Zigo la Disemba limeachiwa

TECNO Tanzania

Senior Member
Jul 6, 2016
192
216
WhatsApp Image 2022-11-16 at 20.30.57.jpeg

Tunapoelekea kumaliza mwaka Kampuni ya simu ya TECNO tumetambua umuhimu wa msimu huu wa sikukuu na tumewaletea promotion kabambe kwa ajili ya wateja wetu wote ili waweze kumaliza mwaka na tabasamu kwenye nyuso zao. Tumelileta Zigo lao la Disembe likiwa limesheheni zawadi za kutosha kwa ajili ya wateja wote watakao fika kwenye maduka yetu yaliyopo nchi nzima na kununua simu kutoka kwetu.

Jambo zuri zaidi ndani ya zigo la disemba kutakuwa na zawadi za papo kwa hapo kama vile Headset, Mabegi na Miamvuli kwa kila mteja atakae nunua simu ya TECNO. Lakini pia kuna zawadi za kila week kutolea ambazo ni matoleo ya CAMON 19 au SPARK 9, Yani unanua simu ili ujishindie simu nyingine. Na kubwa zaidi ni zawadi ya mwezi ambapo kuna Pikipiki tano (5) kwa ajili ya wateja wetu.

Ilikuingia katika nafasi ya kuchambua zawadi katika zigo lao la Disemba;
1. Inabidi ufike kwenye maduka yetu ya Promotion yaliopo sehemu mbali mbali kisha ununue simu ya toleo la CAMON 19 au SPARK 9 ili uweze kupate nafasi ya kuingia katika Draw ya kujishindia Pikipiki mpya itakayo fanyika mwisho mwa mwezi huu.

2. Haishii hapo tu mteja utakae nunua simu ya toleo lolote la TECNO kwenye maduka yetu ya promotion atapata bahati ya kushinda Simu mpya ya TECNO kwenye Draw itakayo chezeshwa kila week. Na zawadi za papo kwa hapo kama vile Headset, Begi na Mwamvuli.

Tembelea duka lolote la TECNO ili kujipatia simu yako. Ni muda wa kuandaa zawadi kwa ajili ya wapendwa wetu kwenye msimu huu wa Sikukuu.

Kwa maelezo zaidi piga namba; 0744 545 254 au 0678 035 208
 
Jamani njooni huku Zigo la Disemba limeachiwa na watu wetu wanaojua hali zetu TECNO.
Akufaae kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli. Hawa jamaa wametusaidia watu wengi kumiliki smartphone. Unapata kwa bei poa unayoimudu....
 
Jamani njooni huku Zigo la Disemba limeachiwa na watu wetu wanaojua hali zetu TECNO.
Akufaae kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli. Hawa jamaa wametusaidia watu wengi kumiliki smartphone. Unapata kwa bei poa unayoimudu....
Msimu ndo huu wakuandaa zawadi kwa ajili ya wapendwa wetu
 
Habari James!
Bei elekezi za Toleo la CAMON 19 ni kama ifuatavyo:
-CAMON 19: (128GB + 4GB) 430,000/=
-CAMON 19: (128GB + 6GB) 490,000/=
-CAMON 19 PRO: (128GB + 8GB) 650,000/=
-CAMON 19 PRO 5G: (128GB + 8GB) 780,000/=

Wasiliana nasi kupitia namba zetu 0744545254 au 0678035208
Hapo Safi mtu anajua bei anaamua kufanya maamuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom