ya watanzania na...
Tulipofika Watanzania, CCM wameshajiona kuwa wao ni alpha na omega.
Baada ya kuzinajisi taasisi zote na baada ya kunajisi mifumo yote wamejiona kuwa wao ni miungu. Hakuna chochote wanachowezwa kufanywa na yeyote yule.
Ili kutoka hapo ni lazima Wananchi tuwaoneshe kuwa Nchi hii ni ya Wananchi...
Habari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa
https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy
Huu wimbo mkali sanaa, sidhani kama hapa Tanzania atakuja msanii wa hiphop mwenye upeo kama huyu jamaa.
NAAMINI PIA HUYU JAMAA ATAKUJA KUA KWENYE NYADHIFA ZA JUU SANA HAPO BAADAE PATAKAPOKUA NA TUME AMBAYO HAINA UPENDELEO KWA CHAMA CHA KIJANI (HUU UZI KUNA SIKU UTAFUFULIWA HATA USIPOONEKANA KWA...
Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kikundi cha Hamas kwamba kama wataendelea kwenda kinyume na mkubaliano basi ataruhusu IDF irudi tena kufanya mashambulizi
Jamani baada ya mda mrefu nimerudi sema ile account ya Troll JF nimeshindwa ku recover . Nikatengeneza nyingine lakini napambana kuirudisha ngoja niwasiliane na CEO Maxence Melo
Naam mie ni muumini wa mambo ya kuipa nafsi raha kimwili na kiroho,
Hapa na pale nikaenda kunako kijiji fedenge kumtembelea mchizi wangu wa kitambo toka shule ya Msingi,
Huyu msela wangu naye ni muumini wa pombe za nafaka,,,basi mdogo mdogo tukawa tunaelekea kunako eneo la tukio.
Tukaona...
Hamjambo!
1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini.
Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano.
2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki.
3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
Kwanza kwa nafasi alizoshika na hadhi yake, ni vigumu mno kwa mtu kama yeye kuuawa kirahisi, nitafafanua kwa nini hilo ni gumu kutekerezwa,
Polepole hakuwa mtu wa kawaida. Ni senior citizen, mwanaccm kindakindaki, na mtu aliyekuwa sehemu ya mfumo wa juu wa chama na serikali. Sio kama wale...
Polis wakishamaliza kukumaliza au kukuweka kwenye target alafu wakasema wanakutafuta ndo imeisha hiyo!
Tarehe 12 ikipita tu bila kusema ndo wanaye hatutakuwa na haja ya kuhangaika naye Bali tutatakiwa kuhangaika na mifumo ambayo inasababisha haya! Kuanza na Mafwele! Hilo Liwe wazi
Same...
Kila alichotabiri Lema kimetoke Kwa 98% accurately nakumbuka aliwaonya CCM,
Lissu alipopigwa risasi Lema alisema. Mkitumaliza sisi mtaanza kulana wenyewe Kwa wenyewe Sasa Leo yametimia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.