teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yafaidika na maendeleo ya China katika sekta ya sayansi na teknolojia

    Mwezi Oktoba mwaka jana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) Bill Burns alisema kuwa, Shirika hilo linaanzisha vituo viwili vikubwa, kimoja kikilenga China na kingine teknolojia zinazoongoza. Hatua hiyo iliashiria kuwa, kiongozi huyo anaamini kuwa, uwanja mkubwa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Hii sio Wizara ya Elimu tu, bali Elimu Sayansi na Teknolojia kwa mapana yake

    Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka Wafanyakazi wote kufanya kazi kwa ujasiri bila Uoga, Kwa utii Uaminifu na Uadilifu, Wasifanye kazi kwa nidhamu ya Uoga. Ameyasema hayo leo 10 Jan 2022 Jijini dodoma alipofika Ofisini kwake baada ya kuapishwa ma Rais Samia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari

    Habari Ndugu Zangu, Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24 nina ishi mkoa wa Dar es salaam. Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari (Diploma in Computing and Information Technology) katika chuo xx. Pia nina mafunzo na kuhitimu Kwa kuwa na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya 5G haienezi COVID-19

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Virusi vya Corona haviwezi kusafiri kwenye mawimbi ya redio/mitandao ya simu, na kwamba COVID-19 tayari inaenea katika nchi nyingi ambazo hazina mitandao ya simu ya 5G. COVID-19 huenezwa kupitia matone ya kupumua wakati mtu aliyeambukizwa anapokohoa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe wenzetu ngozi nyeupe wanaendesha teknolojia kwa uchawi, leo nimeshuhudia kwa macho yangu

    Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini. Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China yazisaidia nchi za Afrika kupata maendeleo katika matumizi ya teknolojia ya mawasiliano

    Na Caroline Nassoro Karne hii ya 21 inajulikana kama karne ya Sayansi na Teknolojia. Sekta hii imepewa umuhimu wa kipekee katika zama hizi, na ni ajabu kama utakuta mtu hana japo simu ya mkononi, kwani siku hiz, hususan simu janja (smart phones) ni sawasawa na benki, shajara, na kila kitu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya sayansi na teknolojia ya China ni manufaa kwa dunia nzima

    Na Fadhili Mpunji Ripoti iliyotolewa kwa pamoja na Idara ya takwimu ya taifa ya China, Wizara ya sayansi na teknolojia, na wizara ya fedha ya China, inaonyesha kuwa mwaka 2020 fedha zilizotumiwa na China kwenye mambo ya utafiti na maendeleo zilikuwa ni zaidi ya dola bilioni 378 ambalo ni...
  8. JamiiForums Tanzania Wachina bado sana kwenye teknolojia, ni copy and paste. Kuhusu ubora bado wapo chini sana na wanaendelea kujifunza

    China imekuwa sehemu kubwa ya vitu vingi vinavyo zalishwa na kusambazwa duniani ila hawa watu washukuru bila nchi za ulaya na mataifa makubwa kuogopa ujila wa mishaara mikubwa kwa ajili ya viwanda vyao, ndio wakapeleka china ili kuweza kupata urahisi wa uzalishaji. Mwisho wa siku tafiti nyingi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fursa zipatikanazo katika Sayansi na Teknolojia kwa wanawake na wasichana.

    Wasichana na wanawake, wamekuwa wakikosa fursa kulingana na kuogopa kwa sababu ya mifumo na mazingira ambayo wamekuzwa nayo na imani kwamba masomo au kazi zihusiabazo na Sayansi ni kwa ajili ya jinsia ya kiume pekee. Nyamizi ni binti kutoka katika jamii ya kisukuma, aliishi na kulelewa na...
  10. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sayansi na Teknolojia

    Habari wanajamii forum wenzangu, leo tutaangalia sayansi na teknolojia na vijana katika kuleta tija katika taifa letu. Karne hii tumeona vile mapinduzi ya Sayansi na Teknolojia yakizidi kuongezeka, na kadri siku zinavyozidi ndivyo vitu mbalimbali vinazidi gunduliwa. Kati ya uvumbuzi mkubwa wa...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Salum na teknolojia ya simu

    Nawasalimu ndugu pamoja na wadau wote wa JF. Natumai ni wazima. Hili ni andiko langu lililojikita katika nyanja ya teknolojia. Tunatarajia kupatikana mambo yasiyopungua matatu kutoka katika andiko hili. Elimika, burudika, badilika. Tutaanza simulizi yetu inayomzungumzia kijana Salum kama...
  12. JamiiForums Tanzania China yaendelea kubana matumizi ya Teknolojia kwa Watoto

    Toleo la China la Mtandao wa Kijamii wa TikTok linalofahamika kama 'Douyin' litadhibiti matumizi yake hadi dakika 40 kwa siku kwa Watoto walio chini ya umri wa miaka 14 Hatua hiyo inakuja wakati China ikiendelea kuchukua hatua mbalimbali kudhibiti matumizi ya teknolojia kwa Vijana. Mwezi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kijana na dunia ya uchumi wa kidigitali, teknolojia na utandawazi

    1. UTANGULIZI; Habarini zenu wadau wote wa jamii forums, vijana wenzangu, waandaaji na wafuatiliaji wa jukwaa hili la “story of change”, Makala hii fupi ni kwa lengo la kuelimishana na kufundishana hasa vijana wenzangu Walioko katika jukwaa hili la jamii forums (story of...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Teknolojia ina nafasi kubwa kwa Mwanamke kipindi cha hedhi

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litalenga zaidi uhusianishaji wa teknolojia katika kusaidia Maisha ya watoto wa kike katika kipindi chao cha HEDHI. Katika Andiko hili tutazungumzia mambo makuu matatu...
  15. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Simbachawene usipigane na teknolojia, huwezi kushindana na kazi ya kukua kwa majukwaa ya mazungumzo

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter bwana Zitto Kabwe amemuasa Waziri wa Mambo ya ndani bwana Simbachawene aache kuzuia social media kama space na Ch's badala yake yeye mwenyewe azitumie vizuri zitamsaidia kufikia watu
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini teknolojia mithili ya miujiza iitwayo ‘Neuralink’ haizungumziwi kabisa?

    Teknolojia hii inayohusisha kupandikiza kifaa kidogo mfano wa shillingi ndani ya fuvu ambapo viwaya vyembamba mara laki ya unene wa nywele, huchomekwa nankuungwa na neurons za ubongo, itawezesha binadamu kuzunguza kuwasiliana bila kufungua mdomo (sauti) wala kuandika (herufi). Teknolojia hii...
  17. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya teknolojia kwa kizazi kipya ulimwenguni kote

    Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
  18. JamiiForums Tanzania Wadada: Kuweni makini na teknolojia

    Juzi kati kuna mfanyakazi mwenzangu mdada aliniletea "external" yake baada ya mimi kua nimemuomba movies na yeye kudai ana ma series ya kufa mtu. Huyu binti ni mtu na heshima zake, hatuna urafiki kivile zaidi ya kuonana tu kazini mara kwa mara. Sasa baada ya ku connect ile external nikamuuliza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tuiendeleze Tanzania yenye asili yetu, kwa kuendana na kasi ya Teknolojia

    Tanzania ni nchi tajiri na yenye amani kubwa inayopaswa kutunzwa na kuendelezwa. Utajiri huu unatokana na rasilimali tulizonazo Kama vile Madini, watu, Wanyama na vinginevyo. Uendeshwaji na matumizi ya rasilimali hizi unapaswa kushirikisha wananchi ambao ni wadau muhimu wa maendeleo. Malumbano...
  20. JamiiForums Tanzania Manara ukiwa muongo usiwe msahaulifu, teknolojia imekuumbua

    Hata sisi wengine hatukuwa na imani na MO , na mimi nimeweka maandiko mengi sana humu kuhusu utapeli wa MO kwenye masuala ya Simba , nilikuwa Team Kilomoni (wanaofuatilia jf wanajua) , Lakini sijawahi kuisaliti Simba. Hebu jiangalie kwenye video hizi halafu utueleze yaliyokukuta.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…