teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

    Salute.. Maisha yanakwenda kwa kasi mno mengi hayawezekani hayapo wenzetu huko wanakesha kutuonyesha jinsi kila kitu kinawezekana kama ukiwa na nia thabiti na mipango. Huko duniani kuna vitu vinaitwa Futurist na Futurology, Futurist ni watu wanaojihusisha na mambo ya Futurology. Futurology...
  2. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Ni taifa gani kati ya haya ambalo limekuwa na mchango mkubwa zaidi Duniani katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa muda wote na kwanini?

    Habari! Taifa ni watu na tunapozungumzia mchango wa taifa katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia tunamaanisha jitihada za watu katika taifa husika katika kulitekeleza hilo. Katika historia kuna watu wengi maarufu kutokana na vipaji pamoja na maarifa waliyokuwa nayo hapo zamani yaliyokuwa...
  3. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Uganda na Rwanda zinaongoza Afrika Mashariki katika Teknolojia ya Magari ya Umeme

    Habari! Uganda na Rwanda ziko mbioni zaidi ya mataifa mengine ya Afrika Mashariki katika mabadiliko ya kiteknolojia kuelekea magari yatumiayo nishati ya umeme ingawa mapungufu ya miundombinu yanazuia uwekezaji katika sekta hiyo inayoibukia. Mataifa hayo mawili tayari yamezindua viwanda maalumu...
Back
Top Bottom