Kampuni ya Tecno imezindua rasmi zigo la Disemba

TECNO Tanzania

Senior Member
Jul 6, 2016
192
216
Kampuni ya Simu ya Tecno yazindua rasmi promosheni ya kufunga mwaka kwenye makao makuu yao Jijini Dar es Salaam wakiwa na balozi Kibwana Ally Shomari.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Meneja masoko wa kampuni ya TECNO Bi Salma Shafi amesema katika msimu huu wa Kombe la Dunia na sikikuu za mwisho wa mwaka tumekuja na promosheni inayoitwa "Sambaza Furaha" ambapo kila mechi atapatikana mshindi.

Na unachotakiwa kufanya ni kupost picha ya umpendae na ujumbe mzuri wa upendo kisha #Sambazafuraha kadri uwezavyo na kama ambavyo kila mechi inamshindi basi ndivyo hivyo hivyo juhudi yako itakupa ushindi wa kumzawadia umpendae Tecno Camon 19 mpya. Washindi kutangazwa kila baada ya mechi katika kurasa zetu za kijamii
WhatsApp Image 2022-12-03 at 11.14.52.jpeg
Meneja masoko Bi Salma Shafi akizungumza katika uzinduzi huo.

Pia Balozi wa Promosheni hiyo balozi Mbwana Ally Shomari mchezaji wa Taifa Stars anayekipiga katika Club ya Yanga aliongezea kuwa Najua kuna watu wanatupenda nje ya mpira na sisi tunawapenda na kwa kuthamini upendo wao kwetu.

Tecno wameleta promosheni hii ya kila mechi ina mshindi ilikuweza kurahisisha Kusambaza Furaha kwa wapendwa wetu. Kama Tecno ilivyoweza kusambaza furaha kwangu basi wakati ni wako kuisambaza furaha kwa uwapendao.
DSC05320 (1).jpg

Balozi wa Promosheni ya Zigo la Disemba Kibwana Ally Shomari akizungumza.

Mariam Mohamed, Meneja Mauzo TECNO ameeleza kuwa ''Pamoja na kampeni ya Sambaza furaha lakini pia siku hii ya leo tunazindua promosheni ya Zigo la Disemba na kutaja zawadi ambazo zitaenda kwa wateja katika kipindi hiki nazo ni pikipiki, Tecno Camon 19, Spark 9, Headset, mabag na Miamvuli.

Promosheni hii itahusisha utoaji wa zawadi za papo kwa hapo nazo ni headset, mabag na miamvuli, zawadi za kila week nazo ni Camon 19 au Spark 9 na zawadi ya mwezi nazo ni pikipiki kwa wateja watakao nunua Matoleo ya Tecno Camon 19 na Spark 9 ndani ya msimu huu wa sikukuu.

Promotion hii itakuwa nchi nzima katika maduka ya Tecno yenye promotion. Hii ni desturi ya kampuni ya Tecno kuwa na promotion kubwa kipindi iki cha mwisho wa mwaka ambapo ni mda mahususi kabisa wa kutoa shukrani kwa njia ya zawadi kwa marafiki, ndugu, jamaa na wana Familia yako kiujumla.

DSC05295 (1).jpg

Meneja mauzo Bi Mariam Mohamed akizungumza.

Akimalizia Bi Joyce Kaswala Mkuu wa Mafunzo wa Kampuni ya Tecno alisema Tecno Camon 19 na Spark 9 ni simu bora ambazo zimekuwa zikifanya vizuri tangu kuingia kwake nchini Tanzania. Tecno Camon 19 imejizolea tuzo ya if Design Awards kutoka na muonekano wenye kuvutia machoni, Camera ya 64MP inaifanya kuwa chaguo bora kwa photographers na vijana wenye kujihusisha na biashara za mitandaoni.

Sifa nyengine za simu hii ni battery ya 5000mAh, Storage ya 6GB/8G RAM na 128GB/256GB ROM na Processor yenye kuchakata kazi kwa haraka ya Helio MediaTek G96.

Tecno Spark 9 ni simu ya vijana wote wakishua inakitunza kumbukumbu cha 4GB RAM na 128GB ROM na kioo kipana cha inch 6.6 na refresh rate 90Hz ambavyo huumpa uhuru wa kuhifadhi na kujisomea vitabu kwa nafasi pamoja na pia inadumu na chaji kwa muda mrefu ikiwa na mAh5000.

DSC05293 (1).jpg

Mkuu wa Mafunzo Bi Joyce Kaswala akizungumza.
Uzinduzi wa promosheni hizi ni muendelezo wa mikakati ya kampuni ya Tecno Tanzania kuwapa furaha wateja wake katika kipindi cha mwisho wa mwaka kwani imekuwa ikifanya hivyo mara kwa mara inapofika kipindi hiki.

WhatsApp Image 2022-12-03 at 11.14.53.jpeg

Timu ya wafanyakazi kitengo cha Mauzo na masoko wa Kampuni ya TECNO wakiwa kwenye picha ya pamoja.
 
Kampuni ya Simu ya Tecno yazindua rasmi promosheni ya kufunga mwaka kwenye makao makuu yao Jijini Dar es Salaam wakiwa na balozi Kibwana Ally Shomari.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Meneja masoko wa kampuni ya TECNO Bi Salma Shafi amesema katika msimu huu wa Kombe la Dunia na sikikuu za mwisho wa mwaka tumekuja na promosheni inayoitwa "Sambaza Furaha" ambapo kila mechi atapatikana mshindi.

Na unachotakiwa kufanya ni kupost picha ya umpendae na ujumbe mzuri wa upendo kisha #Sambazafuraha kadri uwezavyo na kama ambavyo kila mechi inamshindi basi ndivyo hivyo hivyo juhudi yako itakupa ushindi wa kumzawadia umpendae Tecno Camon 19 mpya. Washindi kutangazwa kila baada ya mechi katika kurasa zetu za kijamii
View attachment 2435961
Meneja masoko Bi Salma Shafi akizungumza katika uzinduzi huo.

Pia Balozi wa Promosheni hiyo balozi Mbwana Ally Shomari mchezaji wa Taifa Stars anayekipiga katika Club ya Yanga aliongezea kuwa Najua kuna watu wanatupenda nje ya mpira na sisi tunawapenda na kwa kuthamini upendo wao kwetu.

Tecno wameleta promosheni hii ya kila mechi ina mshindi ilikuweza kurahisisha Kusambaza Furaha kwa wapendwa wetu. Kama Tecno ilivyoweza kusambaza furaha kwangu basi wakati ni wako kuisambaza furaha kwa uwapendao.
View attachment 2435962

View attachment 2435963

View attachment 2435964
Mkuu wa Mafunzo Bi Joyce Kaswala akizungumza.
Uzinduzi wa promosheni hizi ni muendelezo wa mikakati ya kampuni ya Tecno Tanzania kuwapa furaha wateja wake katika kipindi cha mwisho wa mwaka kwani imekuwa ikifanya hivyo mara kwa mara inapofika kipindi hiki.

View attachment 2435966

Mambo ya tecno ngoja nijaribu uenda nikapata bahati yangu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hao watu wa masoko wajitafakari, kwanini mshindi wa jumla asipewe Tecno hata mbili mnampa boxer
 
Kati yao hapo anayetumia tecno anyooshe mkono juu tumzawadiwe na redmi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom