Ungeeleza simu yako ina shida gani kwanza, shida inaweza isiwe failiHabari wakuu!
Mwenye stock firmware ya Tecno W3 build number W3-H806A1-M-160721V30 inayofanya kazi naomba. Nimejaribu kupakua mtandaoni hazifanyi kazi
Shukrani
Ni kweli ila kulinganana na tatizo, stock firmware itanifaa zaidi. Nliroot kwa wrong TWRP file na sikufanya backup ya firmware. Simu ilikuwa inawaka fresh tu hapo mwanzoUngeeleza simu yako ina shida gani kwanza, shida inaweza isiwe faili
Simu haiwaki kabisa wala ukichomeka kwenye chaji haioneshi. ukichomeka kwenye computer inatoa mlio na inasoma kwenye Splash tool na Miracle box. Nahitaji stock firmware inayofanya kaziHizo simu mara nyingi kwenye kesi kama hizo tatizo huwa EMMC. Inawaka inaishia kwenye logo?
Japo sijajua ulifanya kwa hatua gani lakini kwa ujumla twrp haiwezi kuzima simu maana inakaa kwenye recovery partition. Kama uliweka twrp ambayo siyo ya simu husika ingewaka ila isingeweza kuingia recovery.Ni kweli ila kulinganana na tatizo, stock firmware itanifaa zaidi. Nliroot kwa wrong TWRP file na sikufanya backup ya firmware. Simu ilikuwa inawaka fresh tu hapo mwanzo
Sina CM2. Ningepata Stock firmware ingekuwa vizuri zaidiJapo sijajua ulifanya kwa hatua gani lakini kwa ujumla twrp haiwezi kuzima simu maana inakaa kwenye recovery partition. Kama uliweka twrp ambayo siyo ya simu husika ingewaka ila isingeweza kuingia recovery.
Kama uliflash wrong preloader ndio inaweza kuzimika ila si twrp. Kama una cm2 ninaweza nikakupa maelekezo ya awali kabla haujaanza kuhangaika na stock rom.
Umesema ulipata ya mtandaoni stock yenye build no sawa na ulizopost na bado ikagoma? Je buid no hizo ndo za firmware iliyokuwemo kabla ya kuzimika?Sina CM2. Ningepata Stock firmware ingekuwa vizuri zaidi
Swali zuri na muhimu..Umesema ulipata ya mtandaoni stock yenye build no sawa na ulizopost na bado ikagoma? Je buid no hizo ndo za firmware iliyokuwemo kabla ya kuzimika?
Sikupata firmware yenye build namba sahihi. Baada ya kukosa nilijaribu hii ikagomaUmesema ulipata ya mtandaoni stock yenye build no sawa na ulizopost na bado ikagoma? Je buid no hizo ndo za firmware iliyokuwemo kabla ya kuzimika?
Imegoma kuingia kwenye simu, au simu bado haiwaki baada ya kuiflash na firmware hiyo. Kuna maswali mengine unayaruka kuyajibu.Sikupata firmware yenye build namba sahihi. Baada ya kukosa nilijaribu hii ikagomaView attachment 2624478