Wakuu kwa anaejua maujanja maana nimeingiza email yangu kama mara nyingi inavyofanyika lakini nikifika mwisho inaandika try again hivyo naomba nipewe njia nyingine ili niweze kutoa flp kwenye hii Tecno.
Utafiti wa soko la teknolojia, uliofanywa na Kampuni ya utafiti ulimwenguni inayojishughulisha na bidhaa katika tasnia ya teknolojia ya vyombo vya habari na mawasiliano ya simu. Mwishoni mwa mwezi wa nne wametoa report ikionyesha kuwa kampuni ya simu TECNO imechukua nafasi ya kwanza kama simu...
Wataalam kuna hii simu tajwa hapo juu inatumia line mbili ila iko locked kwenye vodacom. Nimejaribu kuunlock kwa kutumia NCK Android MTK ile cracked nimeshindwa. Nakutana na error 36 phone not support meta connection, lakini inakuwa tayari ishaboot upande wa meta ila connection inastop hapo...
Watumiaji wa Tecno smart Kitochi, Tigo smart Kitochi pamoja na Vodacom smart Kitochi naomba kujua hizo simu kama zina uwezo wa Hotspot, namaanisha kwamba kama nikiweka bando la internet naweza kuitumia hiyo simu kama hotspot kwa simu nyingine au computer? mrejesho tafadhali
Wakulungwa habari ya muda huu, simu yangu kila nikifuta kitu inaleta disappearing notification "item moved to trash", awali nilidhani mizigo ndio inakuwa deleted for good sasa leo nadelete baadhi ya items inasema "trash full.
If you delete these items you delete them permanently" hapo ndo...
Simu ndogo ndogo hususani hivi vya batani za kampuni pendwa Africa namaanisha Tecno na Itel. Tumekuwa tukinunua simu hizi bei ya jumla maduka kadhaa kkoo arusha na kwingineko.
Nahitaji kujua vp nami naweza kuwa msambazaji yan nikauziwa kwa bei ya kiwandani utaratibu ukoje.Hapa namaanisha...
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO imetangaza kuanza rasmi promosheni ya Camon16 Billboard Star ambayo itawawezesha wafuasi wake wa kurasa za mtandani pamoja na wateja kwa ujumla kujinyakulia zawadi ya kitita cha shilingi milioni moja, kupata nafasi ya kuwekwa kwenye bango kwa muda wa wiki...
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO imezindua rasmi simu yake mpya toleo la CAMON 16s leo jijiini Dar es Salaam pamoja na kuwatambulisha mabalozi wa simu hiyo.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika kwa njia ya mtandao, meneja mahusiano wa kampuni hiyo bwana Eric Mkomoya amesema simu...
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO inatarajia kuzindua simu mpya ya TECNO CAMON 16s, ni simu ambayo inakuja na teknolojia kubwa ya kamera na uwezo mkubwa utakaowanufaisha watumiaji katika shughuli zao za kiofisi na kiuchumi.
Taarifa kutoka kampuni ya TECNO zinaeleza kuwa TECNO CAMON 16s ina...
Kampuni ya simu TECNO yazindua rasmi TECNO Spark 5pro. Uzinduzi wa simu hiyo umefanyika Kidimbwi Beach tarehe 18/10/2020 na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali akiwemo komediani maarufu Jaymond na wadau wa simu za TECNO.
Uzinduzi wa Spark 5pro ulifanyika katika mfumo wa party ambapo DJ...
Pata nafasi ya kujishindia zawadi yenye thamani ya zaidi ya shillingi laki tano-500,000tsh lakini pia jinyakulie zawadi nyengine kama vile TECNO H2 earphone na TECNO S1 wireless speaker pale tu utakapoingia katika maduka ya TECNO na kufanya malipo (pre-order) ya awali sh.50,000 kwa jili ya simu...
Habarini za saizi wadau wa Jamii Forums. Nimepoteza simu ya Tecno Camon 11 leo, nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri ni nini hatua ya kwanza ya kuchukua kuanzia sasa na ni namna gani nitaweza kuipata simu yangu. Asanteni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.