tecno

  1. H

    Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

    Habari. Nina mwezi wa tatu sàsa natumia tecno yaani hadi nakoma.Yaani ni stress tupu nashindwa kuizoea mara inepeleke kule mara huko nikirudi huku inanitoa nje mara iminimize yenyewe nikibonyeza huku inarudi juu..mara casa ikwame inanitizama tu kama bundi sàsa sijui tatizo ni mimi au simu yaani...
  2. McMahoon

    TECNO W3 Stock firmware W3-H806A1-M-160721V30

    Habari wakuu! Mwenye stock firmware ya Tecno W3 build number W3-H806A1-M-160721V30 inayofanya kazi naomba. Nimejaribu kupakua mtandaoni hazifanyi kazi Shukrani
  3. Nyamwage

    Hatua nzuri kwao tecno phantom v fold & galaxy z fold 4 wanachuana vikali samsung wapunguze bei tu

    Habari Hawa mabwana wapika kande leo wamezindua biriani la ngamia ni hatari na nusu alafu kwa nusu bei great job kwao
  4. TECNO Tanzania

    Ile kiu ya kusubiria Toleo la Phantom X2 sasa imeisha

    Kampuni ya simu ya TECNO katika kuendeleza kutoa bidhaa zilizo bora na zinazoendana na technologia ya kisasa, tunakuletea lile toleo la kubwa Zaidi kwenye mtiririko wa PHANTOM ambalo watumiaji wengi wa simu janja wamekuwa wakiulizia sasa limefika sokoni na linapatikana kwenye maduka yetu nchi...
  5. TECNO Tanzania

    Je, umeshajua umuhimu wa processor kwenye simu yako na processor ipi ni bora zaidi?

    Jina sahihi la processor zilizopo ndani ya simu ni CHIPSET kwa kifupi CHIP. Processor ni moja ya kitu ambacho huisaidia simu yako kufanya kazi kwa ufasini na ni kama ubongo au injini ya simu yako. Hiki ni Kichakataji chenye kasi zaidi kwenye simu na ni sehemu muhimu sana. Katika simu yako...
  6. Zee la madawa

    Nimewafukuza watu kwenye sherehe baada ya kugundua wanatumia Tecno na infinix

    Ninachukizwa na nawachukia watu wote wanaotumia tecno,infinix na itel yaani kwangu mie nawaona ni wahujumu uchumi wa nchi yetu yaani inakuaje mtu anatumia au watu wanatumia tecno,infinix au infinix huo si umama? Yaani kiukweli watu au watu wanaotumia hizo kiukweli serikali inapaswa kuwafungulia...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini watumiaji wa simu za itel, Tecno na Infinix wanadharaulika sana Dar?

    Kwa kweli mimi si mjuzi sana wa mambo ya simu, maana baada ya kuhama kutoka kwenye Siemens C25 nikahamia kwenye Research in Motion, na baada ya pale nikaenda Seoul, sikuwahi kurudi tena. Sasa hapa mjini naona tu wazee wa rika langu wananifuata nyumbani eti niwaagizie simu mtandaoni maana...
  8. Zee la madawa

    Mpaka leo kuna watu wanatumia Tecno na Infinix

    Enyi watu badilikeni basi inakuaje mpaka leo kuna watu wanatumia tecno? Kuna jamaa mmoja nimepishana nae njiani eti linatumia tecno aisee nilishikwa na kichefuchefu nusura nitapike yaani jinsi nilivyokerekwa na kuchukia baada kumuona linatumia tecno hebu badilikeni. Yaani mimi nikimuona mtu...
  9. DEICHMANN

    Tecno pouvoir 3 air haipanishi mnara.

    Habarini msaada simu yangu ya tecno pouvoir 3 air haipandishi mnara/data. Msaada nifanyeje?
  10. TECNO Tanzania

    Kampuni ya TECNO kuja na toleo la POP 7

    Tukiwa tume uanza mwaka mpya kampuni ya simu ya TECNO iliojizolea umaarufu hasa kwenye uuzaji wa simu janja zenye ubora kwa bei nafuu inatarajia kuzindua toleo jipya kwenye mtiririko wake wa simu za POP na sasa wanakuletea toleo jipya la POP 7 lenye ubora zaidi hasa kwenye uhifadhi wa...
  11. TECNO Tanzania

    Phone4Sale Tupe maoni yako

    Habari Ndugu! Ikiwa tume uwanza mwaka mpya basi nasi tunataka tukuhudumie kwa viwango vya juu kabisa kwa mwaka huu kwa kuwaletea matoleo mazuri zaidi na ya kisasa. Leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana hapa nchini. Huku...
  12. TECNO Tanzania

    Kampuni ya Tecno imezindua rasmi zigo la Disemba

    Kampuni ya Simu ya Tecno yazindua rasmi promosheni ya kufunga mwaka kwenye makao makuu yao Jijini Dar es Salaam wakiwa na balozi Kibwana Ally Shomari. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Meneja masoko wa kampuni ya TECNO Bi Salma Shafi amesema katika msimu huu wa Kombe la Dunia na sikikuu za...
  13. TECNO Tanzania

    Zigo la Disemba limeachiwa

    Tunapoelekea kumaliza mwaka Kampuni ya simu ya TECNO tumetambua umuhimu wa msimu huu wa sikukuu na tumewaletea promotion kabambe kwa ajili ya wateja wetu wote ili waweze kumaliza mwaka na tabasamu kwenye nyuso zao. Tumelileta Zigo lao la Disembe likiwa limesheheni zawadi za kutosha kwa ajili ya...
  14. TECNO Tanzania

    Kila mechi na mshindi mmoja wa simu mpya

    Heka heka za kombe la dunia zikiwa zina endelea na nyuso za watu zikiwa zimejawa na furaha wakati huu wakiangalia timu zao pendwa zikiwa zinacheza soka safi. Kampuni yenu pendwa ya TECNO ambayo tunamiliki simu janja zinazo uzika sana mtaani tume amua kuendeleza furaha za wateja wetu kwa kuja na...
  15. TECNO Tanzania

    Zijue special programs zinazopatikana kwenye toleo la camon 19 tu

    UTOFAUTI NA UPEKEE WA SOFTWARE PROGRAM ZINAZOPATIKANA KWENYE TOLEO CAMON 19 Phone Cloner Hii ni software program inayopatikana kwenye toleo hill la camon 19. Phone cloner inampa nafasi na urahisi mteja wetu alie nunua simu hii ya camon 19 series kuhamisha Data zake kutoka kwenye simu yake...
  16. TECNO Tanzania

    TECNO tumekuletea muonekano wa kipekee wa simu yetu ya mtiririko wa CAMON 19 PRO

    TECNO tumedhamiria kuendelea kuwafurahisha wateja watu kwa kutoa toleo lenye muonekano mpya linalokwenda kwa jina la CAMON 19 PRO Mondrian. Simu hii ina uwezo mkubwa na muonekano wa kuvutia na wakipekee kuwahi kutokea
  17. M

    Phone4Sale Nauza Simu Tecno Camon 18i

    Nauza simu yangu aina ya Tecno Camon 18i, ina Ram 4GB, ROM 128GB, ina support 4G, Camera 48MP ya nyuma, na mbele ni 8MP, battery yake ina ukubwa wa 5000mAh, ina glass protector, box yake ipo kama utahitaji, nimeitumia miezi miwili tu, bado iko kwenye hali nzuri, haina scratches wala crack...
  18. TECNO Tanzania

    Zijue sifa kuu za Tecno Camon 19

    Toleo la TECNO CAMON 19 ambalo lililozinduliwa rasmi katika soko la Tanzania mapema mwezi Julai, ni mahususi kwa ajili ya wadau wa mitindo ili kuondokana na changamoto mbalimbali zinazohusishwa na upigaji picha nyakati za usiku na mwanga hafifu kutokana na sifa zake za kustaajabisha. Simu hii...
  19. kagombe

    Nahitaji kioo cha Tecno K7

    Tecno K7 mwenye kioo aje tuyajenge zingatio me ni fundi bei isiwe ya shop
Back
Top Bottom